air tanzania

Air Tanzania Company Limited (ATCL) (Swahili: Kampuni ya Ndege ya Tanzania) is the flag carrier airline of Tanzania based in Dar es Salaam with its hub at Julius Nyerere International Airport. It was established as Air Tanzania Corporation (ATC) in 1977 after the dissolution of East African Airways and has been a member of the African Airlines Association since its inception. The airline was wholly owned by the Tanzanian Government until 2002 when it was partially privatised as per the directive of the Bretton Woods Institutions to implement the country's Structural Adjustment Program. The government therefore reduced its shareholding to 51 percent and entered into a partnership with South African Airways.
The partnership lasted for about four years and had accumulated losses of more than Tsh 24 billion (US$19 million) (based on an exchange rate of 1,251.9 as per the WB: http://data.worldbank.org/indicator/PA.NUS.FCRF?page=1) The government repurchased the shares in 2006, making it once again a wholly owned government company. Over the years, it has served a variety of domestic, regional, and intercontinental destinations. Despite being the national airline, its market share deteriorated over the years from 19.2 percent in 2009 to 0.4 percent in 2011.In 2016, the Tanzanian government under President John Pombe Magufuli initiated a new drive to revive the national carrier. The government purchased two new Bombardier Q400 for the national carrier, which were delivered in September 2016. In December of the same year the president's office announced that a four additional aircraft would be purchased for the national carrier, with deliveries set for June 2018. Air Tanzania's market share during 2017 increased to 24 percent from 2.5 percent the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Air Tanzania mnachelewesha mizigo ya wasafiri wenu wa Comoro hadi kero, jirekebisheni, mnatukwaza

    Nalalamikia ndege za Air Tanzania hususan zinazoenda Comoro, kuna wakati wa rush za biashara kama za mwezi wa ramadhan au likizo Air Tanzania inatabia ya kubeba abiria na kuacha mizigo mpaka baada ya siku mbili. Wacomoro huja kwetu Tanzania kwa matibabu na kuchukua bidhaa za biashara, leo mtu...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    Air Tanzania yachelewesha safari yake nyingine leo Alhamisi

    Juzi ilikiwa hivyo na leo tena imetokea. ATCL inabidi wabadilike bhana
  3. Black_Mambazo

    DOKEZO Air Tanzania Mwanza online check in haitambuliki

    Kwa kifupi: Air Tz Mwanza hawatambui boarding pass za mtandaoni, wanakulazimisha upange tena foleni ya kaunta hata kama hauna mizigo. Full: Juzi nilikuwa nasafiri kutoka Mwanza na Air Tanzania. Usiku kabla ya safari nilitembelea tovuti ya ndege nika 'check in' kwa mtandao ili kuepuka kadhia ya...
  4. mcTobby

    Ndugu zangu wa Morogoro, mshawahi jiuliza kwanini ndege za Air Tanzania hazifiki kwenu?

    Kuna memba mmoja humu niliwahi mjibu nikwambia asije akadanganyika na hao wanasiasa kwamba kila mkoa kutajengwa viwanja vya ndege, haiwezekani hata siku moja jamaa kama alipaniki sana. Marekani kwenyewe na ukubwa wake wote sio kila sehemu wamejenga uwanja wa ndege. Uwanja wa ndege sio kama...
  5. Damaso

    Sakata la Interview za Air Tanzania leo tarehe 31 January 2026

    Kama kuna siku vijana wamejisikia kama wako kwenye onyesho la futuhi—lakini lisilo na kicheko chochote—basi ni siku ya usahili wa ajira wa Air Tanzania leo pale DUCE. Kilichotarajiwa kuwa zoezi la kitaalamu, la haki na la kutoa matumaini, kimegeuka kuwa kilio chenye maswali mengi kuliko majibu...
  6. C

    Tetesi: Air Tanzania kuanzisha safari za Dar-Amsterdam/Hague kuanzia 2026

    Hii route punde itapata abiria wengi kuanzia business class na economy. Maombi ya vibali yapo mezani kwa vyombo huko EU.
  7. Stephano Mgendanyi

    Air Tanzania to Fly from Dar to Lagos on 15 August, 2025

    We’re so excited to share this moment with you! ❤️✈️ Air Tanzania will start to fly direct from Dar es Salaam 🇹🇿 to Lagos 🇳🇬from 15th August, 2025. To us, this is more than just a flight route. It’s a beautiful bridge between two cultures, two nations… and two hearts. Since our wedding...
  8. Tabutupu

    Mfumo wa email air Tanzania haufanyi kazi

    Mfumo wa email wa air Tanzania haufanyi kazi, leo nipo hapa Lubimbashi, nataka kurudi tanzania, nimeshindwa kureset password, ila imeshindikana kwa sababu email hazifiki. Air Tanzania ebu jaribuni kuliangalia hili, hamtaweza kusurvive kwenye soko la usbindani kwa namna hii.
  9. uran

    Nini kimetokea kwa Air Tanzania TC800, Dar - Kinshasa?

