aibu

Saki Aibu (相武 紗季, Aibu Saki, born June 20, 1985) is a Japanese actress. She is represented by Box Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. Dkt. AshaRose Migiro kutoka Naibu Katibu UN hadi kuwa katibu wa CCM ya wauaji; anaishije na aibu hii?

    Kwa mtazamo wangu. Huyu binti anachoangalia ni pesa anayopata bila kujali njia anayotumia kuzipata. Asha Rose Migiro miongoni mwa waanzilishi wa Tanzania Gender Network Program (TGNP) akaja baadaye kupata teuzi enzi za Kikwete na hata kufikia kupata nafasi ya kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa...
  2. Je, WAVUVI CAMP hii aibu kwa jamii wanayofanya mchana kweupe wapo juu ya Sheria?

    Jamani hebu oneni aibu hii Yaani mchana kweupe wanaweka show za watu kuonesha maungo yao Je, Wavuvi Camp wapo juu ya sheria? nani anawalinda hawa wavuvi? je haya ni maadili ya mtanzania Au kuna wanaomlinda huyu Wavuvi? hili eneo inaweza kuwa ni eneo kubwa la kwanza linaloongoza kwa watu...
  3. Bila aibu Waziri mwenye dhamana ya Maji anakiri kuwa CCM kwa miaka zaidi 60 ipo madarakani na imeshindwa kutatua kero ya maji

    Nimeshangaa sana Juma Aweso Waziri mwenye dhama ya kuhakikisha kila mtanzania anapata maji salama anakiri mbele ya television ya taifa kuwa CCM imeshindwa kutatua kero ya maji hapa nchini. Ameulizwa swali kwa nini hamutumii maji ya bahari kuhakikisha kero ya upatikanaji wa maji hususani mjini...
  4. Inasikitisha kwamba bado kuna waafrika wanaamini kuwa kuna supernatural forces tofauti kati yetu zinazoongoza maisha, ni aibu, MAISHA NI MAISHA!

    "Ooh ilikuwa iwe hivi" "Ilipaswa ie hivi" "Ni mipango ya Mungu wafe kwenye ajali familia nzima" "sikuzaliwa na nyota kali ndio maana sifiki malengo" 🚮🚮🚮🚮🚮
  5. PICHA: Waziri Kombo aibu hii umeonesha mbele ya Katibu Mkuu wa UN, António Guterres

    Ukaaji wako pichani unadhihirisha una aibu, umejipeleka kuomba msamaha, umewasilisha barua kimagumashi. Kuna wataalam wa kusoma wa picha na kuna ukaaji wa kiprotocal wa kiongozi kama wewe. Sijafuatilia kabisa ile barua uliyotumwa kupeleka ila kuna maneno fulani huea yanasema "MIMI TU...
  6. Ni aibu kubwa kwa askari wa jeshi kupanda daladala za jerojero

    Askari unapandaje daladala za jerojero?? Umeshindwa hata kununua ka IST asee . Unatoka umepiga zako kumbati unaingia kwenye daladala za kulipia jerojero ni aibu.
  7. Mimi Kama Gen- Z naona aibu kwa kilichotokea jana Tulikurupuka sanaa naomba Samia na Watanzania wote mtusamehe

    Jana katika harakati zingine za kuharibu taswira ya Tanzania tulishindwa kwa sababu tulikua disorganised sana. Nakupenda na kusababisha aibu tuliyoipata naweza kukiri kuwa tulikurupuka sana kwa sababu viongozi wetu waligawanyika kwa kiasi kikubwa kwa sababu ya maslahi yaliyotoka kwa mabeberu. We...
  8. Ni aibu kubwa kwa kiongozi wa dini kusema matukio ya utekaji yalianza miaka 3 nyuma

    Ni aibu kubwa na unafiki Kwa kiongozi wa dini kusema matukio ya utekaji yameanza miaka mitatu nyuma, hii ni chuki ya udini.
  9. PostGE2025 Kuadhimisha miaka 64 ya uhuru wa Tanganyika tukiwa LOCKDOWN ni ishara tosha hakuna uhuru, tunabinyana tu kulinda maslahi yenu

    Nina uchungu nalia hakika Leo hii angekuwepo Nyerere Angelia mara mia ya Mimi. Kitendo Cha kusherekea uhuru wa miaka 64 paspo kwa kufungiwa ndani ni UPUMBAVU wa Hali ya juu mno. Tunajiuliza tunapumzika Ili iweje? Nauliza Kuna maana Gani ya uhuru ENDAPO tunaazimisha siku muhimu kama Leo paspo...
  10. Ati ‘Mji kasoro bahari’ watia aibu hehee! Mji gani washindwa mpaka na Mafinga, Kahama

