ajira

  1. JamiiForums Tanzania Ajira: Sales and marketing nafasi 1

    Habari! Anatafutwa mdada wa sales and marketing. Kwa kiwango cha mshahara tutapendelea mwenye certificate au diploma. Awe na knowledge ya kutumia computer na digital marketing. Office ipo Boko - DSM. Send CV and recent photo to: joerk2045@gmail.com Only shortlisted will be contacted.
  2. JamiiForums Tanzania Eti vijana wasiokuwa na ajira wakalime! Kweli?

    Labda kama ni kilimo cha kumpatia chakula chake tu. Lakini kama ni kilimo cha kumpatia hela, asahau "kutoboa" bila mtaji! Kilimo kinajitaji hela! Kilimo kinahitaji uwe umejipanga! Vinginevyo, utakuwa msindikizaji tu! Ninawashangaa wanasiasa wanaowashauri vijana wasiokuwa na ajira kwamba eti...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ajira: Anahitajika Dr wa mifugo

    Anahitajika kijana (miaka 22-26) daktari wa mifugo mwenye cheti au diploma kutoka chuo kitachotambulika na serikali kwa ajili ya kusimamia Shamba la mifugo kama Bata, mbuzi, ngo'mbe na ngamia. Shamba lipo mkuranga, kata ya Bupu. Atakayebahatika kupata nafasi anatalazimika kukaa Shambani. Shamba...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Dereva Bolt natafuta kazi

    Heri ya mwaka mpya, kwa majina Naitwa Christian naishi Dar es Salaam, Niko apa kuomba mwenye ajira ya dereva bolt iwe Mkataba au hesabu. Leseni yangu iko clean na pia nitakuja na barua ya mwenyekiti nan passport kwa ajili ya usalama wa mwajiri. Namba zangu za mawasiliano 0698568933. Heri ya...
  5. JamiiForums Tanzania Je, kipi kifanyike kupunguza ukosefu wa ajira nchini?

    Hivi karibuni ajira nyingi mno zimetangazwa Tanzania katika Kada mbalimbali. Lakini hata hivyo inaonesha wazi kua uhitaji wa ajira ni mkubwa kuliko ajira zenyewe. Kwa mfano mwanzoni mea mwezi huu watu 2100+ Kada afisa maendeleo msaidizi usaili wa kuandika kwa njia ya computer, majibu yalitoka...
  6. JamiiForums Tanzania Mnaotufanyia figisu tusipate ajira za kudumu kwa hili mmefeli

    Ndio hivyo tena hii ni 2025 .... Napikiwa na naandaliwa na maji ya kuoga, kila mwaka napiga hatua moja mbele japo ndio hivyo kibishi sana alhamdulilah. Nyie endeleeni kutusagia kunguni, endeleeni kutukandia kila mnapotuona tukija na bahasha zetu kwenye hizo ofisi za ndugu zenu au jamaa zenu...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada nimeisahau password ya kuingia ajira portal

    Wadau naomba maelekezo nimeisahau password ya kuingia ajira portal maelekezo tafadhali
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira /kazi nimesomea Fani ya umeme jinsia KE

    Habari wana-JF. Mimi ni binti Kwa sasa makazi yangu yapo Dar es Salaam Natafuta Kazi au ajira katika taasisi au Kampuni zinazojihusisha na maswala ya umeme. Nimesomea Fani ya umeme hadi Level three. (111). Ninauwezo mkubwa wa kufanya shughuli hii Kwa ufanisi mkubwa na ninafundishika pia ...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira yoyote au kibarua

    Nikijina wa miama 26 mkazi wa Arusha nina leseni class D nina uzoefu ila nipo tayari kufanya kazi yoyote sehemu yoyote Mawasiliano 0699249137
  10. JamiiForums Tanzania Tunabandikiwa matangazo ya ajira lakini tayari watu wa kuajiriwa wanafahamika.

    📖Mhadhara (73)✍️ Miongoni mwa mambo ambayo yanasababisha kutokuwepo kwa nidhamu, uadilifu, weledi, na ufanisi kwa wafanyakazi wa makampuni na idara mbalimbali ni kuajiri watu ambao hawakukidhi vigezo vya ajira (nafasi) husika. Sikuhizi undugu ndio umeshika nafasi kubwa sana kwenye suala la...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Utumishi Wanaenda Kinyume na Maagizo ya Waziri Wa Elimu na Rais Kwenye Suala la Ajira za Ualimu?