    Wakuu Hii ndege ya Airbus A200-300, Imeondoka Dar saa 10Asbh kuelekea Kinshasa lakini ndani ya Dakika 40 imerudi, Kuna shida gani? Je, inadharura? Jamiicheki tusaidieni tujue.
  10. Theodora

    Wakeup Call Air Tanzania mpo

    Nawasabahi wote. Yaliyotokea Air India majuzi kupoteza watu zaidi ya mia mbili ni catastrophic ni jambo la kusikitisha na ingawa bado uchunguzi unaendelea tujikumbushe Ethiopia Airlines walikumbwa na ajali 2019 na ilikuwa pia ndege ya Boeing 737 MAX 8. Na chanzo ilikuwa MCAS ambayo ni aircraft...
  11. M

    Ilikuwa Bandari zetu bara, sasa ni shirika la ndege nalo limejifia na Zanzibar kuipiku air Tanzania

    Sitaki uchochezi, najiuliza tu maswali ya kijinga La bandari maelezo yamekuwa mengi tumekubaliana nayo vema, Je hili la kuuwa shirika la ndege la nchi hiyo hiyo na kuzaliwa shirika lingine kwenye nchi hiyo hiyo moja limekaaje? Kwa wenzetu huko vipi? Nchi moja inaweza kuwa na mashirika mawili...
  12. Lord Denning

    Hili haliwezi kupita bure: Imekuwaje TISS na JWTZ mmekubali Air Tanzania ife na ianzishwe Zanzibar Airways?

    Wakati Air Tanzania ikifanya vibaya sana kutokana na ndege kununuliwa kwa bei mbaya huku zikifa kutokana na kutofanyiwa service za maana na kwa wakati tena kwa makusudi kuna taarifa kuwa linaanzishwa Shirika la Ndege la Zanzibar. Nawauliza nyie TISS na JWTZ hamuoni kutofanya vizuri kwa Air...
  13. mcTobby

    Ili Air Tanzania iweze kupenya soko la ulaya inabidi ifanye mipango na mikakati ya muda mrefu.

    Juzi kati hapa kulikuwa na mjadala niliokutana nao humu mtandaoni kuhusiana na Air Tanzania kufanya safari za moja kwa moja ulaya hadi hapa Tz. Kiukweli mjadala ule ulinivutia kwa kiasi chake ,lakini binafsinikagundua ili shirika hili liweze kupenya soko la ulaya itahitaji mipango,ubunifu na...
  14. Valencia_UPV

    Uganda Airlines waanza Route London (Non-Stop) Vs Air Tanzania?

    Uganda Airlines destinations>>>London, Dubai, Johannesburg, Dar, Nairobi, Bujumbura, Juba, Mogadishu, Abuja, Harare, Kilimanjaro, Kinshasa, Lusaka, Mombasa, Mumbai, Zanzibar, Entebbe na Lagos** https://m.youtube.com/watch?v=ewuU3-U0cq0&pp=ygUPdWdhbmRhIGFpcmxpbmVz 1. Hivi Marketing Department...
  15. MKATA KIU

    Magufuli kafanya mengi ila Air Tanzania, TRC, na Tanesco aliwazidishia upendeleo. Staff wa hizi taasisi wanaomchukia Magufuli hawana shukrani

    Habari wadau Huu ni ukweli mchungu 1. Magufuli kaikuta Air Tanzania ikiwa haina ndege hata 1. Ila kaifufua na kainunulia ndege za kutosha 2. Magufuli kakuta shirika la reli TRC linaelekea kujifia.. kalifufua kwa kuliwekezea ma trilioni ya hela na kafosi kujenga reli ya SGR na kawanunulia...
  16. Pfizer

    Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa arejesha safari za ndege za Air Tanzania Dar kwenda Iringa. Nauli kuanzia Tsh 199,000 kwenda na Kurudi

    Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amezindua rasmi safari za ndege kupitia Air Tanzania kutoka Dar Es laam kwenda mkoani Iringa na kutoka Iringa kwenda Dar es laam huku akiitaka Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) kujiimarisha zaidi ili kuweza kuwa na ushindani. Prof. Mbarawa amezindua safari...
  17. Just Pray

    Air Tanzania yaanza rasmi safari zake Mtwara - Dar

    Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limezindua huduma za usafiri wa ndege za shirika hilo mkoani Mtwara ambapo ndege hizo zitakuwa zikifanya safari za Dar es Salaam-Mtwara mara tatu kwa wiki. Akizungumza Februari 17, 2025 wakati wa uzinduzi wa safari za ndege hiyo Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa...
  18. Waufukweni

    Air Tanzania yapata hasara ya TSh. Bilioni 580 katika kipindi cha Miaka 9

    Ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), zimeendelea kuonesha Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limeendelea kupata hasara tangu Serikali ilipoamua kulifufua kwa kununua ndege mpya kadhaa. Air Tanzania na hasara zake miaka 9 mfululizo 2014/2015 - Tsh. Bilioni 94.3...
  19. SSH2025_2030

    Air Tanzania kuathirika kwa NGOs kukatiwa Misaada na USAID

    Ni Sera ya NGOs nyingi za kimataifa nchini kusafirisha staff/wageni kwa ndege (preferably ATC) kwa ajili ya safety/usalama. Sasa kimeumana tayari watu wapo home wiki ya pili ATC mjipange na wafanyakazi wa Halmashauri hukoo Buhigwe sasa. ROUTE zilizokuwa maarufu kwa wafanyakazi wa NGOs za...
  20. BOFREE

    KERO Air Tanzania mmehairisha safari yangu kwa zaidi ya masaa 6 na simu hampokei. Mna shida kubwa kwenye huduma kwa wateja

    Air Tanzania mlichonifanyia mmebadilisha safari yangu ya ndege ya saa kumi jion hadi saa tano usiku. Cha kushangaza hamjibu email wala namba yenu ya simu ambayo ni 0748773900. Simu inaitaa mpaka inakata hakuna wa kupokea! Hivi mmeweka ya nini? Naomba kiongozi yoyote wa serikali ajaribu kupiga...
Back
Top Bottom