alfajiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukiamka alfajiri sana mambo yanaenda vizuri

    Kuna faida kubwa sana kulala saa 3 kuamka saa tisa kupiga mazoezi na kufua muda huo na kufanya kazi zako tu nyingine. Tomorrow huanza bila kuchoka
  2. G

    Ukiwa na simu haina bando la mawazo waweza stuka umelala saa kumi alfajiri, wewe ni mmojawapo?

    Muda huu ni saa tisa na nusu nipo kwenye internet tangu saa tano nilipoingia kitandani. Nahama mitaa ya reddit naingia youtube, naingia Twitter, naingia Netflix, sasa nimekuja kuchungulia JF Hali hii tunaipitia wangapi? MUHIMU: Sijaajiriwa nina biashara yangu nayoamua niende muda gani naotaka.
  3. Ndoto niliyoiota alfajiri ya leo imeniogopesha sana, sidhani kama ilikuwa ni ndoto ya dhiki kuu ijayo Tanzania

    Nimeota tumepewa paund 200 na bibi yangu, kila mmoja, mama yangu, mimi na mdogo wangu. Niko kwenye eneo kùbwa la wazi, ni kama karakana, supervisor mzungu akanifuata akaniambia niondoke hapo mara moja. Hali ni mbaya sana nitafute eneo salama. Nikaingia ndani ya nyumba, na mara ghafla mvua...
  4. Saa kumi na moja alfajiri ndiyo muda wa malijendari kuamka au kwenda kulala

  5. "Matajiri" wa ada estate na maskini wa kinondoni shamba"

    In 1888, in Chicago United States of Ameerica A bridge was built to connect two parts of the city. A toll was charged but officials wanted it to be a "progressive" tax. Rich people will pay more to cross. So how could they identify rich and poor quickly? They had an idea, rich people wear...
  6. Nilikosa amani yote kwa kusumbuliwa na wachawi, nilikuwa nalala alfajiri huku nanunua betri ya tochi kila siku, nilihama nyumba

    Hawa wanga mbaki kuwasikiaga tu na kama huamini hawa watu wapo basi ni dhahiri wewe si mkristo wala muislamu maana haya mambo yapo kwenye vitabu vyote, na hata kwa mila zetu waafrika hawa wanajulikana kwa kuwa miiba katika maisha ya watu enzi na enzi, Ni mwaka 2014 ndio kwa mara ya kwanza...
  7. Wanaume mnaowaachia wake zenu Kazi ya kupeleka Watoto kupanda School Vans alfajiri kuweni makini

    Leo ni mara ya Tatu kila nikiwa naenda Beach Kupasha (Mazoezini) Alfajiri ili nipate Nguvu Tukuka za Kuwajibika vyema Kitandani na wale ninaowabahatisha katika 18 zangu nakutana na Wake za Watu (tena Wengine nawajua kabisa) wakiwa Wanabanduliwa / Wanalalwa na Wajuba. Nilichokiona leo na ambacho...
  8. Kujiajiri kunaweza kuwa utumwa, mwaka wa tatu huu bampa to bampa kuamka alfajiri kurudi usiku, sina muda wa kutosha hata wa kupumzika na mtoto wangu

    Uhuru wa kuwa na muda wa kufanya mambo yako nao una umuhimu aisee. Utamu wa ngoma ingia ucheze, usilewe na maneno matamu ya motivational speakers kujidanganya kwamba kila mtu aliejiajiri anaweza kuamua aamke saa ngapi, aende likizo wiki nzima mbugani, n.k. haya mambo wanaoyaweza ni kundi la...
  9. Mimi hunawa uso wangu kwa mkojo wa alfajiri ili kusafisha, kung'arisha nyota na kuongeza mvuto wa mapenzi

    Swalama ndugu zanguni? Mpaka sasa zoezi la sensa linaendelea huku likisuasua, lakini msikate tamaa muda bado upo wa kurekebisha kasoro zilizopo. Back to the topic, mimi ni mwanaume wa miaka 35, kwa kweli maisha yangu yalijawa kwa muda mrefu mikosi, ufukara, kukataliwa na kutokuwa na kibali...
  10. USHAURI: Serikali ifuatilie mahubiri yanayotolewa na baadhi ya wachungaji majira ya usiku na alfajiri

    Kuna mchungaji fulani yupo BUZA kwalulenge huwa ana ruka hewani kupitia redio fulani Usiku majira ya saa 4 alfajiri. Tarehe 7/4/2022 ulitoa mahubiri ya ovyo sana yaliyo ashiria kuzalilisha jinsia KE, niko na audio ya hayo mahubiri. Lugha uliyotumia ilikuwa ni ya uzalilishaji sanaa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…