ama

Āma was a medieval Indian king who ruled the Kingdom of Kannauj and surrounding areas during the 8th and the 9th centuries. According to the Jain chronicles, he was the son and successor of Yashovarman.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Polisi msiuingie mtego wa kuzuia maandamano ya 9D ama kwa makusudi au kwa bahari mbaya.

    Wenzenu watakuwa nje ya nchi na familia zao wakiwaangalia kwenye TV, wakati ninyi mnapambana na raia ambao hata baada ya masaa ya kazi mnaenda kuishi nao huko mitaani. Mwenye masikio na asikie. Tarehe 9D siyo siku ya utani. Polisi atakayeliona onyo hili amtaarifu na mwenzie.
  2. S

    NADHARIA Je, mvua kunyesha wakati jua linawaka ni ishara ya kuwa simba anazaa? Ama uhalisia ukoje?

    Wakuu Nimekumbuka ile dhana ya muda mrefu kuwa mvua ikinyesha basi ni ishara kuwa simba anazaa huko porini. Je wewe ulisikia nini kuhusu jambo hilo? Na je uhalisia ni upi?
  3. Tiktok, Twitter, VPN, P*rn Sites zafunguliwa rasmi Tz. Ama TCRA aliyekuwa night shift amejisahau?

    Nimeamka leo asubuhi VPN yangu ikawa imejizima nilipolala. Kabla sijaiwasha kwa bahati mbaya nikawa nimebonyeza notification moja ya Twitter. Heeeh, cha kushangaza ikafunguka, narudi nyuma na kurefresh TL yangu nashangaa kila kitu kinafanya kazi bila shida. Nikaingia Tiktok nako vilevile, kila...
  4. K

    Mwanasheria wetu unakielewa ulichokiongea kuhusu Mange ama unataka kumfurahisha aliyekuteua?

    Nilimskiliza Mwanasheria wetu wa Serikali akiongea kuhusu Mange Kimambi kufanya jinai kwa kuhamasisha Maandamano, na akaendelea kwa kusema anafanya jitihada zozote hata za Kidiplomasia Mange arudishwe kujibu mashitaka. Ni aibu sana kwa mwanasheria msomi kuongea PUMBA kama hizi. Ninapata wasiwasi...
  5. Watakuja kupiga mogoti wenyewe ama kukimbia nchi hii, wanajitia viburi kwa nafasi ya muda tu

    Watakuja kupiga mogoti wenyewe ama kukimbia nchi hii, wanajitia viburi kwa nafasi ya muda tu
  6. Dunia imeisha! Stori ya mwanamke aliyetokea nchi ya Torenza ambayo haipo duniani

    Who is the Torenza Passport woman and why is the JFK Airport video going viral? Explained. A viral video showing a woman at JFK presenting a passport from the nonexistent country ‘Torenza’ has sparked theories of AI-generated misinformation. A bizarre video from John F Kennedy International...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…