amani na haki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania MADA: Kati ya Amani na haki ipi ianze mwanzo

    Mimi maoni yangu  Amani ni mlango wa haki. Huwezi kudai haki kwa bunduki mkononi. Hebu kwanza tuweke amani, ndipo tuketi mezani tuzungumze haki. MADA: Amani vs Haki - Ipi ije Kwanza? Wadau, Tumekuwa tukisikia watu wakisema "tunataka amani" na wengine wakisema "tunataka haki". Swali langu...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof Issa Shivji: Watanzania sio wajinga. Kiungo kati ya AMANI na HAKI ni UWAJIBIKAJI. Hatuwezi kupiga hatua bila viongozi wakosaji kujiwabika!

    https://youtu.be/0niFxKMdOSI?si=AQnb1lDVaELvbk05 ANASEMA: Nchi hii si mara ya kwanza kushuhudia ukatili na mauaji ya watu (raia) wasio na hatia uliofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama chini ya usimamizi wa viongozi wa kiraia ma RCs, DCs au Mawaziri Tofauti na wakati ule, katika matukio ya...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 UDASA: Kutokana na Ripoti ya Jaji Chande, Msingi wa amani na utulivu Tanzania ni haki, usawa, uwajibikaji, na kuheshimu haki za binadamu

    Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) imetoa tamko zito kuhusu hali ya amani na utulivu nchini kufuatia matukio ya uvunjifu wa amani yaliyojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Kupitia uchambuzi wa wasilisho la Tume ya Rais iliyoongozwa na Jaji Mohamed...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Bagonza awauliza BAKWATA; Kwa Miaka 60 tunaitwa kisiwa cha amani, Je Haki ilikuja?

    Huyu ni Askofu Bagonza, Msomi wa PhD , anawauliza hao Wafuga Ndevu zinazopakwa Brichi, Wanaohusudu Ngono na kupitisha visheria Uchwara vya kuoa watoto wa miaka 10 , Watu wenye Elimu za Darasa la Saba , anawauliza, Kwa miaka 60 ambayo Tanzania imeitwa Kisiwa Cha Amani, je HAKI ILIKUJA??. Kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kutetea Haki ya watu kwenye taifa sio jukumu la mtu mmoja au kikundi fulani cha watu ni jukumu la kila mtu.

    Ndugu Watanzania Hamjambo! Nimeona watu wakilaumiana na kurushiana maneno. 1. Wengine wanalaumu Jeshi na vyombo vya Dola. 2. Wengine wanalaumu viongozi wa Dini 3. Wengine wanalaumu wasanii na watu mashuhuri 4. Wengine wanalaumu waandishi wa habari na media 5. Ndugu zangu, jukumu la...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Sheikh wa mkoa wa Dar: Kama hakuna amani na haki pia haipo. Kikishanuka kwelikweli unaweza kwenda mahakamani kutafuta haki yako?

    Wakuu, Kwenye huu mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025 ambao umeandaliwa na JMAT - Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania kuna point imeibuliwa na huyu Sheikh Anasema pamoja kwamba kuna ukweli kwenye kauli ya kwamba hakuna amani bila haki lakini pia ni...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nimejifunza kutoka Irani kuwa Nchi ikichafuka hata viongozi hawatakuwa Salama, Kulinda Amani na Haki ni wajibu kwa Sote

    Kumekuwa na nyimbo za kila siku. Makabwela tunaambiwa tutunze amani amani...... Linapokuja swala la kutendewa haki sisi makabwela hatukumbukwi. Tunahimizwa tu tutunze na kulinda amani. Kilichotokea kwenye Machafuko ya sasa huko Nchini Irani kimetupa funza kali Mkuu wa Nchi hiyo amekimbia...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha tu wenye Nia ovu kuangalia rangi za bendera yetu ya taifa, haina Red color

    Rangi za bendera yetu ya nchi yetu nzuri Tanzania ni Bluu, Njano, kijani na nyeusi. Rangi hizo hazipo hapo kwa bahati mbaya. Hata pamoja na mapinduzi ya Zanzibar kufanyika, bado rangi nyekundu haikuingizwa ndani ya bendera yetu ya taifa. Taifa hili limejengwa Katika misingi ya umoja, upendo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini simamieni haki na amani kwa pamoja bila kuvitenganisha nchini

    Kwa hali tuliyomo kisiasa kama nchi suala la Haki na Umoja lazima lisemwe kwa pamoja. Wananchi tumegundua kuna kundi la viongozi wa dini wapigania HAKI kama kipaumbele na kuna kundi lina pigia chapuo AMANI kwanza kwa kuipata kwa hali yoyote ile, kuna kundi la kati linazungumzia UTULIVU zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…