al hilal

Al Hilal Saudi Football Club (Arabic: نادي الهلال السعودي), simply known as Al Hilal, is a professional multi-sports club based in Riyadh, Saudi Arabia. Their football team competes in the Saudi Professional League. They are the most decorated club in Asia winning 65 official trophies. They also hold the record for the most continental trophies in Asia, as well as a record 18 Professional League titles.
Founded on 16 October 1957, Al Hilal are one of four teams to have participated in all seasons of the Saudi Professional League since its establishment in 1976.
Overall, Al Hilal have won 65 official titles and 100 when unofficial trophies are counted. In domestic competitions, they have won a record 18 Professional League titles, a record 13 Crown Prince Cup titles, a record seven Saudi Federation Cup titles, nine King Cup titles, a record three Super Cup titles, and also the Saudi Founder's Cup.
Internationally, Al Hilal have won a record eight Asian Football Confederation trophies – the AFC Champions League in 1991, 2000, 2019 and 2021, the Asian Cup Winners Cup in 1997 and 2002, and the Asian Super Cup in 1997, 2000. In September 2009, Al Hilal was awarded Best Asian Club of the 20th Century by the IFFHS.

View More On Wikipedia.org
  1. UMUGHAKA

    Al Hilal anapoenda kutukung'uta mechi ijayo, naomba mtakapomtimua Gamondi timueni na wachezaji wafuatao

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane ! Tarehe 26 ni siku ambayo timu yangu ya Yanga unakwenda Kucheza mechi ya kwanza ya michuano ya klabu Bingwa Afrika dhidi ya Al Hilal Omdurman,siku hii naelewa kabisa Yanga atafungwa si chini ya Goli 3 na ndiyo siku ambayo kocha Gamondi anaenda kutimuliwa...
  2. DELETED ACCOUNT

    Sijawahi kuielewa timu ya Al Hilal Omdurman ya Sudan

    Hili jambo nimeliwaza muda mrefu sana ila sijawahi kupata nafasi ya kulisema. Hii timu ya Al Hilal ya Sudan sijawahi kuielewa style yake ya uchezaji. NI timu ambayo ki-rank unaweza kusema ni moja ya timu bora Afrika na pia huko Sudan na katika ukanda huu wa Afrika Mashariki unaweza kusema ni...
  3. uhurumoja

    Kuna team huko Saudia Pro league inaitwa Al Hilal

    Hii team inashinda Kila mechi halafu inashinda kirahisi sana na ukijichanganya unakula hata nne au Tano
  4. Suley2019

    SI KWELI Willy Essomba Onana afunga hatrick kwenye mechi yake ya kwanza ya kitafiki akiwa na timu Al Hilal Benghaz

    Salaam Wadau wa Michezo, Kuna taarifa nimeiona inadai kuwa Willy Esomba Onana aliyekuwa mchezaji wa Simba SC msimu uliopita ameibuka shujaa kwa kufunga mabao matatu katika mchezo wake wa kwanza wa kirafiki. Taarifa hiyo nimeiona kwenye akaunti ya Instagram ya Aggy Simba na kwa SeekerTZ.
  5. L

    Mambo 15 niliyoyaona Simba vs Al Hilal leo

    1. Aishi Manula amebadilika na hasa anapowaiga Mussa Camara na Diarra kutembea na mpira, anastahili mkataba mpya 2. Kapombe jamani amepungua sana kama sio umakini wa Manula leo ingekuwa aibu 3. Valentine Nouma ni mchezaji wa kawaida sana, anachojua yeye ni mashuti tu lakini kukaba zero. 4...
  6. Scars

    FT | Friendly Match: Simba 1-1 Al Hilal | KMC Complex

  7. DELETED ACCOUNT

    Waarabu kuweni wabunifu, siyo lazima timu iitwe Al Hilal, Al Ahly au Al Nasr

    Kama Waarabu wanaweza pata huu ujumbe basi uwafikie, si kwa ubaya lakini. Sijui nani aliwaambia timu ya mpira lazima iitwe kati ya Al Hilal, Al Ahly au Al Nasr. Mmeamua kabisa kutuchanganya wapenzi wa soka. Kuona hivyo sasa mnaongeza tu jina la mji ili kujitofautisha. Kwa nini msituige sisi...
  8. DELETED ACCOUNT

    Kuijumuisha Al Hilal ya Sudan kwenye ratiba ya ligi ya NBC ni jambo la kupongeza

    Tumesikia mipango ipo mbioni kuijumuisha timu ya Al Hilal ya Sudan katika ratiba ya NBC kuanzia msimu ujao. Kuna wakati niliwahi kuwaza hili jambo nilipoona wakati ule wanatanga tanga, nikataka kushauri hili kufanyika na nimefurahi kujua kumbe pale TFF kuna watu wana uwezo wa kufikiria mambo...
  9. uran

    Ronaldo anatamani kulia

    Ronaldo anatamani kulia Washapigwa 3 na Al Hilal
  10. uran

    FT: Al Hilal 3 - 1 ES Tunis | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 01.12.2023

    Game on Hapa Taifa. Watanzania tumejitahidi kufika. We Love Football. Tunawashangilia Wasudani --- Matokeo mengine Madeama 2 - 1 Belouizdad
  11. MAWEED

