Ubalozi wa Tanzania - Tokyo, umepokea wanariadha wa Tanzania, Sgt. Alphonce Felix Simbu, Mshindi wa Dunia wa Mbio Ndefu (Marathon) katika Mashindano ya Dunia 2025 yaliyofanyika Tokyo, Japan, pamoja na Cpl. Josephat Joshua Gisemo, wakiwa wameambatana na ujumbe wao.
Mapokezi ya ujumbe huo...