ilio na simanzi vimetawala katika viwanja vya Hospitali ya KCMC, mkoani Kilimanjaro wakati ndugu wakishuhudia majeneza 36 kati ya 42 yenye miili ya ndugu zao waliofariki dunia ajalini baada ya magari mawili kugongana na kuwaka moto Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro
Ndugu hao pamoja na...
Watu 43 wamefariki dunia na wengine 44 kujeruhiwa katika ajali mbali za magari zilizotokea Wilayani Same mkoani Kilimanjaro na Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa.
Tukio la kwanza ni la basi la Channel One kugongana uso kwa uso na Toyota Costa iliyokuwa imebeba watu waliokuwa wanakwenda kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.