ajira

  1. E

    SoC04 Suluhisho la tatizo la upungufu wa ajira nchini

    Muda mrefu sasa mfumo wetu wa elimu umekuwa hauendani na mahitaji ya soko la ajira, lakini pia hauendi sambamba na mabadiliko ya dunia katika nyanja ya teknolojia yaliyopo kwa ujumla kwani kama taifa tumekuwa nyuma zaidi huku baadhi ya mataifa yakituacha mbali sana katika nyanja ya elimu...
  2. D

    Najaribu kuwaza Jakaya Kikwete aliwezaje kuajiri Walimu na Madaktari wote katika kipindi chake wakati Hayati Magufuli hata mwaka mmoja alishindwa

    Jakaya Kikwete alitumia miujiza gani kuajiri almost wote waliohitimu kipindi chake hasa ualimu na udaktari kiasi ambacho watu walikuwa wanapangiwa bila hata kuomba unajikuta umepangiwa mkoa fulani JPM hata mwaka mmoja tu alishindwa na kuleta visingizio kibao eti hakuna nchi iliyoajiri graduate...
  3. Ajira za ualimu nazo zinapaswa kuangaliwa ajira portal?

    Wakuu naomba kuuuliza Hadi UALIMU nao AJIRA zinatumwa uko tena NI nafasi 158 tu au nmekosea kuona mwenye uzoefu atueleze kuhusu Hilo tafadhali
  4. Ni mwaka wa 6 sasa sijapata ajira ya ualimu TAMISEMI

    Kwa niaba ya Graduators wote wa Degree za ualimu kuanzia 2017, 2018, 2019, tunakuomba Mheshimiwa Rais Dr. Samia na mamlaka zote zilizopo chini yako zinazo-deal na ajira za walimu, ikikupendeza tunaomba utumalize wote tuingie kwenye ajira. Maana uzee unagonga hodi na sisi hatujaonja keki ya...
  5. M

    SoC04 Jinsi Tanzania Inavyoweza Kushirikiana na Sekta Binafsi na Jamii Kukabiliana na Tatizo la Ajira kwa Vijana

    Tatizo la ajira kwetu sisi vijana apa Tanzania limekuwa changamoto kubwa ambayo inahitaji suluhisho la haraka na endelevu. Kwa kuzingatia umuhimu wa kuweka mikakati madhubuti, serikali, sekta binafsi, na jamii tunaweza kushirikiana katika kumaliza tatizo hili. Kwanza, kuwekeza katika elimu na...
  6. H

    SoC04 Tufanye haya kuboresha ajira kwa vijana wa taifa

    Ajira ni tatizo sugu duniani kote hasa Kwa vijana walio wengi.ila tunaweza kujitafuta wenyewe kama taifa Kwa miaka mitano mpka kumi kujikwamua na janga la ukosefu wa ajira Kwa vijana waliopo mavyuoni na mitaani. Tuboreshe mambo muhimu yenye kubeba ajira nyingi Kwa miaka mingi huko mbele...
  7. H

    SoC04 Viwanda vidogo Mwokozi ukosefu wa ajira Tanzania

    Viwanda vingi ndani ya kila mkoa au wilaya ni mwokozi wa ajira Kwa vijana wasomi na wasio wasomi. Kiwanda sio lazima kiwe kama vile vya mo au azam ndio kiwe kiwanda hapana viwanda viko kwenye makundi matatu kundi la pili nala tatu watanzania tuna limudu. Watanzania tujifunze kuanzisha viwanda...
  8. H

    SoC04 Teknolojia ni ajira

    Kumekuwa na zana teknolojia Ina haribu watu hasa mitandao ya kijamii na maudhui yanayopatikana ndani yake ila teknolojia ni mwokozi wa ongezeko la ajira kama tukizingatia mambo ya fuatayo Kwa umakini. 1. Vyuo ya teknolojia viongezeke.kama tunavyoona veta ni mwokozi pia vyuo vya teknolojia hasa...
  9. M

    Ajira portal

    Kwann kwenye hichinkipengele cha status kwenye app kiko hakijajazwa wakat kwenye website wamekijaza vizuri kuwa not shortlisted kwa oral.....ilaa hii aptude test bwana et nina 91 afu siko shortlisted😀🤣
  10. H

    SoC04 Uvuvi ni hazina ya ajira kwa wakazi wa Kanda ya Ziwa na Tanzania yote

    Uvuvi ni chanzo cha ajira pia ni chanzo Bora cha kitoweo kama ilivyo ufugaji hasa kwa hapa Tanzania. Ili uvuvi ulete Tija na mtokeo ya kueleweka sana ndani ya taifa ni vizuri kama taifa likaanza kuingiza mikakati Bora kama ifuatavyo hasa Kwa wakazi wa Kanda ya ziwa hasa vijana wa maeneo hayo...
  11. F

