amani nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kimbesa11

    Mwaka huu ndo nimejua kuwa CCM ni chama pekee kinachosimamia agenda ya Amani ya Tanzania yetu. Hongera CCM kwa hili

    Kuna vyama nchini vinatumwa na mabeberu kuharibu amani ya Tanzania yetu, wanahangaika kwa mabeberu mpaka wameitwa masokwe lakini bado. Mfano; Hiki chama cha Chadema ndicho chama cha vurugu nchini, kipo radhi kikeshe bunge la ulaya kwa lengo la kuhatarisha amani ya Tanzania yetu. Ni vema wakajua...
  2. Mafyangula

    GE2025 Dkt Judith Mhina: Kila mtu ana jukumu katika kuhimiza amani nchini

    Wakati taifa likielekea katika uchaguzi mkuu, wa kuwachagua viongozi mbalimbali akiwemo Rais, Wabunge na Madiwani, Taasisi ya mwanamke na nguvu ya kijani nchini, imeandaa kongamano la viongozi wa dini, wafanyabiashara vijana na taasisi mbalimbali lengo likiwa kuhamasisha amani. Akitoa taarifa...
  3. Mafyangula

    JWTZ yatuzwa Nishani za Umoja wa Mataifa kwa Uhodari wa Kulinda Amani Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Kikosi cha Nane cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (TANBAT 08) kinachoshiriki katika operesheni za kulinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) kimetunukiwa Nishani za Ulinzi wa Amani za Umoja wa Mataifa (UN) kutokana na mchango wake mkubwa katika kurejesha na kudumisha utulivu...
  4. Mashamba Makubwa Nalima

    Mlinogewa sana kuua waTanzania nyie watu, nyie ndiyo sababu hakukuwa na amani nchini

    Na kila aliyehusika na haya mauaji ya ndugu zetu atalipia. Haijalishi kama ulitubu, ulichangia ujenzi wa makanisa, ulichangia misikiti, ulifuturisha, ulianzisha kituo cha kulea watoto yatima. Kama umehusika kwenye kupora uhai wa mtanzania yoyote lazima utalipia. Hakuna muda tena wa...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 BAKWATA yahimiza amani nchini na Siasa safi mwaka wa Uchaguzi

    Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuru Mruma, amesema baraza hilo linawahimiza Waislamu na Watanzania kwa ujumla kulinda amani iliyopo nchini, kwani bila uwepo wa amani shughuli za kimaendeleo katika jamii haziwezi kufanyika, na hata ibada pia hazitafanyika...
  6. mshale21

    PreGE2025 Serikali yaahidi kutofumba macho dhidi wanaovuruga amani

    Kwa kuwa suala la amani ni jukumu la kila mtanzania kabla ya wizara yenye mamlaka husika moja kwa moja. Ni kwa nini wenye mamlaka husika wasingewaweka wazi watu hawa wabaya ili sisi raia tuwatambue kuliko kutupa jiwe gizani? ================ Watanzania wameombwa kuendelea kudumisha muungano...
  7. M

    MUFTI umeongea sana kuhusu Amani nchini lakini Bila kuzungumzia Haki usia wako unapwelea

    Ndugu Mufti Zubeir Kwa muda mrefu umezungumzia sana suala la amani nchini lakini huwa huzungumzii Haki, Pamoja na ujumbe wako wa amani hata hivyo kutokuzungumzia haki kunaufanya ujumbe wako upwelee. Dini ya Kiislamu inataka amani lakini inakataza dhulma. Mafundisho ya kiislamu yanasema kuwa...
  8. S

    Tanzania tunaanza kuwa na Makaburu weusi wasiovumilia lolote kuhusu marekebisho ya Katiba au haki za uchaguzi, wakiviona ni uvunjifu wa amani nchini!

    Imefikia mahali ambapo viongozi wa upinzani, viongozi wa kidini, taasisi za kijamii za ndani na nje, ofisi za ubalozi, watu binafsi mmoja mmoja au kama vikundi, nk, wakatamka jambo lolote kama mashauri au kukosoa kuhusu mustakabali wa uongozi nchini Tanzania wenye kuboresha haki, uongozi bira...
  9. B

    Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye alithibitisha dhamira ya Burundi katika kuleta amani nchini DRC

    27 February 2025 Ikulu ya Gitega Burundi RAIS WA BURUNDI , EVARISTE NDAYISHIMIYE, ABADILI MSIMAMO WA BURUNDI KATIKA KULETA AMANI NCHINI DRC, Rais Evariste Ndayishimiye akutana na mabalozi wa kigeni wanaowakilisha nchi zao nchini Burundi kwa mara ya pili mwaka huu 2025, na kuleta mapendekezo...
  10. GoldDhahabu

    Ungefanyeje ili kurejesha amani nchini Congo DRC?

    Kama ungelikuwa Rais wa Congo DRC, ungeweza kuifanya hiyo nchi kuwa na amani? Naamini suluhisho la Congo DRC lipo kwa Wacongoman wenyewe! Lakini hilo wataweza kulifikia kupitia viongozi wao, kama wasemavyo "wahenga", "Everything rises and falls under the leadership" Ingelikuwa wewe ndiye Rais...
  11. Meneja Wa Makampuni

    Kama ulikuwa hujui, hizi ndizo nafasi za nchi kwa amani zaidi kutoka ya juu hadi ya chini duniani

    WORLD’S MOST PEACEFUL NATIONS: FULL RANKING Rank Country 1 🇮🇸Iceland 2 🇮🇪Ireland 3 🇦🇹Austria 4 🇳🇿New Zealand 5 🇸🇬Singapore 6 🇨🇭Switzerland 7 🇵🇹Portugal 8 🇩🇰Denmark 9 🇸🇮Slovenia 10 🇲🇾Malaysia 11 🇨🇦Canada 12 🇨🇿Czech Republic 13 🇫🇮Finland 14 🇭🇺Hungary 15 🇭🇷Croatia...
Back
Top Bottom