    Nye Nye Nye. Mekutana na kina Mogela hapa Mazimbu Mayii. Wafurahisha Nye. Maneno mengi pyuu ushubwada hamna lolote. Wajiita mji kasolo bahari wakati washamba watupu. Wanaume kama mabinti hehehe. MO29 mayii iliwaumbua pabaya mayo. Mo town yakushindwa na Mafinga Nye. Kule igumelo kahama...
  11. Hii ni aibu leo Tabata. Polisi anatoa maelekezo kwa Wanajeshi aisee

    Picha hii inayosambaa mitandaoni ikiwaonyesha wanajeshi wa JWTZ wakipokea maelekezo kutoka kwa Polisi imeibua mjadala mkubwa. Huku wengine wakiona kama ni kushusha hadhi ya jeshi la wananchi, swali linabaki ni Je! Itifaki ya vyombo vya ulinzi na usalama inawezekana kwa jambo hili? Hivi Hili ni...
  12. nyinyi si mnasema ni vyombo vikubwa vya habari tz aibu naona mm

    oneni sasa wananchi wameamua kupuuza habari zenu hawatoi hata maoni
  13. Viongozi wa CCM mliomdanganya rais Samia kuwa anakubalika wakati wananchi hawamtaki hamuoni aibu?

    Alipokuwa kuwa anafanya ziara za kunadi ilani ya chama chenu . Nasema ziara maana zilikuwa sio kampeni mlimdanganya na kula pesa za chama chenu bure. Mlisomba watu kwa malori, matrekta , mabasi na semitela ili kujaza watu kwenye ziara zake. Lakini kumbe watu hawamtaki. Nasema kuwa mna dhambi...
  14. Kusingizia kitu zama hizi ni kutafuta aibu za kujitakia

    AI ambayo imesingiziwa Imekataa kuhusika kutengeneza hii video na imesisitiza video hii ni HALISI. Sasa wanaoisingizia AI waje watuambie miili ya ndugu ipo wapi tunataka kuzika ndugu zetu sio nguo zao. Hili hatutaacha lipite hivi, tutapambana mpaka Haki ipatikane Credit: Hilda Newton FB
  15. Mnaogopa Maandamano kisa Mnatakiwa kutoka kila siku ili mle kuweni na AIBU

    GT Kuna mambo yanashangaza sana lakini inaonekana hata waandishi wa habari wetu ni vichwa maji contents kama hizo wala siyo za kuweka public. Tafsiri ya wewe utoke kila siku ndiyo ule ni kwamba wewe siyo masikini tu bali kapuku kabisa. Hawa wanaosema hivyo wanatakiwa wawe mstari wa mbele kwenye...
  16. PostGE2025 CCM mmetuangusha, mmetufedhehesha, mmetutia aibu- kitaifa na kimataifa

    “Asiyesikia la mkuu, huvunjika guu” Uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba mwaka huu umeweka historia ya aibu. Aidha CCM sasa imekiuka madhumuni ya uanzishwaji wake maana , chama kiko insensitive kwa wananchi wake. Kwamba kulikuwa na maonyo, kisiasa ,kuwa kunaweza kuwepo maandamano, CCM ,ilijiweka...
  17. M

    GE2025 Aibu kwa Zitto: Tume yamtangaza BabaLevo kuwa Mshindi Kigoma Mjini

    Hii ni aibu ya karne kwa kaka yetu Zitto
  18. Ni aibu mtanganyika kumshabikia SSH aongezwe miaka ya urais, Zanzibar inaneemeka, Tanganyika hoi

    Tanganyika imefifia na itazidi kufifia. Ndani ya miaka hii minne ,Zanzibar imepiga hatua zaidi kwa mgongo wa Tanganyika Maisha ya watanganyika yamejaa hofu, ajira hewa, hospitali gharama zipo juu ukihojo hoji sana unapotezwa hadharani. Jitafakari wewe mtanganyika unayemshabikia mzanzibari...
  19. Ni aibu sana kwa viongozi wa serikali na makundi ya kiimani kutangaza amani huku watu wakitekwa na kupotezwa kusipojulikana

    Serikali na makundi ya kiimani kuelekea uchaguzi mkuu october 29 ambao asilimia kubwa ya watanzania wanapinga kwa nguvu kubwa uchaguzi huo usifanyike bila kufanya reform nimeona viongozi wa serikali na makundi ya kiimani yakitangaza amani huku watu wengi wakilia ndugu zao kutekwa na kupotezwa...
  20. Yasipofanyika maandamano mwaka huu itakuwa ni aibu ya karne na kuitia aibu dunia

    Dunia nzima inaitazama Tanzania Majirani zetu Kenya wanatutazama Tayari walishaatuonesha njia Ila vijana wa Tanzania wanatia mashaka Nafsi yangu inaniambia wataandamana wachache na watachapika vibaya sana. mchana mwema!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…