Nichukue Fursa hii kumpongeza Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kusukuma mbele gurudumu la maendeleo nchini Tanzania. Yapo mambo mengi yaliyobadilishwa naye katika kipindi kifupi kwa mustakabali wa Tanzania mbele ya Uso wa kidiplomasia.
Mengi ni...
Hii ni habari njema kutokea UN. Uthibitisho zaidi kuwa ni nini iliyo kiu ya watu kote duniani.
Tusidanganyane tunataka kupumua kwa uhuru, haki na usawa kisiasa na kijamii.
Kiongozi dikteta si wa zama hizi.
Hautakuwa peke yako baba askofu.
Zambia wametambuliwa kwa jitihada zao za...
Wadau, poleni kwa kazi. Kuna utamaduni (nadhani kwa nia njema) mwanamke akishajifungua, wapo watu (hususan majirani tena wanawake) hufunga safari kwenda kumwona mtoto.
Katika 'ziara' hiyo wageni hao hubeba zawadi mbalimbali kwa ajili ya kumpa hongera mama (mzazi) kwa kupata mtoto ambaye...
Kwa namna tunavyoambiwa covid ipo na kwa ukweli kwamba binadamu ndiye kiumbe Mwenye risk yakupata huu ugonjwa na kwa kuzingatia kamatakamata isilo na legal facts inayoendelea upo uwezekano tukashuhudia wafuasi wa vyama vya siasa wakifariki au mahabusu wengine wakifariki Jambo ambalo siamini kama...
Natumai wazima wote leo nilikuwa natamani tushee Jambo moja na watanzania wenzangu mnaohitaji kuja kutafuta ajira huku SA
Ukweli ni kwamba ajira huenda zikawepo ila siyo kwa watanzania
Huenda hujanielewa watanzania huku hatuaminiki, ni vigumu mtu kukuamini kukupa kazi wengi "wezi' hali...
Ieleweke CCM ni CCM na kina Muundo, Sera na mwenendo wake.
Kwa muktadha huo kila awaye mwenye uwakilishi utokanao na CCM inampasa bila hiari kufuata, kuheshimu na kuuishi u-CCM ulio na muundo, sera na miiko yake.
CCM haitamvumilia yeyote yule atayekiuka kwayo yale yawayo mahitaji ya wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.