ali kamwe

Ali Kamwe (au Ally Kamwe) ni mmoja wa wachambuzi wa soka na maafisa habari maarufu na wenye ushawishi mkubwa sana nchini Tanzania kwa sasa.

Anafahamika sana kwa nafasi yake kama Afisa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga (Young Africans Sports Club).

Kazi Ndani ya Yanga SC: Aliteuliwa kuwa msemaji mkuu wa Yanga, akichukua majukumu ya kuwasiliana na umma, kutangaza mechi, na kuhamasisha matukio makubwa ya klabu hiyo

Amekuwa nguzo muhimu sana katika kuunganisha uongozi wa Yanga na mashabiki wake.

Ali Kamwe anasifika kwa kuwa na mbwembwe nyingi, uwezo mkubwa wa kujenga hamasa (hype), na ubunifu wa hali ya juu anapofanya mikutano na waandishi wa habari.

Mara nyingi amekuwa akibuni misemo na majina ya utani kwa wachezaji ambayo hupendwa na kutumiwa sana na mashabiki mitaani
  1. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe hongera sana kwa Kuoa ila umehakikisha kuwa Boss wako Mmoja mharibifu hadi kwa Wake za Wachezaji hatopita pia na Mkeo huyu Mrembo?

    Uzuri wetu wengine Wachezaji wako ni Marafiki zetu na hawatufichi jambo. Boss hapendi vitu vizuri vizuri vimpitie mbali.
  2. JamiiForums Tanzania Ally Kamwe: Lolote kuhusu usajili wa Yanga nipigiwe simu mimi

    "Niwaombe tu Baadhi ya vijana wenzangu ambao ni Waandishi wa Habari .. Mtu anapokupa stori Yoyote kuhusu yangasc.. Ni Vyema Ukanipigia kwanza ili UBALANCE kisha ndio uandike Kilichotokea Leo kwa PRINCE DUBE kimewadhililisha sana... Na inaweza kusababisha Jamii isiwaamini Tena mnapoandika Habari...
  3. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe hamna supu ya ngamia wa crdb cup huko tujuzeni mapema?

    MH Ali KAMWE TUPE MREJESHO kama kuna supu ya NGAMIA WA CRDB Tena tujiandae mapema NBC mlitupa suprise tukashindwa kuja YANGA Moja daima
  4. JamiiForums Tanzania Ally Kamwe: Nitapeleka barua rasmi Simba kuwaomba wadhaminiwe na GSM ili wasipoteze dira

    Ameyasema hayo muda mfupi baada ya game ya Yanga vs Simba ambapo Yanga iliidungua Simba bao 2:0. Ameongeza kuwa katika misimu minne mfululizo, Simba ndiyo timu inayo ongoza kwa kufungwa na Yanga na kwamba imefungwa zaidi ya timu zinazo dhaminiwa na GSM hivyo ni wakati wa kupokea barua ya posa...
  5. JamiiForums Tanzania Mnguto na Kasongo hawakujiuzulu kwasababu za Yanga, bali kuitaja serikali mbele ya Ally Kamwe

    Kwa desturi za waafrika, watanzania na Karia, Kila nafasi ni ajira kamili, hivyo hatuna utamaduni wa kujiuzulu hata kama watu waseme nini. Hata Hawa hawakujiuzulu kwasababu wameboronga. Uwezekano nii mkubwa sana kwamba huenda wamejiuzulu kwasababu ya kuitaja serikali kwenye kikao kama chanzo...
  6. JamiiForums Tanzania Derby ya kariakoo Kuahirishwa ilikuwa siasa tupu

    Ukiisikiliza hoja za yanga Kuna baadhi zina maslahi Kwa mpira wetu na zingine hazina maslahi kwa mpira bali zina maslahi Kwa timu yao, nafikiria kama kiongozi mkubwa wa serikali aliwaamuru walinzi wasiwafungulie geti Simba Sc siku moja kabla ya mechi ni dhahiri kuwa mpira wetu una uhusiano wa...
  7. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita

    Press ya Yanga muda huu, Pamoja na kuendelea kugomea mechi ya Derby ya Tar 15 June 2025, msemaji amesema hawatacheza mechi ya fainali iwapo hawatalipwa pesa za ushindi wa kombe la CRDB la msimu uliopita. "Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu...
  8. D

    JamiiForums Tanzania ally kamwe akijichanganya kibarua chake kinaweza kuisha leo

    I wil be short hiki kikaoo cha Yanga ndo hatima ya kibarua cha ally kamwe, yani majibu yakitoka ya ajabu kazi hana. mwakani atafute kazi ya kufanya , wana yanga wapo moto wana sikiliza akijichanganya tu. wana mkataa mazima
  9. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Bodi ya Ligi ikisikiliza na kutekeleza mahitaji yetu tutacheza Kariakoo Derby ya Juni 15, 2025

    “Yanga ni klabu ya Mpira wa Miguu, hatuna kazi yoyote zaidi ya kucheza Mpira wa miguu hivyo endapo matakwa yetu yatasikilizwa na kufanyiwa kazi mbungi itapigwa June 15” Ali Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC akihojiwa na Wasafi FM, leo Juni 9, 2025.
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga kumtumia Ali Kamwe na baadhi ya wazee kutangaza watacheza derby kwa Maslahi mapana ya Mpira

