ajira

  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Umoja wa vijana wasio na ajira Tanzania (UYAM) umesema kuwa ukosefu wa ajira ndiyo chanzo cha vijana kujihusisha na ku- bet

    Umoja wa Vijana Wasio na Ajira Tanzania (UYAM) hii leo umesema ukosefu wa ajira kwa vijana umepelekea baadhi yao kujiingiza katika ubashiri huku wengine wakiuza miili yao kama njia ya kujipatia kipato. Lawrent Kayaya, Mwakilishi wa UYAM akizungumzia hilo
  2. JamiiForums Tanzania AJIRA MPYA NA CONNECTION (MTU NA MTU WAKE)

    Wakati namsikiliza waziri Simbachawene akizungumzia ajira mara nasikia anatoa taarifa ya kumuunganishia ndugu yake kupata ajira. Ni juzi ametukataza waombaji tuditafute connection!!!! Ni juzi amedai ajira zinatoka kwa uwezo!!! Ni juzi wasailiwa wametoka na kudai kuwa usaili unajanjajanja...
  3. JamiiForums Tanzania Walimu wasio na ajira; ushauri kwa Serikali

    WAKUU, AMANI NA IWE NANYI. Ni lengo la sera ya elimu ya mwaka 1995 na 2014 kuwa na Mtanzania aliyeelimika, mwenye maarifa, stadi na mtazamo chanya katika kuchangia maendeleo endelevu ya Taifa la Tanzania. Nikiri tu kwamba, Serikali imefanikiwa kuwaelimisha kwa kuwapa maarifa na stadi walimu...
  4. JamiiForums Tanzania AJIRA UALIMU : COMMERCE NA BOOK KEEPING (ACCOUNTANCY)

    Anahitajika Mwalimu Kwajili ya kufundisha somo la commerce na Accountancy A level. Shule Iko Mbeya Mjini. Qualification: mtu mwenye degree katika masuala ya Commerce na Accountancy. Au Finance na Account. Mawasiliano: +255754543934 Salary: Government scale.
  5. JamiiForums Tanzania Serikali iwavutie vijana graduates katika kilimo kwa kuwakopesha mashine za irrigation katika makundi. Hii itasaidia kuwaondoa mitaani

    Dkt. Gwajima D Bado kilimo kinaonekana kama kamali machoni mwa vijana wa mjini Bado kilimo kinaoekana primitive katika fikra za vijana wa mjini. Lakini naamini kilimo hichi ndio mkombozi wao wa kukosa ajira. Bado tuna ardhi kubwa sana nyingine za wanachi na nyingine za serikali zilizo tengwa...
  6. JamiiForums Tanzania Wasomi msio na ajira muishinikize serikali mpate haki ya kuajiriwa Zanzibar kama ilivyo wenzenu kutoka Zanzibar walivyo na haki kuajiriwa bara

    Kama unakuwa msomi na huzijui haki zako za msingi ni heri upokonywe vyeti vyenyewe. Si wasomi wote wataajiriwa na serikali au sekta binafsi ila ni sharti kuwepo na usawa katika ajira. Bila kijali huyu anatoka visiwani au bara kwenye suala la ajira vijana wote wanapaswa kuwekwa kwenye kapu moja...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mnaojiweza au mliowahi kujiweza kiuchumi mkiwa chini ya miaka 30, nje ya ajira, utajiri wa familia, n.k mliwezaje?

    Wenzetu mliwezaje wezaje, wengine tumejipata kwenye 30 na kitu, hali za huko nyuma zilikuwa mbaya sana
  8. JamiiForums Tanzania Wasomi wote wasio na ajira Tanzania kazanieni wazazi wenu walioko kwenye ajira walipwe mshahara mzuri na wachukue mafao yanayopatikana baada ya miaka

    Wakuu Hili ni bandiko la ushauri kwa vijana wasio na ajira lakini pia kwa mamlaka za ajira 1. Vijana wote wapaaze sauti kwa mamlaka na bunge kubadilisha sheria zinazopanga mishahara yenye ulali sawa kuelekea ukoma wa umri elekezi wa kustaafu (55) na wa lazima (60) ili wanapotoka wasiwe...
  9. JamiiForums Tanzania Anahitajika mwalimu wa kindergaten

    Anahitajika mwalimu wa kindergarten na Daycare kwa mawasiliano zaidi 0749928289
  10. JamiiForums Tanzania Serikali ifanye hivi kusaida NETO na vijana wengine wasio na ajira

