android

  1. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya ku-update Android 10 to Android 11/12 kwenye Oppo A9 2020

    Wajuvi natumia Oppo A9 2020 yenye RAM 8gb na ROM 128gb Mimi ni mgeni kwenye hizi simu yeyoye anayejua Jinsi ya ku-update Android kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nawasilisha.
  2. JamiiForums Tanzania Kutumia PC kama screen toka kwenye Simu android (Mirror Cast/Miracast)

    Nina pc yangu Dell yenye sifa hizi. Processor ni Intel (R) Celeron (R)N4000 CPU @1.1 GHZ (2CPUS) - 1.1 GHZ RAM 8 GB. Before nlikuwa naweza i connect simu yangu wirelessly ikawa ina display kupitia kwenye PC. Mirroring Casting kama sikosei. Sasa inagoma imetokea baada ya ku update Windows...
  3. JamiiForums Tanzania Netbeans Vs Android Studio

    Gwala kwa wana "Jf" wote, matumaini yangu majukumu yetu binafsi yanasonga ipasavyo. Niende kwenye moja kwa moja kwenye mada husika, hivi karibuni nimeingia kwenye sekta ya android application design. Katika kuanza anza nimeanza kwa kujifunza p-l ya Java kama backbone ya programming kwa apps...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Sioni tofauti yoyote kati ya Android 10 na Android 11

    Nilipata update ya Android 11 kwenye note 20 ultra yangu wiki 2 zilizopita, juzi jumamosi nikaamua niipakue na kui-install. Kwa siku 2 hizi nimekua nikijaribu kutafta ama nione kitu cha tofauti kati ya Android 10 na Android 11, yaani One UI 2.5 na One UI 3.0 sioni tofauti yoyote ya maana...
  5. JamiiForums Tanzania Kumbe Huawei Harmony OS ni another version ya Android

    Wiki kadhaa zilizopita Huawei alitoa developer version ya Harmony OS, lakini kutokana na wakali wa Mambo na comparison ya side to side Ile ni Android 10 ambayo imekuwa edited. Nimeona video wakicompare side by side inafanana kila kitu na android 10. Hata app development studio iko exactly Kama...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia feature mpya ya Nearby Share kwenye Android phones

    Mnamo tarehe 4 August 2020, Google walizindua feature yao ya kushare mafile kati ya Android phones iitwayo Nearby Share ambayo ni kama Xender app na Airdrop ya iPhones. Nearby Share inafanana ufanyaji kazi wake kama airdrop ya kwenye iPhones kwamba unapata menu ya kushare kutumia njia directly...
  7. JamiiForums Tanzania Tunahitaji kuundiwa websites na Android Apps

    Ikiwa unaweza au unamfahamu yeyote mwenye yjuzi wakutengeneza website sna android apps zenye ubora na viwango vya juu, tuna kazi za haraka. Taasisi ya Kijamii ya Kiislaam iitwayo Abraar ipo mbioni kuanzishwa na inahitaji websites na apps. Taasisi itakuwa na vitengo visivyopungua 5 au zaidi...
  8. JamiiForums Tanzania Tunahitaji kutengenezewa website(s) na Android Apps.

    Ikiwa unaweza au unamfahamu yeyote mwenye yjuzi wa kuunda / kutengeneza website sna android apps zenye ubora na viwango vya juu, tuna kazi za haraka. Taasisi ya Kijamii ya Kiislaam iitwayo Abraar ipo mbioni kusnzishwa na inahitaji websites na apps. Taasisi itakuwa na vitengo visivyopungua 5 au...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada: Android TV imekwama (stuck)

    Wakuu habari, Naomba msaada wenu, nina TV aina ya SOLSTAR 55" ambayo ni android. TV imeacha ku respond kwenye remote na hata kwa buttons za kawaida. Hapa ndipo iliyokwama, yaani hata kuizima na kuwasha inarudi hapo hapo. King'amuzi ninasoma bila shida. Kwenye kona kuna alama nyekundu ambayo...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta Designer Chipukizi mzuri wa Android Apps na IO's

