"Jitihada zote ambazo zimeongozwa na viongozi wa kanda ya Nyasa, viongozi wa mikoa na wilaya ambazo zinalilia na kuonesha thamani ya maisha ya Mdude, na tumekuwa na Mazungumzo pia kupitia viongozi wa kanda na mikoa, mazungumzo na RPC, RC, RCO, askari kutoka makao makuu ya jeshi la polisi DOdoma...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kimepokea majeruhi 21 wanaodaiwa kujeruhiwa na askari wa Jeshi la Polisi katika tukio la Aprili 24, 2025, wakati wakielekea Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia kesi ya mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
Naibu Katibu Mkuu wa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesema mpaka kufikia hivi sasa hakina taarifa za alipo mjumbe wa Baraza Kuu la chama hicho Hilda Newton baada ya kukamatwa siku ya jana akiwa eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar Es Salaam.
Akizungumza na vyombo vya habari leo April 25...
"Waliokatwa ni makamu mwenyekiti wa chama chetu Zanzibar Said Mzee yeye alikamatwa kwenye gari akapigwa, hawa polisi walikuwa wanapiga marungu kwenye migongo, walikua wanageuzwa hivi halafu kwenye katikati ya uti wa mgongo marungu yanapigwa, ilikuwa ni kitendo cha unyama uliopitiliza."
Kupata...
"Jumla ya majeruhi mpaka jana usiku tuliwapeleka hospitali na wakapata matibabu walikuwa ni majeruhi 21 na nitawataja majina yao na hali zao, walipigwa na kutupwa Mabwepande porini msituni, ndio msitu ambao baadhi ya watu ambao tunawafahamu waliuawa na wakatupwa katika msitu huo akiwemo...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Amani Golugwa amesema msimamo wa chama hicho kutosaini kanuni za uchaguzi Mkuu 2025, wanajiona wako sawa huku akikisisitiza hawatakimbilia kusaini zaidi ya kufichua yasiyofaa.
“Tunaona tunaenda sawa kabisa na watu...
Naibu katibu Mkuu wa CHADEMA, Amani Gologwa amelitaka Jeshi la polisi kuacha kuwapangia cha kuzungumza kwani siasa ina luga zake ambazo ni tamu.
Aidha amelitaka jeshi kufanya majukumu yake ya msingi ikiwemo klinda raia, kufuatilia waliotekwa na kesi nyingine ikiwemo ya Lissu aliyepigwa risasi...
Wakuu,
Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara, Amani Golugwa amesema watu wa CCM wamegeuka kuwa wasemaji wao, lakini wao msemaji wao ni mmoja tu, Brenda.
Anasema ukiwasikiliza wasemaji wa CCM kama wasira, makalla wamekuwa kama wasemaji wao, wanawasaidia kufikisha ujumbe lakini, wakome maana...
Taarifa kamili hii hapa
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA-Bara Mhe Amani Golugwa leo amefika ofisi ya Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kufuatia wito wa Polisi uliotolewa kwake na Jeshi hilo tarehe 24 Februari 2025.
Mhe Golugwa alisindikizwa na Mwenyekiti wa CHADEMA...
Pichani za mhe. Amani Golugwa aliye Kampeni Meneja wa Tundu Lissu. Siku za Karibuni alipata mafunzo Kwa ufadhili wa nchi Za Europian Union kuhusu masuala ya kisiasa.
Kwenye uchaguzi wa Malawi alishiriki kama mwangalizi chini ya European Union. Yupo very trained kwenye issue hizo za kisasa.
Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.