Al Jazeera (Arabic: الجزيرة, romanized: al-jazīrah, IPA: [æl (d)ʒæˈziːrɐ], literally "The Island", though referring to the Arabian Peninsula in context) is a free-to-air international Arabic news channel based in Doha, Qatar that is operated by the media conglomerate Al Jazeera Media Network. The channel is a flagship of the media conglomerate and hence, is the only single offering to carry the name as simply "Al Jazeera" in its branding.
The channel's willingness to broadcast no holds barred views, for example on call-in shows, created controversies in the Arab States of the Persian Gulf. One of the station's office was the only channel to cover the War in Afghanistan live.The parent holding is a "private foundation for public benefit" under Qatari law. Under this organisational structure, the parent receives funding from the government of Qatar but maintains its editorial independence. The network is sometimes perceived to have mainly Islamist perspectives, promoting the Muslim Brotherhood, and having a pro-Sunni and an anti-Shia bias in its reporting of regional issues. Al Jazeera insists it covers all sides of a debate and says it presents Israel's views and Iran's views with equal objectivity. Al Jazeera has aired videos released by Osama bin Laden.In June 2017, the Saudi, Emirati, Bahraini, and Egyptian governments insisted the closure of the entire conglomerate as one of thirteen demands made to Government of Qatar during the Qatar diplomatic crisis. Other media networks have spoken out in support of the network. According to The Atlantic magazine, Al Jazeera presents a far more moderate, Westernized face than Islamic jihadism or rigid Sunni orthodoxy and though the network has been criticized as "an 'Islamist' stalking horse", it actually features "very little specifically religious content in its broadcasts."
Shambulizi la sekunde 40
Ayatollaha na viongozi 40 kupigwa kwa mpigo
Maombolezo ya siku 40
kiongozi mkuu wa Iran, Ali Khamenei, na viongozi wengine wa ngazi ya juu walipigwa target kwa mpigo na ufasaha wa hali ya juu sana licha ya kuwa kwenye eneo lenye usalama wa hali ya juu, lakini media...
Israeli inalaani Jukwaa la Al Jazeera kama "mkutano wa kilele wa jihadi" huko Doha
Wizara ya Mambo ya Nje ya Israeli ilitoa karipio kali kwa Jukwaa la 17 la Al Jazeera lililofunguliwa Doha wikendi hii, ikilielezea kama "mkusanyiko teule wa wanajihadi na wafanyakazi wao wa usaidizi."
Jukwaa...
Ni miaka karibia 50 ya ukandamizaji wa raia wa Iran nasa sasa wameamua kusema imetosha, wamejitoa muhanga kuikomboa nchi yao lakini media kubwa zinawapa airtime ndogo sana.
Yalianza kama maandamano ya mfumuko wa bei lakini kwa sasa yamekuwa ya kuikomboa Iran
wakuu,
Kwenye press hii Msigwa amseme walichokifanya CNN na wengine ni kinyume na maadili ya uandishi kwa kutokwenda kupata upande wa pili.
Wamesema kuweka picha za kutisha mtandani ni kinyume na maadili, kuonyesha picha za watu vimejaa damu, au wametobolewa ni kinyume na taratibu za uandishi...
Kuhusu serikali kufanya uhakiki wa ripoti ya CNN, Msigwa amesema:
Uhakiki wa makala unaendelea, lakini hawajafuata weledi na uadilifu kwenye uandishi wa habari.
Si kweli CNN ilishindwa kupata upande wa serikali, akisema inashangaza chombo kama CNN kufanya makosa ya kiweledi kama hayo...
aljazeera
bbc
cnn
documentary
documentary ya cnn
hadhi
kuandaa
maana
makala
mauaji
mmoja
msigwa
namna
nyingine
post
post election
ripoti
ripoti ya cnn
sana
serikali
tanzania
uandishi
ujinga
upande
uthibitisho
wako
Unajua hata kwenye kupima mizani kuna mambo hayaaingii akilini.
