alfajiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pombe za kijijini Alfajiri

    Raha sana pale unapokuwa ubanda katika hali ya utulivu. Pengine waweza kuwa unazimua au ndio unaanza kukata kiu. Mama muuza anawaweka katika hali ya kuwaficha kukwepa vijineno vya kijijini. Ni alfajiri haswa pale kunapoanza kupambazuka. Moyo huwa na amani sana na furaha pale uvutapo Funda...
  2. U

    Uwezekano mkubwa sana Shambulio la Marekani dhidi ya IRAN ni alfajiri ya ya Jumapili kesho kutwa

    Wadau, taarifa hii ni kwa mujibu wa uchambuzi wa vyanzo mbalimbali vya uhakika duniani na taarifa za ndani, hivyo uwezekano mkubwa ni alfajiri ya kuamkia jumapili tarehe 22.2.2026 kwa saa za Marekani. Shambulio hilo malengo ni kuuangusha utawala wa Kiislamu wa AYATOLLAH KHAMENEI. Kibali...
  3. Wimbo wa Roma Mkatoliki -Teremsha Bunduki 🎵🎶

    Huu wimbo mkali sanaa, sidhani kama hapa Tanzania atakuja msanii wa hiphop mwenye upeo kama huyu jamaa. NAAMINI PIA HUYU JAMAA ATAKUJA KUA KWENYE NYADHIFA ZA JUU SANA HAPO BAADAE PATAKAPOKUA NA TUME AMBAYO HAINA UPENDELEO KWA CHAMA CHA KIJANI (HUU UZI KUNA SIKU UTAFUFULIWA HATA USIPOONEKANA KWA...
  4. M

    Mke wangu kaamka alfajiri anaona anatoka maji maji ya njano tatizo ni nini?

    Wakuu habar mke wangu usiku wasaa kumi kaamka imemtokea Hali yakutoka maji maji ya njano hivi ukeni bila kujua anaona nguo ya ndani imelowa tu,hii itakua anashida Gani hasa
  5. M

    wazazi mnaopeleka watoto wadogo boarding, kuwaamsha saa kumi, kutowapumzisha likizo, halafu bado wana uwezo wa kawaida, mna hali gani ?

    kuwaamsha watoto saa tisa au saa kumi waende shule Kuwapeleka boarding wakiwa wadogo Hakuna mapumziko likizo ni tuition mtindo moja Halafu bado wana uwezo wa kawaida kabisa ama kupitwa na watoto wengine wanaoamka saa moja, wapo day, likizo ni kwajili ya mapumziko hakuna tuisheni. Na hapo...
  6. Mwizi amechomwa moto mtaani kwetu alfajiri ya leo. Kuna tetesi Polisi wanataka kuja kukamatwa watu, nifanyeje?

    Kuna jamaa kauwawa Kwa kuchomwa moto Kwa wizi huku mtaani na Kuna tetesi polisi watakuja kukamata vijana wa mtaani kwa mahojiano nifanyaje wazee Ili kuepuka huu msala maana nawaza nijifungie ndani wiki nzima
  7. K

    Jamani jino linauma! Unaweza ku chizi. Niliamka Sa 9 alfajiri na kuanza kufagia uwanja

    Yani nilikua Naona asubuhi haifiki kwa Hiyo nikianza kufagia uwanja kusudi Mungu ata kumbuka kuachia mwanga wa jua ili madaktari waamke niende hospitali. Waliowahi kuumwa na jino nadhani wataelewa.
  8. Elimu Ya Tanzania Kwa Watoto Wa Primary Na Secondary Schools Hazina Likizo?! Kipindi Hiki Cha Likizo Nawaona Alfajiri Na Mapema Wakiwahi Shuleni..!!

    Kama mada inavyojieleza kipindi hiki cha alfajiri na mapema nakutana na watoto wadogo kwenye usafiri wa umma.. wakiwahi shuleni. Je, Ndio sera mpya ya elimu?!
  9. Hapa mbeya ugali nyama choma unaupata kuanzia saa 11 alfajiri.