    Kama Title inavyosema hapo juu, Natafuta Designer Mzuri mwenye kujiamini kwenye Area zifuatazo: 1. Android & IO's Apps Designing 2. Website na Graphics Designing 3. DataBase Sio lazima awe na uzoefu mkuuubwa kwa maana labda awe amefanya kazi na companies kadhaa au zinazotambulika hapana...
  11. JamiiForums Tanzania WhatsApp kutofanya kazi kwenye baadhi ya simu za Android na iPhone mwaka 2021

    Programu tumishi ya mawasiliano ya Whatsapp haitafanya kazi katika baadhi ya simu kuanzia mwaka 2021, baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti. Programu hiyo haitafanya kazi katika simu za Android zinazotumia toleo la 4.0.2 au ndogo zaidi ya hiyo, na kwa simu za iPhone zinazotumia toleo la 9 (iOS...
  12. JamiiForums Tanzania Tupeane ujuzi namna ya ku-unlock network hizi simu za kijapan SHARP ANDROID ONE S3-SH

    Wakuu hii simu inaniumiza kichwa nimejitahidi kuitafutia ufumbuzi wa hili tatizo lakini bado sijaweza kufanikiwa Ina CPU ya Qualicomm nimejaribu kutumia NCK but nothing changed Kama kuna mtu alishawahi kukumbana na tatizo kama hili kwenye simu hizi za kijapan akafanikiwa kutatua naomba tupeane...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: free FL Studio for Android

    Wakuu nina shida na FL STUDIO free maana nimeingia playstore ipo ya kulipia 47,000 aliye nayo tuma download link
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku connect Simu Android kudisplay kwenye Laptop (Hasa Azam TV)

    Wadau nmekuwa nikisafiri sana ndani na nje ya nchi kutokana na nature ya kazi zangu. Changamoto ninayoipata ni kuangalia VPL kupitia Azam. Mara nyingi natumia App yao kuangalia mpira kupitia kwenye Simu.nikapata wazo la ku connect na laptop iwe ndo display ili niwe naangalia kwa ukubwa zaidi...
  15. JamiiForums Tanzania Matumizi ya android tv box

    Natumaini hamjambo, Nina tv yangu ambayo si smart tv nataka ninunue android tv box ili iwe smart tv lakini Sina uwelewa wa kutosha na matumizi ya android tv box Je kifaa hiki kinauwezo wa kuhifazi picha, movies, games na music ? Na vipi kuhusu storage naona zina storage kama za simu mfano RAM...
  16. JamiiForums Tanzania Google phone app sasa inapatikana kwa simu karibu zote za Android

    Call app bora kabisa ya kwenye simu ya Google Phone App sasa inapatikana kwa karibu simu zote za Android kwenye Google Play Store kwa ajili ya kupakuliwa. Hii Google Phone App ilikua maalum na mahususi kwa ajili ya simu za Google, Pixel ila sasa inaweza kutumika kwa simu nyingine za Android...
  17. JamiiForums Tanzania Nawezaje kuenable disabled network bands kwenye android Engineer Mode?

    Angalia picha, hiyo ni Band Mode option kwenye setting ya Engineer Mode ya simu za android , nataka kutick baadhi ya bands lakini siwezi kwakuwa zimelokiwa. Je, kuna namna ya kuzifungua ili niweze kuzitiki?
  18. JamiiForums Tanzania TCL android smart TV inch 32 kwa laki 3 na 70 tu (370,000)

    TCL android TV inch 32 kwa laki 3 na 70 tu (370,000) Netflix,Bluetooth,google play store ,WiFi Storage 4GB, Location: Boko Bunju daresalaam Simu : 0625875487
  19. JamiiForums Tanzania Telegram Launches Video Calls on Android and iOS

    Messaging app, Telegram has launched one-on-one video calls for Android and iOS. The company announced the new development noting that 2020 had highlighted the need for face-to-face communication. Telegram announced the news through a blog post which also celebrated its seventh anniversary. To...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu nataka nihamie iPhone, nasubiri iPhone 12. Je, nitakosa nini cha Android?

    Mimi ni mpenzi wa Android hasa Samsung miaka mingi na napemda sana hizi high end devices zake. Ila Samsung ananiangusha kitu kimoja tu, Camera, 📷 yake sio nzuri sana kulinganisha na hata simu za kawaida za Pixel za Google, hata leo wame-launch Note 20 ila sioni kitu cha maana kipya. Product za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…