al ahli tripoli

Al Ahli Tripoli Sports Club (English: National Sports Club ; Arabic: النادي الأهلي طرابلس الرياضي), also known as Al Ahl Tripoli, is a Libyan professional football club based in Tripoli. It is the second most successful Libyan club in history after Al-Ittihad, having won 13 Libyan Premier League titles, 7 Libyan Cups and 2 Libyan Super Cups.
The club's crest consists of a green and white background, with a torch placed on an outline of Libya. The torch is meant to signify independence for the nation, as it was achieved just months after the club was founded. The club's crest changed after it won its 10th Libyan Premier League title in 2000, with a star being placed on top.
In the year 2000 Al Ahli Tripoli were involved in one of the world's most confusing seasons as they won the league title twice in one season.
The club won the first national championship in the 1967–68 season, but then suffered a period of seven years until its next win in 1970–71. The club won two of the next three titles, and picked up the last before the cancellation of the league in 1977–78. The 1980s were a very dire period for the club, as their own failure, this meant that their rivals went into the 1990s with six titles to their own five. However, they reached the final of the African Cup Winners' Cup in 1984, where they withdrew from facing Al-Ahly Cairo, as the bad Libyan relationship with Egypt at that time meant that Libyan clubs were banned from facing Egyptian clubs.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Fiston Mayele Atua Al Ahli Tripoli kwa Mkataba wa Miaka Miwili

    Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga SC, Fiston Kalala Mayele, ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa klabu ya Al Ahli Tripoli ya nchini Libya, akitokea Pyramids FC ya Misri. Nyota huyo wa kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), mwenye umri wa miaka 32, amewasili klabuni hapo na...
  2. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Chokri Khartoui kocha wa Al Ahly Tripoli afukuzwa kazi kwa kufungwa na Simba kibabe

    Amefanya kazi miezi miwili tu, Kweli mpira kazi ya ajabu sana. --- Al Ahli Tripoli has decided to sack their head coach Chokri Khatoui after failing to guide the team into the CAF Confederation Cup group stage on Sunday against Tanzanian giants, Simba SC.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 niliyoyaona Simba ikiikaanga Al Ahly Tripoli ya Libya

    1. Mchezo ulikuwa mzuri lkn ulitaka kuwa mgumu baada ya Mabululu kututanguliza na waarabu kuweka viungo wengi kati kuliko sisi ambao tulimtegemea sana Kagoma na Fernandez 2. Che Malone ameanza kutupanda kichwani, yeye na Hamza uchezaji wao uko slow sana na kama tungecheza na timu kubwa kama...
  4. uran

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

    Match Day. KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO #nguvumoja# 2' Mpira umeanza hapa Kibu anapoteza mpira wakati anakimbia kufanya mashambulizi. 16' Mabululu anaipatia Al ahly Tripoli goli la kuongoza. 0-1
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Al-Ahli Tripoli wagomea Gari kubwa, mizigo yote wamepakia kwenye Kenta

    Al-Ahli Tripoli wamegoma mizigo yao kuingia kwenye gari kubwa na mizigo yote wamepakia kwenye gari ndogo aina ya Kenta wameweka vifaa vyote vya kufanyia mazoezi na vyakula vyao wametoka navyo nchini Libya. Hivi ndivyo klabu ya Al-Ahli Tripoli ilivyowasili Tanzania kucheza mchezo wa marudiano...
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba vs Al Ahly Tripoli itaisha sare ya 1-1 hapo Jumapili

    Kwenye ulimwengu wa wa roho Mechi ya Simba ambayo itachezwa jpili, umeisha salama, sisi wataalam wa ulimwengu wa roho yaani tunaotazama matukio kabla hayajatokea tumeitazama imeisha hivo Watakaotazama hiyo mechi watatazama marudio Simba watapata goli dakika ya 19, Kwa mkwaju wa penalt, lakini...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba kwanini mnafuraha na draw ya Al Ahly Tripoli?

    I will be short Simba fans are actually happy with the goalless draw against Al Ahly Tripoli despite the 50% - 50% chance of qualifying in the group stage here at home. Simba had a bad game. Imagine: 1. Zero shots on target. 2. Low ball possession. 3. Outrun. 4. Outperformed. 5. Referee...
  8. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Al ahly Tripoli ni timu tishio sio tu kwa simba bali kwenye michuano yote. Simba isipokuwa makini itasambaratika na migogoro itaanza

    Wengi hamuoni kile ambacho mimi nakiona, mtu unaona kabisa hii ni hatari ila watu wengi wqnachukulia poa. Ahly Tripoli ina skills za kukaba na kuzuia ambazo sijawahi kuziona hapo CAFCC na CAFCL, Timu inauwezo wa kupiga pasifupi fupi na pasi ndefu kwa usahihi, Wana akili ya mpira na wanafanya...
  9. Kinau Michael

