https://youtu.be/a3x3e1QFasQ?si=WxGatqMY68D7RZ8v
Hili ni swali la Ansbert Gurumo kupitia Youtube Channel yake (SK Media Online TV)
Na huyu hapa 👇🏻👇🏻ni mmoja wa watazamaji wake waliotoa maoni yake akijitambulusha kuwa yeye alikuwa msimamizi wa kituo cha kupigia kura huko Shintanga, Manispaa ya...
https://youtu.be/XspoH80_PEY?si=lLo0g68b3JeBsIHs
1. Hivi kulikuwa na ulazima gani kuondoa uhai wa maelfu ya vijana ili kuhalalisha utawala na Urais wa Samia na CCM yake huku akiwa tayari ana ushindi wa 99% hata kabla kura hazijapigwa?
2. Vijana hawa walianza kuandamana kwa amani, wakishangalia...
https://youtu.be/w4PaC1WPzZ8?si=wfc9MTlpEQMULdIC
Amesema haya:
1. Vijana ni lazima wasikilizwe na wasipuuzwe asilani kuanzia sasa
2. Ashangaa alichodhani hakiwezi kutokea Tanzania kimetokea, kwamba watu hususani vijana wanaweza kuandamana kuipinga serikali na utawala uliopo
3. Ameshauri way...
Nimepata part of you clip blaming Polepole for his past deeds. Kweli uko sahihi, tena sahihi sana!
Kwangu mimi nalichukuia hivi:
Kwa sasa tuna Simba mla watu ameingia kijijini anakula watu, mbuzi, ngombe, kondoo , kuku etc etc.....anything you can think of!
Sasa Katokea mtu anasaidia kumtafuta...
Nimepitia andiko la Ansbert Ngurumo; nami nimeamua kutia meno kuwa ni wakati wetu sasa wafuasi wa Chadema kuorganize maandamano na kukinukisha. Hili linatakiwa kufanyika Sasa na Wala si baadae.
I beseech you Hon. John Heche, John Mnyika, Amani Golugwa et al, it is a time to act. Tafadhalini...
Mwandishi wa habari mwandamizi, Ansbert Ngurumo, ameibua mjadala mpana kuhusu mwenendo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akikitahadharisha dhidi ya kile alichokiita “ubinafsi wa kitaasisi” na “ukanushaji wa makosa ya wazi.”
Kupitia andiko lake linalosambaa mitandaoni, Ngurumo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.