    Neymar ajiunga na Al Hilal ya Saudi Arabia

    Staa wa Timu ya Taifa ya Brazil na Club ya PSG Neymar amekamilisha usajili wa kujiunga na Al Hilal ya Saudi Arabia ambako atakuwa akilipwa mshahara wa pound milioni 129.4 kwa mwaka ambazo ni zaidi ya Tsh Bilioni 411. Uhuru wa matumizi ya Fedha unaharibu ladha ya soka. --- Neymar signs for...
  12. BARD AI

    Al Hilal kuvunja Rekodi ya Dunia, yatenga Tsh. Bilioni 812 kumnasa Mbappe

    Kwa mujibu wa AFP, Klabu ya Paris Saint-German imeruhusu Al Hilal ifanye mazungumzo na mshambuliaji Kylian Mbappe baada ya kuweka mezani dau hilo ikiwa ni siku chache zimepita tangu itume barua ya kuhitaji saini ya nyota huyo. Mbappe aliyebakiza mwaka mmoja wa kuendelea kuitumikia PSG, amedaiwa...
  13. GENTAMYCINE

    Kwahiyo Hasira za Kumkosa kwa Umafia mliofanyiwa ndiyo mmeamua Kuwachochea Al Hilal FC Wawashtaki FIFA Wachezaji?

    Na msivyo na Akili hata na Makabi Lilepo ambaye kwa 99% mmeshamalizana nae kwa mujibu wa Taarifa yao ( Klabu hiyo ya Sudan ) ni kwamba hata Yeye nae yuko katika Kushtakiwa pamoja na Fabrice Ngoma aliyewauma villivyo baada ya Kupigwa Chenga ya Kimafia Jana na Kutua rasmi Simba SC. Haya...
  14. B

    Al Hilal Chali

    Ama kweli mkubwa ni mkubwa tu. Ibenge kalowa 3 bila majibu mbele ya Wamisri. Inauma na inaskitisha ila ndiyo mpira ulivyo muda mwingine una matokeo ya kisulisuli.
  15. mugah di matheo

    Usiku wa Mabingwa Afrika:: Kijiwe Cha kusubiri matokeo ya mechi za mwisho esp Al ahly Vs Al hilal

    Tupo kijiweni kwetu tuendelee kupeana update za ligi ya Mabingwa afrika,,kwa mechi za Leo jumamos na Jumapil alfajiri,tujue Nani ataongoza makundi na vilevile kujua Nani atasonga mbele Kati ya Al ahal🇪🇬 vs Al hilal🇸🇩 Karibuni
  16. Shujaa Mwendazake

    Match Fixing: Mamelodi inataka kuwabeba Al Hilal ili wasije kukutana na Al Ahly huko mbeleni

    Wanachokifanya Mamelodi leo hata wanavyocheza ni wazi kabisa wanataka kuipa Matokea mazuri Al Hilal. Goli la kwanza la Mamelodi ni la bahati mbaya tu lakini wakaamua kuwazawadia wasuda goli la kusawazisha kiboya kabisa. Ubora wa kipa wa Mamelodi na beki zake si wa kufanya Uzembe huu. Inaonekana...
  17. mugah di matheo

    Kijiwe Cha tunaoangalia Cafcl Al hilal vs Mamelod huku tukiomba Al ahal atoke kwenye mashindano

    Had saivi half time 0-0 ,, Mamelod wanadominate game but hilal wanatengeneza nafasi.. Tuendelee kuomba Mungu mtoto wa Caf ang'olewe kwenye mashindano
  18. THE FIRST BORN

    Mnakumbuka ya Yanga na Al Hilal Kule Sudan? Kwahiyo Msisifie Mpira Mzuri

    Siku za Hivi karibuni mpira umekua Ushindi sio kusema umecheza Vizuri. Na Mwasisi wa Mbinu hii ni Jose Mourinho alionekanaga mhuni mwanzoni ila baadae ameanza kueleweka yeye atakuacha ucheze Mpira ila hesabu zake mara zote zipo kwenye kikombe au point 3 na huo ndio mpira wa sasa. Mwaka Jana...
  19. Scars

    FT || Mechi ya Kirafiki | Simba 1 Vs 1 Al Hilal | Estadio de Benjamin Mkapa

    Muda wa mechi ni saa 16:00 na tayari vikosi vyote vimefika uwanjani Upande wa Simba wale wachezaji waliokosekana mechi za nyuma kwasababu ya kukosa fitness iliyosababishwa na kuuguza majeraha ya muda mrefu, hatimaye leo wameanza. Kasoro General Phiri ndio sijamuona hapo
  20. B

    Ujio wa Al Hilal mbaya kwa Simba

    Simba kutaka kucheza mechi za kirafiki na al hilal ni kujimaliza, kutafuta injury bila sababu. ZIMBWE NA KAPOMBE HAWAPATI ROTATION HAPO HAPO TUNA MECHI NA SINGIDA BIG STARS KABLA YA KUSAFIRI KWENDA GUINEA KUCHEZA NA HOROYA FC. AL HILAL walikuwa mapumzikoni hawana mechi SImba kila wiki wana...
Back
Top Bottom