    Wakuu Habari! Naomba nisiwachoshe niende kwenye MAADA moja Kwa moja. Leo Utumishi Kupitia kurasa zao za kijamii wametoa Tarehe za usaili Kwajili ya waalimu. Chakushangaza ni kama wanaenda kinyume na maono na maagizo ya waziri wa Elimu Prof. Adolf mkenda. Waziri Kwa kutumia AKILI Zake kubwa...
  12. JamiiForums Tanzania Waombaji ajira za Ualimu waitwa Usaili

    Waombaji ajira za ualimu waitwa usaili. Usaili huo utafanyika kati ya january 14 mapaka 24 mwezi februari 2025. Ikumbukwe kuwa usaili huo uliahirishwa tangu october 17, 2024. Soma zaidi <<< WAOMBAJI AJIRA ZA UALIMU WAITWA USAILI 2025
  13. JamiiForums Tanzania Muda wa ajira kwa baadhi ya kada za Serikalini uwe mfupi

    Tatizo la ajira serikalini limekuwa sugu sana. Ajira ni mojawapo ya keki ya taifa inayofaa kufaidiwa na wote wanaostahili. Sasa nashangazwa na utaratibu wa serikali wa kuwang'ang'ania watumishi wa serikali hadi watimize umri wa miaka 60 ya kuzaliwa. Kuna baadhi ya kada kwa kuzingatia wingi wa...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi kuna ajira ambayo inahitaji ulipie mkataba?

    Hivi ndugu zangu kuna ajira ambayo mtu anabidi alipie kwanza nkataba ili aweze kusaini mkataba ule maana hii iananichanganya kidgo?
  15. JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira acheni kuwawekea waomba ajira vigingi visivyo na sababu za msingi.

    Habari, Sekretarieti ya ajira mmeaminiwa kutangaza na kuendesha mchakato wa ajira kwa haki na usawa ili watanzania tuombe ajira za umma kupitia taasisi yenu. Mnapokuwa mnaweka vigezo ambavyo havina umuhimu mkubwa na kuzuia watu kufanya usaili ni kama kutuwekea vigingi tu tunaoomba hizo ajira...
  16. JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa LinkedIn na Mafanikio Bandia

    LinkedIn imekuwa jukwaa muhimu kwa wataalamu kuungana, kushiriki maarifa, na kutafuta fursa za kazi. Hata hivyo, jukwaa hili pia limekuwa uwanja wa kuonyesha mafanikio bandia, ambapo watu wanashiriki machapisho yanayoonyesha maisha ya kifahari na kazi zenye mafanikio makubwa, wakati kwa kweli...
  17. JamiiForums Tanzania Mohammed 'Mo' Dewji ametelekeza mashamba ya chai Rungwe, ajira zatoweka

    Kama ilivyo ada, nimetembelea kwetu Xmas hii ili kuona mandhari na uzuri wa Rungwe, kwetu. Kilichonisikitisha ni Chivanjee Tea Estate kuanza kufa kwa kukosa matunzo. Waziri wa Kilimo ndg Bashe aingilie kati haraka, MO aachilie mashamba ya chai kule Jivanjee Chivanjee Tea Estate, Tukuyu...
  18. JamiiForums Tanzania Kama ajira hazipo Kuna umuhimu wa vijana kwenda kwenye mafunzo JKT?

    Vijana wengi siku za hivi karibuni wameonesha uzalendo wao kwa kujiunga na Jeshi La kujenga taifa (JKT) kwa kujitolea na kwa mujibu wa sheria pia. Lakini idadi kubwa ya vijana Hao wanakosa ajira baada ya kuhitimu mafunzo yao na kumaliza mkataba wao jeshini, hivyo wanaishia kurudi mtaani na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Zile Ajira za ualimu zilizoimbwa tangu February zipo wapi mamlaka tokeni hadharan mseme

    Mamlaka tokeni hadharan mseme Kuna Nini kinaendelea . Mlisitisha usaili bila taarifa Mashule yanaelekea jufunguliwa shule nyingi za private zinataka walimu kwa mikataba japo wanalipa Kidogo. . Walimu wanabaki njia panda wasaini mikataba ya mishahara jkidogo au wasubiri Ajira za serikalini ...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepoteza barua ya ajira na inahitajika kwenye madai ya malimbikizo ya mshahara, nifanyeje?

    Wakuu nimepoteza barua ya ajira na inahitajika kwenye madai ya malimbikizo ya mshahara! Nishauri kama unajua kitu Wakuu msaada tafadhari.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…