    Aisee Leo nimeamka na hangover sio poa,mwenyeji wangu akaniambia usiwaze twende tukapige diko somewhere, nikamuuliza saa 11 ile msosi tunatoa wapi. Jamaa akaniambia Acha wenge nifuate,tukaingia huko uyole ndani ndani tukaibuka kwa jamaa anaitwa j4,tukakuta nyomi ya raia ya kutosha,tukapiga nguna...
  10. kazini nimeambiwa nianze kuamka sa 10 alfajiri, gari imebadili muda wa kuanza safari

    nilizoea kuamka sa 12 Leo jioni nimepigiwa simu na boss kua natakiwa niende kuanza kupanda basi anapoanzia dereva, umbali adi kumkuta dereva kilometer 20 nawaza sana. mkiona sijibu sms mjue nimelala ili nisije chelewa
  11. Yaas wamefunga kazi kuanzia saa sita usiku mpaka sasa nne alfajiri

    Labda ndio mbinu ya kuzuia mawasiliano kati ya wanaharakati ili Dar es Salaam iwe salama You cannot accuse this government of being inefficient. Yaani Yaas wataanza kazi baada ya maandamano.
  12. ATC ya saa 5 usiku JRO-DAR tunaondoka saa 9 alfajiri?

    1. Tumelala KIA(JRO) baada ya ndege yetu ya saa 5 usiku kucheleweshwa mpaka saa 9 na nusu alfajiri. 2. Domestic flights mtu unalala airport Karne hii? Mwezi uliopita Mwanza-Dar delay masaa 12 no apology na hakuna anayejali. 3. ATC ina CEO/MD? NB: European Union wana kila sababu kuipiga pini...
  13. Ahmed Ally: Kikosi cha Simba kimeanza safari, kinatarajiwa kuwasili mapema kesho alfajiri

  14. Simba SC kuondoka nchini Jumatano kwenda Algeria kwa mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine

    Kikosi cha timu ya Simba SC kinatarajiwa kuondoka nchini Jumatano alfajiri (Disemba 4) kuelekea Algeria kwa ajili ya mchezo wao wa pili wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Akizungumza kuhusu safari hiyo, Afisa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba SC, Ahmed Ally, amesema kuwa...
  15. Nimeuza mechi alfajiri ya leo, nahisi nimeambukizwa VVU naombeni PEP

    PEP nasikia ni maalum kwa watu ambao wanahisi wameambukizwa VVU kwa dharura. Hata mimi kisa changu ni cha dharura naombeni PEP. Kisa chenyewe kuna binti nilikutana naye mtandaoni. Picha zake alizokuwa ananionyesha kwakweli ni binti mzuri ambapo nwanaume yeyote lazima angehitaji atue mizigo...
  16. E

    Wazo la biashara (alfajiri)

    Jambo, Mwenye wazo la biashara ndogo ambayo naweza kimbiza (03:00-05:00 Am) Hii ni kwa sababu ya ratiba kubana Karibuni kwa mawazo
  17. Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri

    Ndugu watanzania kupitia Uzi huu nitakuwa Kila siku Alfajiri ninatuma mstari maalumu wa maombi Kwa wale waombaji wa asubuhi. Ufunguapo Uzi huu kuanzia saa nane kamili usiku utakutana na maneno yatakayokuongoza na kuchochea nguvu ya maombi. MSTARI WA KUSIMAMIA Zaburi 90:14 "...
  18. Anza utaratibu wa kufanya maombi asubuhi alfajiri utajibiwa haraka sana

    Bwana wetu Yesu anasema yeye ndiye mzabibu wa kweli na baba yake ndiye mkulima na sisi ni matawi pasipo yeye sisi hatuwezi kufanya neno lolote. Yohana 15 Kwako wewe Kama ambaye unakutana changamoto za kiuchumi na magonjwa nk anza sasa kumtafuta Bwana Yesu katika mida hii ya kuanzia mida hii...
  19. Kenya: Kanisa lapewa onyo kwa kupiga kelele usiku, waenda na kipimo alfajiri

    Baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa raia Mkuu wa Idara ya Mazingira Geoffrey Mosiria, ameliomba moja ya kanisa nchini Kenya, kudhibiti kiwango cha kelele ili kuepuka usumbufu kwa jamii. Mosiria amesisitiza umuhimu wa kanisa hilo kuhakikisha kuwa viwango vya kelele vinazingatia sheria na...
  20. Ukiamka alfajiri sana mambo yanaenda vizuri

    Kuna faida kubwa sana kulala saa 3 kuamka saa tisa kupiga mazoezi na kufua muda huo na kufanya kazi zako tu nyingine. Tomorrow huanza bila kuchoka
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…