Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, Amani Golugwa, amemtaka Dkt. Mwigulu Nchemba kuacha kupotosha umma kuhusu madai ya msingi ya wananchi juu ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Amesema madai hayo hayakuibuka ndani ya miezi mitatu kuelekea uchaguzi mkuu, bali yalianza muda mrefu uliopita...
Naibu Katibu Mkuu, Amani Golugwa, amesema serikali kupitia kwa Msemaji wa Serikali imeshindwa kujibu tuhuma zilizotolewa na CNN kuhusu uwepo wa makaburi ya halaiki. Amesema kama kuna uwezekano, waende kwa kutumia kamera na greda wakafukue maeneo yanayotajwa ili kupata ukweli wa suala hilo...
Naibu Katibu Mkuu, Amani Golugwa, amesema kauli ya Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kuhusu idadi ya watu waliopoteza maisha katika maandamano ya Oktoba 29 ni ya kubeza maumivu ya familia zilizofiwa. Amesema kuwa katika kipindi hiki serikali ilipaswa kujikita zaidi kwenye mazungumzo kuhusu watu...
Akizungumza leo Novemba 27, 2025 Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Amani Golugwa amerejelea Mkutano wa Wazirir Mkuu Dkt. Mwigulu na wahariri wa Vyombo vya Habari iliyofanyika Novemba 25 akitoa ufafanuzi juu ya swali kwamb kwa nini Serikali haijatoa idadi vifo vya...
AMANI Golugwa, Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) bara, amekamatwa na jeshi la polisi, akiwa nyumbani kwake jijini Dar es Salaam. ikumbukwe kuwa jeshi la polisi hapo jana lilitangaza msako wa kuwatafuta viongozi wa chama hicho.
Pia Soma: Polisi: Gwajima, Golugwa...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, amesema kuwa chama hicho kitaendelea kupigania haki na ukombozi wa taifa licha ya changamoto mbalimbali zinaoendelea nchini . Kauli hiyo ameitoa wakati akishiriki mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA...
"Siku tukiwatoa Madarakani CCM kwa jina la Mungu muumba wa majeshi hiki chama kitakufa kwa sababu wamelegealegea, wamezoea utepeutepe, wanabebwabebwa na dola, siku tukiwatoa na jinsi tulivyo na hasira kuijenga taifa hili, jinsi tulivyo na akili ya kutumia rasilimali za taifa hili itatuchukua...
Akizungumza kupita Global TV Naibu katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Amani Golugwa amesema wamemuandikia barua mkuu wa majeshi nchini kumkumbusha kauli ya ya baba wa taifa kuhusu wajibu wa jeshi la wananchi kulinda katiba na mfumo wa vyama vingi.
"Tumemuandikia barua mkuu...
Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, amesema chama hicho kilifanya mashauriano ya kina na makundi mbalimbali ya kijamii kabla ya kuanza kampeni za mikutano ya hadhara ya viongozi wake wakuu, na matokeo yake yameonesha uungwaji mkono mkubwa...
"Injinia Hersi Said ametuthibitishia kwamba ni mfanyakazi wa GSM na wakati huohuo ni Rais wa klabu ya Yanga... a conflict of interest (Mgongano wa kimaslahi). Inapotokea kwamba wewe ni kiongozi wa klabu, halafu wewe pia ni sehemu ya watumishi wa kampuni inayodhamini hiyo klabu. Inapotokea...
Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA – Tanzania Bara, Amani Golugwa, amefunguka kuhusu ukimya wa hivi karibuni kati ya chama na Mwenyekiti Mstaafu Freeman Mbowe, akisisitiza kuwa hakuna ugomvi wala kununiana.
Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) – Tanzania Bara, Amani Golugwa ameweka sawa kuhusiana na ukimya mzito wa mwenyekiti mstaafu wa chama chao Freeman Mbowe.
Wakili msomi Dickson Matata kwa kushirikiana na jopo la mawakili wa CHADEMA, wamefanikiwa kupigania haki ya dhamana kwa Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa, ambaye alikamatwa usiku wa kuamkia leo Mei 13, 2025 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) na kushikiliwa katika...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa wadhamini waliokwenda katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumdhamini Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa, wamekamatwa na Jeshi la Polisi wakiwa kituoni hapo.
Taarifa ya chama hicho imeeleza kuwa waliokamatwa...
Wakuu,
Ila Polisi :BearLaugh: :BearLaugh: mpaka hata ni fezea kuanza kuwajibu! Hivi wanajiskiaje wakiandika huu upuuzi?
Uhamiaji wako wapi kufanya kazi yao? Na kipindi chote hiko walikuwa hawaoni kama anashida kwenye documents zake?
Asee Jeshi la Polisi sasa limekuwa kama tambara kwa...
Wakuu,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa taarifa ya kukamatwa kwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho upande wa Bara, Mhe. Amani Golugwa, usiku wa kuamkia Jumanne, Mei 13, 2025, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam.
Pia Soma: Jeshi la...
"Jitihada zote ambazo zimeongozwa na viongozi wa kanda ya Nyasa, viongozi wa mikoa na wilaya ambazo zinalilia na kuonesha thamani ya maisha ya Mdude, na tumekuwa na Mazungumzo pia kupitia viongozi wa kanda na mikoa, mazungumzo na RPC, RC, RCO, askari kutoka makao makuu ya jeshi la polisi DOdoma...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kimepokea majeruhi 21 wanaodaiwa kujeruhiwa na askari wa Jeshi la Polisi katika tukio la Aprili 24, 2025, wakati wakielekea Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia kesi ya mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
Naibu Katibu Mkuu wa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesema mpaka kufikia hivi sasa hakina taarifa za alipo mjumbe wa Baraza Kuu la chama hicho Hilda Newton baada ya kukamatwa siku ya jana akiwa eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar Es Salaam.
Akizungumza na vyombo vya habari leo April 25...
"Waliokatwa ni makamu mwenyekiti wa chama chetu Zanzibar Said Mzee yeye alikamatwa kwenye gari akapigwa, hawa polisi walikuwa wanapiga marungu kwenye migongo, walikua wanageuzwa hivi halafu kwenye katikati ya uti wa mgongo marungu yanapigwa, ilikuwa ni kitendo cha unyama uliopitiliza."
Kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.