aibu

Saki Aibu (相武 紗季, Aibu Saki, born June 20, 1985) is a Japanese actress. She is represented by Box Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. LGE2024 Serikali itoe elimu kuelimisha wananchi umuhimu wa kujiandikisha, huo utaratibu wa kuwafata majumbani kuwaandisha haulisaidii taifa

    Naishauri serikali ipambane kuelimisha jamii na kutenda yale yanayo ijengea imani jamii ili ijue umuhimu wa kujiandikisha , Na sio kulazimisha mawakala kufuata wananchi majumbani ambako wana ambulia matusi na kejeli na pia haiwajengei wananachi utaratibu wa kuona ni wajibu kujiandikisha na...
  2. K

    Hezbollah yajeruhi zaidi ya wanajeshi 40 kwenye mesi nchini Israel wakati wanakula

    Hezbollah wamefanya shambulio la drone kutokea Lebanon na kupiga kambi ya jeshi ya Golan Brigade Base katika Jiji la Haifa ambapo wanajeshi zaidi ya 40 wamejeruhiwa na wengi wakiwa kwenye hali mbaya huku kukiripotiwa vifaa kadhaa pia. Tofauti ya Israel na Hezbollah na HAMAS ni kua wao...
  3. Uchumi wa Israel waathirika na vita ya Gaza

    aljazeeraenglish The fact that the cumulative weight of bombs dropped on #Gaza exceeds that of those dropped during World War II is “extraordinary”, Will Hutton, political economist and journalist, tells Al Jazeera.⁠ .⁠ #Israel could not have done this without US military aid, but it could have...
  4. G

    Swahili Subtitles: Netanyahu amcharua Rais wa Ufaransa "Tutashinda vita hata mkikataa kutuuzia silaha aibu inawasubiri"

    Mods tafadhalini msiunge huu uzi, Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amemkosoa Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kuhusu wito wake wa kuiwekea Israel vikwazo vya kuuziwa silaha (Arms Embargo). Bajeti ya ulinzi ya Israel ni Dola Bilioni 30 (Shilingi Trilioni 82) Marekani huisaidia Dola...
  5. Aibu ya Taifa:Watanzania milioni 60 hakuna anayeweza kuchonga sanamu

    Ukienda Italy,Belgium,France ,Spain na nchi nyingi za ulaya utastaajabu na wasanii wa tasnia ya kuchonga masanamu walivyo mahiri. Wanaweza kuchonga jiwe gumu mpaka ikatokea taswira ya mtu wanae mtaka au kiumbe chochote. Kwenye round about,makumbusho nje ta viwanja vya mpira na park kumejaa...
  6. Kiukweli Wanachadema walimtia aibu Mwenyekiti Mbowe

    Habari za weekend! Polisi na serikali kitakuwa NI kichaka tuu cha Kutoa Lawama lakini ukweli wa wazi NI kuwa, Wanachadema wamemtia aibu Mbowe. Haiwezeniki Mwenyekiti atoe la namna Ile. Mpaka anasema kama akikamatwa au akiuawa muendelee na maandamano alafu Siku ya tukio mkamkimbia. Nimejaribu...
  7. Ukiondoa ushabiki, basi shambulio la Israel la simu za mkononi nchini Lebanon ni shambulio lililofeli na la aibu sana

    Mashirika yote yaliyotajwa kuwa yalihusika na kutengeneza simu za mkononi za pagers na Walkie talkie zilizowaripukia watu nchini Lebanon wamekataa kuhusishwa na vifaa hivyo.Kila mmoja akitaja kuwa zilitengenezwa na mdau mwengine. Kikawaida Israel inapoona imepata mafanikio kwenye mashambulio...
  8. Jamaa yangu alilewa madaraka mwisho wake ukawa aibu

    Hii code ni nyepesi sana kuna baadhi ya watu wataing'amua. Nilipokuwa advance form 5 jamaa yangu/ rafiki yangu alinishirikisha kitu kwamba anahitaji kugombea kuwa head prefect wa pale skul. Mimi sikumpinga, huyu mwamba tulikuwa ni watu wa utani sana na kuzinguana sana ila mwisho wa yote tukiwa...
  9. MDH lipeni fedha za watoa huduma mnatia aibu

    Takribani mwezi tatu sasa tangu shirika la MDH linalojihusisha na masuala ya maendeleo ya afya halijaweza kulipa fedha wanazo dai watoa huduma. Mwezi wa saba mwaka huu TMDA iliendesha mafunzo kwa watoa huduma za chanjo katika halmashauri za mkoa wa Mtwara ambapo mdau na mafadhili wa mafunzo...
  10. Ni aibu jitu zima kuwa masikini halafu mtoto kama mimi nina pesa

