Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ametoa wito kwa Watanzania kuwa wazalendo kwa vitendo na kuhakikisha kuwa amani, utulivu na mshikamano wa kitaifa vinaendelea kudumishwa, hasa katika kipindi hiki kinachoelekea uchaguzi.
Akizungumza Mei 25, 2025 katika...