Shirika la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira Tanzania (TRAMEPRO) limetoa salamu za rambirambi kwa familia zilizopoteza wapendwa wao kufuatia ajali za barabarani zilizoripotiwa kutokea mkoani Morogoro.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa TRAMEPRO, Boniventura Mwalongo, imeeleza kuwa shirika...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Queen Cuthbert Sendiga; na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Mongoso Wambura, kufuatia vifo vya watu 32, wakiwemo Askari Polisi watatu...
Jana usku kumetokea ajali mbili zimeondoka na Roho za WATANGANYIKA wenzetu zaidi ya 30
Je mbona hakuna hata salamu za Rambirambi kutoka serikalini? Au ni sehemu ya USHETANI KUENDELEA kuchukua damu za watanganyika?
RAIS wa nchi hii tumueleweje? Je ingetokea makunduchi angekaa kimya?
Mkoa wa Morogoro na Taifa tumekumbwa na simanzi kubwa kufuatia ajali mbili mbaya za barabarani zilizotokea usiku wa kuamkia leo Ijumaa, Oktoba 9, 2026, na kusababisha vifo vya jumla ya watu 32 na majeruhi zaidi ya 37.
Ajali ya kwanza na yenye maafa makubwa zaidi ilitokea majira ya saa 4:30...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.