    JamiiForums Tanzania Marejeo ya Simba na Al Ahly Tripoli dimba la Benjamin Mkapa

    Je, Simba anaweza kumfunga AA Tripoli kwa Mkapa? Simba SC Tanzania inarejea Lupasa kwa Mkapa ikiwa inahitaji ushindi ili kutinga hatua ya makundi michuao ya Klabu Bingwa Afrika huku wengi wakiwa na matumaini kuwa inaweza ikafanya hivyo bila ubishi kutokana na rekodi yake katika uwanja huo...
  10. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Tusifanye mchezo, Al Ahly Tripoli inaweza kututoa mbele ya wake zetu kwa Mkapa

    Mchambuzi mmoja amenifurahisha sanasana amegusa karibia na ukweli Kama tutafanya mzaaa hii timu ya Libya itatufedhehesha mbele za wake zetu kwa Mkapa. Haya wanasimba mnaoenda na wake zenu taifa mjipange na aibu.
  11. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba ni timu ya kwanza katika historia kuanzia ugenini dhidi ya Waarabu

    Pamoja na kwamba rank za CAF zinaibeba Simba inapokuja mijadala kuhusu hadhi ya Simba, bado kuna watu wamekuwa wanabisha kuhusu hilo. Leo namaliza mjadala huu kwa kusema kuwa katika historia ya mpira wa Tanzania hatua ya mtoano, hakujawahi kutokea timu ya Tanzania kuanzia ugenini dhidi ya timu...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 niliyoyaona leo Simba vs Al Ahly Tripoli

    1. Kama Simba ingefungwa leo lawama angebeba kocha wetu, kocha kabisa una taaluma zako umeaminiwa kufundisha klabu kubwa kama Simba unadiriki kumnyanyua na kumuingiza Valentine Mashaka akawasumbue waarabu kweli? Fahdu umeniudh sana. 2. Wanasimba lazima tukubali wapo wachezaji katika timu yetu...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Al Ahly Tripoli 0-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Tripoli International Stadium | 15/09/2024

    Mnyama Simba SC, yupo Tripoli, Libya tayari kwa kukipiga na Al Ahly Tripoli, kombe shirikisho Afrika. Mtanange huu utapigwa kuanzia saa 2:00 usiku. Kaa karibu na uzi huu ili ujue kila kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo
  14. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Simba na Al ahly tripoli inachezwa saangapi?

    Tuna taka kuona mnyama akishikwa sehemu mbaya na mwarabu . Tupeni ratiba watu wa mpira
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba Sc hawapaswi kuwa na matarajio makubwa sana Timu yao kuifunga Al Ahly Tripoli

    Naweza kusema kwa sasa klabu ya Simba SC hususani mashabiki wa klabu hiyo hawapaswi kuwa na matarajio makubwa kwa timu yao kupata matokeo chana mbele ya Al Ahly Tripoli ya Libya katika Kombe la Shirikisho Afrika. Ukitazama kikosi cha Simba kwa sasa kina wachezaji wapya wengi na kocha pia ni...
  16. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Kuelekea CAFCC: Simba vs Al-Ahly Tripoli msisahau rekodi hizi muhimu

    *Simba na AL Ahly tripoli zote ziliingia makundi shirikisho mwaka 2022 Simba ikaishia robo fainali (ile wanachoma moto uwanjani na Orlando) na Al ahly Tripoli wakaenda mpaka nusu fainali * Timu zote mbili ziitolewa na Orlando Pirates Simba ilitolewa robo fainali na Al Ahly tripoli ilitolewa Nusu...
  17. Labani og

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Wachezaji hatari wa Al Ahli Tripoli, Simba hawatoboi

    WACHEZAJI wa kimataifa wa Al Ahli Tripoli [emoji116][emoji91] 1. Mabululu (Angola [emoji1029]) 2. Herelinson (Angola [emoji1029]) 3. Ayoub (Tunisia [emoji1249]) 4. Mourad (Tunisia [emoji1249]) 5. Samer Jondi (Palestine [emoji1193]) 6. Manzi (Rwanda [emoji1206]) 7. Isac Mintah (Ghana...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Uhamiaji afichua yaliyojiicha kwenda kucheza mechi zote Libya

    Kocha Mkuu wa Uhamiaji Ali Bakari amefunguka yote timu yake kwenda kucheza michezo yote miwili dhidi ya Al Ahli Tripoli huku nchini Libya kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika. Katika mchezo wao wa mkondo wa kwanza Uhamiaji walikubali kichapo cha magoli mawili kwa sifuri kutoka kwa...
Back
Top Bottom