    Hivi inakuaje jitu umri umeenda halina pesa linahangaika tu Kila siku aisee hua nacheka sana yaani jitu hata pesa ya kumhudumia kifamilia chake halina hivi mwanaume kama huyu si lofa maana mtoto wa kiume uwezi ukashindwa kumhudumia mwanamke wako na watoto au mnataka tajiri niwe nawalia wake...
  11. Simba hata mil 5 ya mama mmeikosa aibu sana

    Kilichosononesha wachezaji sio drw n kukosa mil 5 ya goli la mama Hii kwao ilikuwa kama mateso makubwa na kingine kila anaefika mbele anataka kushinda yeye utasema mil 5 anapewa mchezaji Msipojirekebisha mtaaibika kwa mkapa mazimaaaa Tykutanee Amaan stadium
  12. Tupeni ufundi jameni Aya madude Yana tia aibu huku mtaani😂😂

    Tupeni ufundi jameni Aya madude Yana tia aibu huku mtaani😂😂
  13. IGP Wambura hali ya Usalama nchini ingekuwa Shwari Kibao angeuliwa vibaya na akina Sativa yangewakuta? Huoni Aibu Kudanganya BBC?

    Nasikiliza sasa BBC Dira ya Dunia na nimekusikia katika Teaser yao ukisema kwa Kujiamini kabisa na ukiwa huna haya (aibu) ukisema hali ya Usalama kwa sasa nchini Tanzania ni Shwari na ukiwapongeza Maaskari Polisi wako. Hovyo kabisa Wewe na Umetuaibisha sana wana Mkoa wa Mara (Musoma) wote kwa...
  14. Mtiririko wa tarehe zilizotajwa na mwanasheria wa Yanga kuhusu Kagoma unakataa, na ni aibu kwake na Klabu yake

    Hebu msikilizeni kwa umakini sana na mpigie mstari hizo tarehe, maana mimi naona tarehe zinarudi nyuma kuanzia mwezi wa nne kwenda mwezi wa tatu. Dakika mbili tu zimeharibu kila kitu. Anachosema: 1. Yanga walikubaliana na Singida kuwa watailipa Singida sh. 30M kwa awamu mbili, ambapo 15M...
  15. Na lilivyo Juha (Fool) kama Kichwa chake kilivyo Kibaya limeenda kabisa hadi Msibani. Hata Mshipa wa Aibu halina

    Ninawalaumu sana tu pia waliokuwa Msibani kwani hapo ndipo palikuwa patamu na Wao kumaliza Shughuli kabisa!!!!
  16. Wanaume wenzangu tupunguze aibu ndogo ndogo

    Kwenye maisha huwezi kufanya kila kitu, na huwezi kujua kila kitu , japo kuna vitu vidogo vidogo si mbaya kuvijua na kama huvijui jaribu kukaa kimya ili kuepuka na aibu. Mimi napenda sana michezo kama mpira wa miguu na nimeucheza miaka hiyo.lakini pia ni mfuatiliaji mzuri wa mipira na klabu za...
  17. L

    Tazama katika Picha, Ofisi ya CHADEMA Mkoani Mbeya

    Ndugu zangu Watanzania, Tuseme nini muelewe ya kuwa CHADEMA ni chama cha kitapeli na ubabaishaji? Tuwaonyeshe nini muelewe ya kuwa CHADEMA ni genge la wasaka Tonge na wachumia tumbo? Tuongee na kuzungumza nini muelewe ya kuwa hiki ni chama cha madalali wa kisiasa tu wasio na mipango wala...
  18. M

    Kwani Shilole haoni aibu?

    Mi ningekua shilole ningeona aibu sana. Sijui niseme ni shilole au ni uyu kijana ila kuna mmoja wapo anaupungufu wa akili ndo mana kakosa aibu.
  19. R

    Kocha wa Azam FC hawezi kupona kwa hii aibu.

    Kwa uwekezaji na usajili walioufanya Azam fc halafu wanatolewa round ya kwanza kwenye klabu bingwa ya Africa, Dabo ameonyesha madhaifu makubwa kupigwa 2-0 na Apr ya Rwanda.
  20. Wakati sahihi wa kuondolewa aibu yako.

    Tunayo furaha kuwaalika kwenye kongamano maalum kati ya tarehe 27 na 28 September, 2024. Kongamano hili litaongozwa na Apostle Luciana,(Mbezi Beach_Bondeni) kuanzia saa nane Kamili mchana. Mnakaribishwa wote,,,Na usisite kuwafikishia habari hizi njema watu wote! #Shukrani#
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…