Machawa na Wajinga wanaotumwa na Samia kujaribu kutuliza upepo wanaleta propaganda mfu eti Wanaonewa na CNN
Wanasahau jambo lililosemwa na CNN kitaalam zaidi lilishasemwa na vyombo vinavyoaminika vya kimataifa vya habari wakiwemo...
Hiyo ni kuanzia na aliyejiapisha hadi aliyeapisha. Ukweli ni kwamba hawa wanaojiita viongozi wetu ni dumbheads tu hakuna kitu vichwani mwao. Yan wao ni full janjajanja, ghilba, wizi, ufisadi na uongo.
Wakati akina Kagame na akina Ruto interviews za AJ, CNN na BBC huzigonga tu kama wananawa...
Baada ya kuonekana Al Jazeera hawapepesi macho wala kuuma maneno, wameona waiondoe kwenye ving'amuzi vingi Tanzania ili watu walio Tanzania wasione video za kutisha.
Kila siku Al Jazeera walikuwa wanaelezea na kuonyesha video za mauaji Tanzania.
Toka Israel iwachakaze mle mle ndani mwao nao wakarusha rusha vijigumi vya kuwapiga tumboni Israel. Jamaa wamekuwa wanyonge sana. Hawana raha kabisa. Na hali yao inazidi kuwa tete.
Huwasikii tena Iran wakitamba na kujipanua kama mwanzo. Wamebana ngenge kwa sasa. Wamegundua jamaa ukitanua...
Shirika la habari la Al Jazeera limesema kuwa waandishi wake watano wameuawa katika shambulio la Israeli karibu na Hospitali ya Al-Shifa mjini Gaza
Miongoni mwa waliouawa ni waandishi Anas al-Sharif na Mohammed Qreiqeh, pamoja na wapiga kamera Ibrahim Zaher, Mohammed Noufal na Moamen Aliwa...
Sasa wenzangu akina Ritz Adiosamigo na wengine ambao hatukuenda shule inabidi tusubiri kusikia sheikh kitinku atatupa tena maneno gani ya kuwajibu hawa waisrael.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anakiri kuwa walipata kipigo kibaya kwenye vinu vyao. Ingawa sisi tulijaribu sana kupinga. Na wenzetu...
Hapo ndipo unapoona itikadi ndio inacheza vizuri.
al jazeera ipo nchini qatar.
Al Jazeera imetumika kama chombo cha habari cha Hamas, Houthis, Hezbollah - na sasa kwa Iran.
Inaeneza habari potofu na propaganda za vita kwa niaba ya Iran, ikifanya chochote kinachoweza kudhuru Israel, U.S., na...
Wakati Makobazi yanasema Israel imepiga upepo. Khayatolla aanza kutoa Milio. Tupate habari toka Al Jazeera. Nuclear Sites zimepigwa na Makamanda kuuawa. Na Nuclear scientists wameuawa pia.
Heko tele ziende kwenye kituo cha Al Jazeera kwa kuendelea kuyamulika yanayoendelea Tanzania.
Jana/ leo wamerusha habari za Boniface Mwangi kutekwa na kuteswa na vyombo vya usalama vya Tanzania.
Kama bado haijatokew basi muda si mrefu itatokea.
Serikali ya Samia itakuja kukifungia kituo cha...
Al Jazeera TV has, most frequently, been covering the killings in Gaza by Israel army focusing on the impact on Children. They frequently highlight the suffering of children in order to attract attention and provoke reaction from the world. The question that arises is whether this should have...
Marekani inataka sana Israel isimamishe mapigano huku juu juu. Lakini kwa ndani ni kama inawaambia endeleeni kushikilia hapo hapo. Israel inaendeleza kipigo huko Lebanon ni kama haitaki mapigano yasimame.
Huu ni ushahidi toka Al Jazeera siyo websites za vichochoroni za kinazi.
Wadau hamjamboni nyote?
Hajulikani nani aliyetoa taarifa hiyo iliyoleta taharuki hiyo ila hadi muda huu ofisi hizo huko Beirut zimebaki tupu baada ya Wafanyakazi wote kukimbia ili kuokoa maisha yao
Taarifa kamili tutawaletea
October 17, 2024
Al Jazeera office evacuated in Beirut after...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.