    SoC04 Tanzania yenye ajira lukuki, likifanyika jambo hili inawezekana

    TANZANIA YENYE AJIRA LUKUKI INAWEZEKANA Likifanyika Jambo Hili. Twende Moja Kwa Moja Kwenye Point, Sekta Binafsi Ni Moja Ya Sekta Muhimu sana katika kuzalisha Ajira. Sitaki kuongelea Mazingira Yaboreshwe kuruhusu Uwepo wa Sekta Binafsi nyingi, Nachotaka Kushauri Mimi ni hiki hapa.. SERIKALI...
  12. H

    SoC04 Michezo ni chanzo cha ajira Tanzania ikiwekezwa vizuri

    Tz yetu hii imejikita kwenye michezo michache sana na hiyo michezo serikali ndio hitoa sapoti Kwa kiasi chake ila mm Kwa miaka kumi ijayo ni wkati wa serikali pamoja na wadau wote nchini kuunga mkono michezo yote halali inayoweza kuongeza Pato la taifa na kuongeza ajira Kwa vijana. Michezo yote...
  13. SoC04 Ajira zipo hatarini - tuandae vijana kukabiliana na mabadiliko ya Teknolojia (AI)

    Utangulizi Katika dunia inayoendelea kwa kasi kubwa ya mabadiliko ya kiteknolojia, nchi yetu ya Tanzania inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi. Mabadiliko haya, hasa kutokana na kuibuka kwa teknolojia ya kisasa kama vile akili bandia (AI), yanaweza kubadili kabisa mazingira ya ajira...
  14. Utamshauri nini kijana aliyepata kazi leo kwenye wimbi hili la ufinyu wa ajira?

    Kwako mdau, Kama kichwa cha uzi kinavyo jieleza, kutokana na Wimbi kuongezeka la vijana wengi kukosa ajira/kazi. Ni ushauri gani utampa mtu aliye pata ajira leo. Ushauri uwe ume base kwenye eneo la kazi, kiuchumi na kijamii.
  15. Natafuta ajira au mfadhili wa kuniwezesha kibiashara

    Habari wapendwa mimi ni kijana wa kike nina umri wa miaka 28 elimu yangu ni kidato cha nne pia nina certificate ya entrepreneurship natafuta kazi yoyote kati ya hizi:- Stationary Secretary Duka lolote Reception Costumer Care Wakala wa miamala Mbalimbali Lakini Pia Kwa Wale Wenye Uhitaji...
  16. Ajira portal: Jipu jipya kwa ndoto za vijana

    Habari zenu wakuu Kwanza nipende kushukuru aliyebuni uanzishwaji wa hii ajira portal maana imetoa fairness sana kwa walio wengi bila kujali status yako ya kiuchumi Pamoja na hayo yote lakini kwanini mfumo unabagua sana watu? Mtu anakidhi vigezo kabisa lakini akituma maombi system inamwambia...
  17. E

    SoC04 Kijana na Ajira

    Kwa kuzingatia Tanzania Tuitakayo hatuna budi mawazo yetu, fikra na mitazamo yetu, imuakisi kijana wa sasa na badaeTukiwa taifa ambalo tumejaliwa kuwa na kila rasilimali, ambazo tunaweza kuzitumia kuipata Tanzania Tuitakayo kuanzia miaka 5 Hadi 25, basi hatuna budi kuwekeza katika Mambo...
  18. Naomba muongozo kuhusu ajira za polisi, nitegemee nini baada ya kupita usaili?

    Habari wana JF, nimeapply hizi nafasi za kazi za jeshi zilizotolewa Mei, 2024. Je, nitegemee nini baada ya kupita usaili? Nina degree nmeapply kwenye Kategoria ya Forensics. Naomba kujua mchakato mzima huwa unaendaje: usaili lini, majibu baada ya muda gani, mafunzo ya jeshi ni mda gani, na...
  19. M

    Msaada kupata kazi ya uvuvi

    Habari wakuu, Mimi ni kijana wa miaka 24 mkazi wa apa dar es salaam naitaji kufanya KAZI ya uvuvi naomba mwenye connection anisaidie.
  20. N

    SoC04 Vijana wengi wanapoteza matumaini na kuangukia sehemu mbaya sababu ya kujenga imani akimaliza masomo kupata ajira ni lazima

    Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wengi kupoteza matumaini na wengine kuangukia kwenye matumizi mabaya ya mihadhalati na wengine kujitoa uhai na baadhi yao kuamua kuwa vibaka na majambazi hii yote kwa kutaa tamaa ya maisha (ukosefu wa ajira) Hii inatokana na mifomo yetu ya elimu hatukuweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…