    Baada ya kukwaa visiki Kila waendako TFF&BODI YA LIGI, CAS na HATIMAYE MAHAKAMA KUWAFURUSHA hapo Jana. Viongozi wa Yanga wamejiandaa na kubadili gia angani Huku wakitarajia muda wowote Ule kukutana na kubadili maamuzi ya kutokucheza derby tarehe 15 Juni. Taarifa Toka chanzo cha kuaminika...
  11. JamiiForums Tanzania Haka ka Ally Kamwe kanatusaliti: Yanga ipo tayari kucheza na Simba Derby

    Naona ameona ujinga wake umeshafahamika. Haka kadogo hakana msimamo kabisa. Sasa hizi jersey zetu za hatuchezi tutazifanyaje? Kameshaanza kulegeza. Simba hawatajibu huo upuuzi.
  12. JamiiForums Tanzania Maneno ya Ally Kamwe baada ya matokeo ya mechi ya Simba vs Mashujaa asema "tuwaheshimu viongozi wetu"

    Meneja wa Habari na Mawasiliano Ally Kamwe kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ✍🏿 "Kwa mlioyaona Leo Wanayanga na bado Timu yetu inaongoza Ligi .. Ni Ishara kuwa Tunapaswa kuwaheshimu na Kuwaombea sana VIONGOZI WETU Sio rahisi hata kidogo, Ingekuwa ni watu dhaifu wangeshakata Tamaa...
  13. JamiiForums Tanzania Ali kamwe tuambie ukweli huko uliko

  14. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe itanie Simba uwezavyo ila usilete utani kwenye Brand za biashara za watu, utapotea

    Ukiona kampuni imesimama mpaka imejulikana kitaifa ujue owners wamepambana sana,jasho,machozi na damu. Hakuna mtu mnyonge anayeweza kumiliki kampuni yenye thamani ya mabilioni. Company owners wengi ni mafia, kukupoteza wewe kiumbe mdogo ni sekunde. Mtu amemtoa kafara mzazi wake, mtu ameroga...
  15. JamiiForums Tanzania Kiboko ya Ali Kamwe, RC Paulo Chacha alitikisa bunge, Wabunge wapagawa na kumpigia makofi mazito

    Akitambulishwa bungeni na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha anayepewa sifa ya kuwa 'kiboko ya Ali Kamwe' amelitikisa Bunge baada ya kusimama, ambapo Wabunge walipagawa kwa furaha na kumpigia makofi mazito, ishara ya kukumbuka tukio lake na Msemaji wa Yanga...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe akataa uchawa; Aziheshimisha taasisi za kiraia mbele ya serikali

    NI ALMOST HAKUNAGA mtu, mwanasiasa, bilionea, mwanaharakati, askofu, shehe, mtu wa system mstaafu, ambae huwa anaweza kusimama hadharani na kuiambia serikali: 1. Nina shughuli yangu sitaki kiongozi wa serikali aje ! 2. Nina hela yangu ya mfukoni nitatumia in one day kulisha wananchi ( ng'ombe...
  17. JamiiForums Tanzania Kitendo cha Ally Kamwe na RC wa Tabora wote ni pwagu na pwaguzi sema tu kazi zenu ni tofauti

    Tumesha sema sana hapa JF kuhusu mwenendo wa serikali ya CCM jinsi mnavyo weza kuwapa watu viburi na kujiongelea au kutokuheshimiana. Sija shtuka kuona la Ally Kamwe kwani hata Steve Nyerere alishawai kuita vyombo vya habari na kuikemea Chadema. Soma Pia: 'Kamdomo kamponza Ally Kamwe..' Polisi...
  18. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe aachiwa kwa dhamana, atakiwa kuripoti Aprili 21

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Richard Abwao amesema Jeshi la Polisi Mkoani humo limemuachia Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe kwa dhamana huku taratibu nyingine za kiuchunguzi kuhusu tuhuma zinazomkabili zikiendelea. Kamanda Abwao amenukuliwa akisema “ameachiwa kwa dhamana ambayo imetolewa...
  19. JamiiForums Tanzania Ally Kamwe amekamatwa na serikali ya CCM?

    Mkuu wa Mkoa ni kiongozi wa watu wote, taasisi zote na vikundi vyote. Anapokuwa anatumia pesa ya watu wote kuwapa Tabora United inayoshiriki ligi kuu sawa na timu nyingine sio sawa. Hii ni tofauti na goli la mama ambalo linatolewa kwa timu yoyote inayoshiriki mashindano makubwa. Mkuu wa mkoa...
  20. JamiiForums Tanzania Hukumu ya ally kamwe iliishia wapi?

    Ndugu zangu kuuliza sio ujinga. Ally kamwe si alifungiwa kujihusisha na mpira kwa miaka miwili? Imekuwaje anaendelea kujihusisha na mpira hadi hili sakata la tabora limetokea nimeshangaa sana kuwa bado ni msemaji wa yanga mbona manara alipofungiwa aliachia ngazi?.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…