amani

Amani High School, also known in German as Amani-Oberrealschule Kabul, (Dari: لیسه عالی امانی‎) is a school in Kabul (District 10), Afghanistan. From the time of its foundation in 1924 until 1985, Amani High School was recognized as one of the elite schools in Kabul and received direct support from Germany, which helped to provide qualified staff. German was not only taught as a foreign language, but also was the teaching language in the higher classes in most subjects, being taught by qualified German teachers. The school is under the control of the Afghan Ministry of Education.
After the US invasion in late 2001, the buildings had been looted and partially destroyed. Reconstruction began with German help in spring 2002. The German support has resumed, which was suspended during the reign of the Taliban from 1996 to 2001. German teachers once again came to Afghanistan to teach. However, German is now only taught as a foreign language. Classes in all other subjects are held in Dari. The school teaches children from class 1 to 12. Up to 4th grade the classes are coeducational. From 5th to 12th only boys are allowed.
Amani High School has two big courtyards, a mosque, a sports field with a football court, two basketball courts and stands. There are modern laboratories for the science departments: Biology, Chemistry and Physics. The classrooms are furnished with tables and chairs, which is not taken for granted in Afghan schools, even in the capital Kabul.
A ceremony to celebrate Afghanistan's return to education was held at the school, attended by interim Afghan leader Hamid Karzai. In 2007 Angela Merkel visited during her trip to Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 THRDC yapendekeza mambo 10 ya muafaka wa Kitaifa kufanikisha Uchaguzi wa Amani

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umetoa wito wa kupatikana kwa Muafaka wa Kitaifa utakaoliwezesha taifa kuelekea kwenye uchaguzi kwa umoja, utulivu na mshikamano. Kwa mujibu wa THRDC, muafaka huo ni muhimu kwani utatoa fursa ya kushughulikia changamoto na dukuduku...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amani ya Taifa ni Kipaumbele – Tuikatae Siasa za Vuguvugu na Uchochezi

    Katika kipindi hiki ambacho Tanzania inapiga hatua kubwa katika kuimarisha demokrasia na maendeleo ya kijamii na kiuchumi, ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya wanasiasa wakichagua njia za uchochezi na kuvuruga amani kwa maslahi binafsi ya kisiasa. Kauli na mienendo ya Mwenyekiti wa CHADEMA...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Uchaguzi hautafanyika wananchi mkakubaliana na msimamo wetu mkaandamana siku ya uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi usifanyike. Kauli hiyo ya Lissu, inajibu swali kuhusu mbinu ambayo chama hicho itaitumia kuzuia uchaguzi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ukristo ni dini ya Uhuru na amani, utani na mizaha haina shida, nawashangaa wakristo wanaolalamika alichofanya Mwijaku

    Ukristo ni dini ambayo imeshazoeleka kutaniwa na kufanyiwa mizaha ila ni ngumu kusikia kelele wakilalamika, nashangaa wakristo wa hapa bongo wakilalamika utani wa Mwijaku Imeshazoeleka kushoot video za bongo flava makanisani, watu kucheza amapiano na bolingo kwenye gospel, mabinti kuingia...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Jesca Kishoa: Uchaguzi usipokuwepo amani itavurugika, kwa jeshi la polisi tulilonalo hakuna atakayezuia uchaguzi

    Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Singida, Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya NO REFORM NO ELECTION inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi. Kishoa...
  6. JamiiForums Tanzania Sina amani ya maisha sababu ya aibu ya pombe

    Ndugu zangu sina hamu kabisa na haya maisha kwakuwa kila kona najulikana kuwa Mimi ni mlevi wa pombe Niliamua kuacha kabisa lakini naona aibu bado nikubwa hasa kila ninapopita nahisi watu wananisema Mimi si majirani pekee hata ninao fanya nao kazi kila siku wananisema Mimi Je nitafanyaje...
  7. JamiiForums Tanzania NDUGU MWANACHADEMA, UNACHAGUA KUA UPANDE WA KIDEMOKRASIA, NO REFORM NO ELECTIONS AU UPANDE WA MAANDAMANO YA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU WA OCTOBER?

    Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi October mwaka huu, utata na migawanyiko imeibuka hususan ndani ya chadema. Je kama mwana chadema, ukiachilia mbali mvutano wa kamati kuu na g55, wewe ungependa uwe upande gani katika mgawanyiko huu wa kidemokrasia ndani ya chadema? :NoGodNo: Mungu Ibariki Tanzania
  8. JamiiForums Tanzania Siri ya Kuwa na Amani na Furaha ni Kujifunza Kutojali Baadhi ya Mambo

    Anaitwa Bowiwksi alikuwa anapenda kuwa mwandishi wa vitabu lkn kwa bahati mbaya sana hakuna mchapishaji ambaye alitaka kufanya naye kazi,kazi yake ilikuwa mbaya na hivyo kuwafanya wachapishaji kutopenda kufanya nae kazi Alikataliwa kwenye vitabu,majarida,machapisho na hata kwa washairi,matokeo...
  9. JamiiForums Tanzania Wito watolewa kwa wapenda amani duniani kupeleka vikosi Gaza ili kuwaokoa wapalestina wasiuliwe na kuhamishwa nchini mwao

    Kasi ya kuuliwa wapalestina na kuvunjiwa utu wao imeongezeka sana huko Gaza. Kazi hiyo kwa sasa imekuwa nyepesi kwa mayahudi kuifanya kwani Hamas ambao ndio waliokuwa watetezi wamedhoofika sana.Sambamba na hali hiyo ule mori wa kuua na kuharibu umeongezeka kwa Israel kama inavyokuwa kwa mtu...
  10. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kupoteza mtu ni kutunza amani lakini kulalamika kuwa mtu amepotea ni kuvuruga amani

    Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) KUNA MAMBO HAYAKO SAWA Kuna mambo yanayotuunganisha wote bila kujali itikadi, dini, jinsia, kabila, hali ya mtu kiuchumi, ufupi au urefu wa mtu kama mimi. Haya yote yanaunganishwa na neno HAKI au kwa Kijaluo JUSTICE. Kuna mambo 10 hayako sawa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania MUFTI umeongea sana kuhusu Amani nchini lakini Bila kuzungumzia Haki usia wako unapwelea

    Ndugu Mufti Zubeir Kwa muda mrefu umezungumzia sana suala la amani nchini lakini huwa huzungumzii Haki, Pamoja na ujumbe wako wa amani hata hivyo kutokuzungumzia haki kunaufanya ujumbe wako upwelee. Dini ya Kiislamu inataka amani lakini inakataza dhulma. Mafundisho ya kiislamu yanasema kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Anayepaswa kulinda amani ya nchi hii ni CHADEMA pekee?

    Naona hivi karibuni, Kila kiongozi wa serikali au wa kidini anayesimama anasema vyama vya siasa vinapaswa kuilinda amani ya nchi. Lakini katika maelezo ya Kila mmoja kwa kina, utagundua anazungumia agenda za CHADEMA ikiwemo Ile ya "no reforms, no election". Yaani kwa tafsiri nyepesi...
  13. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu WAISLAM, Mzee Kibao wa CHADEMA aliuliwa waziwazi ,Msikubali Kíongozi wa Dini awaimbishe Porojo za Amani bila Haki

    Allah Akbar !!. Jambo Moja ninalowakubali WAISLAM ni Imani na Misimamo mikali. Quran tukufu inakata Uonevu na Dhuluma Kwa namna yoyote. Kama Mzee Kibao alikua Kiongozi Mkubwa wa CHADEMA, na Muislam mwenzenu, vipi kuhusu Raia wa kawaida kabisaa ambaye ni Muislam na ni Mfuasi wa kawaida wa...
  14. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Eid ni Amani, Amani, Amani Mbona hawazungumzii HAKI?

    Habari Wananchi? Hivi Hawa watu wanaohubiri kuitunza amani yetu hawaoni kwamba ni Serikali na ccm ndiyo wanaohatarisha Amani yetu kwa kung'ang'ania kukumbatia mifumo mibovu ya chagizi zetu? Ujumbe huu wa amani Kila Kona kwa siku ya Leo nadhani ni mpango maalumu ili watu watakapokuwa wanadai...
  15. JamiiForums Tanzania Hakuna nchi yeyote Duniani yenye Amani bila haki

    Siasa ni kuwajibika Siasa ni sayansi Siasa sio biashara Siasa sio kusifiwa Kuna kukosolewa Hata kutukanwa pia Kama Yesu alisemwa mtume Mohammad alitukanwa wewe ni Nani usisemwe na kukosolewa? Kama hautaki kukosolewa, sikiliza umma tenda umma wanachokitaka!! Wengi wape hiyo ndio democracy...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mufti huwezi kuongelea amani halafu huongelei haki ni uchawa!

    Mufti inasikitisha kwa kuweka uchawa mbele. Anaongelea amani lakini kajisahaulisha kwenye chaguzi huru, haki , utekaji kama vile kila kitu ni sawa. Sio kweli tatizo la Amani litapindishwa na Haki. kuibia kura za wananchi chama kimoja hapo wananchi wakifanya fujo hilo sio tatizo la wananchi...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Kufanyia mazungumzo ya amani Uarabuni

    Baadhi ya nchi za Uarabuni zimekuwa zikihusika katika mazungumzo ya amani katika migogoro mbalimbali ya kimataifa mfano Qatar. Kwa mfano, Tshisekedi na Kagame walikuwa wanakimbiana kuanzia Dar, Angola, lakini wamekubali kukutana huko Qatar na kukubali kusitisha mapigano bila masharti. Si hiyo...
  18. JamiiForums Tanzania Kama mnataka amani rudisheni mateka mliowateka oct 07,2023

    Mjumbe wa Israel kwenye Umoja wa Mataifa a Waambie ukweli UN kuhusu msimamo wa Israel huko Gaza. https://x.com/phareselisha1/status/1902032088691331463?s=61
  19. JamiiForums Tanzania Kulikoni Rais wa nchi kukaa kimya katika siku ya kumbukizi ya kifo Cha mtangulizi wake ? Kuna jambo halipo sawa! Magufuli pumzika kwa amani

    Mpaka sasa hakuna page yoyote ya rais iliyoposti chochote kuhusu kumbukizi ya mtangulizi wake john pombe magufuli ! Sio waziri mkuu Wala makamu wa rais aliyethubutu kuzungumza chochote ! Labda tunajaribu kuifubaza siku hii muhimu ni yenye kumbukumbu ya kutisha kuwahi kuipata nchi yetu !na kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Pumzika kwa amani John Pombe Magufuli uliyoyafanya ndio yameanza kufanyika Marekani 2025

    Hakika Tanzania,Afrika na Dunia haitoacha kukumbuka mazuri yako. Leo hii Marekani inapiga vita dhidi ya ushoga,vita visivyo na tija,NGO s uchwara zinazoneemesha wachache kwa kisingizio cha huduma. Uliondoa wafanyakazi feki leo hii marekani wameanzisha kitengo maalumu cha kuangazia ufanisi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…