    Hili suala la ukosefu wa ajira ni tatizo la dunia nzima ila hatupaswi kubweteka kisa majirani nao wana tatizo kama letu. Kama mwananchi mzalendo nina ushauri kwa serikali ili kupunguza tatizo la ajira lililopo na kuzuia huu uanzishwaji wa vikundi vya vijana wasio na ajira. Haileti picha nzuri...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyo nikuta katika kukopa kwangu ili yawe funzo kwa wengine wa lamba asali

    Kuna la kujifunza kwa waajiliwa wapya soma attachment.
  12. 3

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Ajira

    Habarini za leo ndugu zangu, mimi ni binti wa miaka24, Elimu yangu ni degree ya Mass communication in public relations and marketing Naombeni msaada wa kazi🙏 yoyote ile ambayo ni halali iwe ya professionalism yangu au kazi yoyote ya kawaida Dukani, viwandani, ofisini au kokote kule.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu zilikua 14,000 wameajiri 6000 halafu wamekaa kimya takribani siku 7 hakuna kinachoendelea

    .
  14. JamiiForums Tanzania CHANGAMOTO ZA KUOMBA AJIRA ZA ZIMAMOTO KUPITIA MFUMO WAO

    Ndugu wanajukwaa,nimepata changamoto ya kuomba kazi kupitia mfumo wa kuomba kazi katika jeshi la Zimamoto. Nimefuata taratibu zote za kujisajili kwenye mfumo wa ajira ili kuomba kazi kama ilivyotangazwa hata hivyo napata changamoto katika hatua ya mwisho ya kuwasilisha maombi yangu kwani link ya...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi ya aina yoyote ile ili mradi tu niweze kupata kipato

    Habari zenu wakuu. Mimi ni mgeni hapa JF lakini nimekuwa nikifuatilia platform hii kwa miaka kadhaa sasa. Lengo la kuja hapa jukwaani ni kuomba msaada wenu wa kazi ya aina yoyote ile ili mradi tu niweze kupata kipato chochote cha kuisaidia familia yangu... Binafsi nina elimu ya kidato cha...
  16. JamiiForums Tanzania Wahitimu msing'ang'anie kuomba kazi bongo pekee hata kama uridhiki na ajira uliyonayo muda haurudi nyuma fursa popote

    Hawa vijana wa singeli uenda bongo ndio tuna vijana wa hovyo kutwa kutumia bando kuangalia ujinga mda hauendi mtu analia connection connection connection haikufuati umelala kitandani ukiwa unapambana bongo usiache na kupambana nje pia nje hapa hitaji connection ili kupata kazi kule ni cv na...
  17. JamiiForums Tanzania Ewe jobless kukosa kwako ajira kusikuondolee usomi au uwezo wako wa kufikiri

    Mimi Kama rais wa chama Cha ma jobless pro max, nime ona nitoe angalizo Kwa wanachama wote walio ma jobless. lengo la kutoa angalizo ni kueleweshana mambo kadhaa, ili tuweze kujua ni mambo gani ya kuzingatia wakati huu. 01, Serikali haiwezi kuajiri watu wote, enyi ma jobless huu ndio ukweli...
  18. JamiiForums Tanzania Baada ya bomu la vijana wasiyo na ajira naona mgomo mwingine kutoka kwa kundi la vijana lililorudishwa nyumbani kutoka JKT

    Baada ya malalamiko ya waalimu wasio na ajira kuishinikiza serikali kutatua changamoto zao sasa inaonekana kuna kundi jingine la vijana wasio na ajira linaibuka. Ukiachana na hayo makundi mawili kuna hili kundi la vijana kutoka JKT wanarudishwa makwao for fun na wanapewa wengine nafasi kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ipunguze bei ya viwanja vya kujengea viwanda, hadi 1000 kwa sqm 1 au 500 kwa sqm 1. Ili kuongeza ajira kwa vijana kupitia viwanda vidogo

    Serikali ipunguze bei ya viwanja vya kujengea viwanda, viwanja vya kuweka biashara. Kuuza kiwanja cha kiwanda kwa @20,000 kwa mita moja ya mraba au 30,000 kwa sqm au 50,000 kwa sqm ni bei juu mno na inaua uzalishaji wa bidhaa hasa kwa vijana na wazawa, hakuna kijana mwenye milioni 500 au 1B kwa...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Fauli shule kisha Nenda chuo kikuu, pata degree, utapata ajira nzuri, anzisha familia nzuri, ni formula ya miaka ya 90 haifanyi kazi zama hizi

    Hii formula imegeuka
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…