amani tanzania

The Amani Forest Reserve, officially listed as Amani Nature Forest Reserve (Msitu wa Akiba wa Amani, In Swahili) is a forest reserve of Tanzania located the Muheza and Korogwe Districts in the Tanga Region of Tanzania. The nature reserve was established in 1997 in order to preserve the unique flora and fauna of the East Usambara Mountains. The East and West Usambara Mountains are a biodiversity hotspot. The Amani Nature Reserve includes tropical cloud forest habitats.
Amani is home to African violet (Saintpaulia), which are thought to have a spiritual component (power of forgiveness) to the native Shambaa people, has enormous ecological value in the Amani ecosystem. The region is listed as one of the top 12 bird-watching locations in the world by Bird Life International, and the Reserve is a recognized Man and Biosphere Reserve by UNESCO.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Jamii ya Wandondi na Wandwewe yaomba amani Tanzania na Afrika

    Na Mwandishi Wetu. JAMII ya Wandondi na Wandwewe, imetoa mwito wa kitaifa na kimataifa kwa watu wote wenye nia njema kuungana katika Dua Maalum kwa ajili ya Amani, Umoja, Maridhiano, Mshikamano na Ulinzi wa Maisha ya Binadamu. Dua hiyo ni mwito wa pamoja unaolenga kuwakutanisha watu wa imani...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Global Peace Index: Tanzania yaporomoka kwa nafasi 20 kwenye orodha ya nchi zenye amani zaidi duniani

    Tanzania imeporomoka kwa nafasi 20 katika Ripoti ya Kipimo cha Amani Duniani (Global Peace Index - GPI 2026), na sasa inashika nafasi ya 98 kati ya nchi 163 zilizotathminiwa duniani. Kwa mujibu wa ripoti hiyo iliyotolewa na Taasisi ya Uchumi na Amani (Institute for Economics & Peace - IEP)...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania msichezee kabisa mifumo ya kiuongozi. Mtakuja kuiangamiza nchi yenu kama Somalia au Liberia

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Kabla ya vurugu na mauaji ya Oktoba 2025, TCRA waliwahi kuchezea mifumo ya utendaji kazi pale ofisi zao kuu za Dar Es Salaam kisha nikawaandikia ujumbe huu wa barua pepe pasipo mimi kujua kama Kuna balaa linakuja mwezi wa Oktober. ==== Habari za wakati huu, Ndugu...
  4. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Tudumishe amani Tanzania video

    https://youtube.com/shorts/iz-L9D8Tvug?si=Hj5zabg1oScnBzUu
  5. Magayor Mongolian

    JamiiForums Tanzania Rasmi : Zungu Kakere Og ndiye Kaka wa Taifa kwa uthubutu wake wa kuhamasisha amani Tanzania

    Huyu jamaa nilimfahamu katika uzi mmoja Jf Kuna madu alikuwa anamzungumzia hapo nikaaenda moja kwa Moja Instagram katika akaunti yake kufuatilia. 1. Katika kipindi ambacho watu wanaopenda Amani walikuwa wanaogopa hata kukomenti mitandaoni kukemea Fujo za maandamano kwa kuhofia matusi na kejelu...
  6. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 BAKWATA Tabora: Wahadhiri wa Kiislamu wasitoe tena matamko. Maelekezo yatahusu ofisi ya BAKWATA

    Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) mkoa wa Tabora limepiga marufuku wahubiri na wahadhiri wa kiislamu kutoa matamko yanayoweza kuzua taharuki kufuatia vurugu zilizotokea wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29. Akizungumza wakati wa sherehe za Watoto waliohitimu mafunzo ya Quran Mkoani...
  7. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Cyprian Hilinti: Tuitunze amani Tanzania, ukifatilia wanaochoma sheli shida inaanzia kwa wazazi wao

    Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kati (Singida), Dkt. Cyprian Hilinti, ametoa wito kwa Watanzania kuilinda amani iliyopo nchini, akisisitiza kuwa bila amani hakuna shughuli yoyote ya uzalishaji, kiuchumi, kidini wala kijamii inayoweza kuendelea. ''hawa watu wanaochoma sheli ukifuatilia shida inaanzia...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kwenye suala ili tusikubali maneno ya watu wanaosema tumuachie Mungu

    Nashangaa sana na watanzania wanaosema wamemuachia Mungu atutetee. Jamani, kweli Mungu anaweza kumtetea watu mwenye akili timamu, mikono miwili na miguu miwili, halafu wanakaa tu bila kufanya kitu? Wengine wanajificha kwenye kivuli cha unyonge, lakini unyonge gani huo kama tuna akili na...
Back
Top Bottom