Muswada tata unaolenga kufanya iwe kosa la jinai kwa wanasiasa kudanganya wakati wa kampeni za uchaguzi nchini Wales umeibua mjadala mkali kuhusu uhuru wa kujieleza na mustakabali wa demokrasia.
Serikali ya Labour ya Wales imewasilisha muswada unaopendekeza kuanzishwa kwa kosa la kisheria kwa...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Iringa, imetangaza msimamo mkali dhidi ya wagombea wa nafasi za kisiasa wanaojihusisha na utoaji wa ahadi za uongo wakati wa kampeni, wakisema kwamba tabia hiyo si tu ya kupotosha umma, bali ni aina ya rushwa ya kisiasa inayodhoofisha...
Wanasiasa wamekua wakitoa ahadi ya mambo ambayo wanapaswa kufanya kwakuwa wanakusanya kodi, sasa Je, ni ahadi zipi ambazo unajua kabisa ni kama mama anamwambia mwanaye baba yule anaendesha ndege anaelekea Ulaya, zile za utotoni?
Mgombea Ubunge Moshi- Nitafufua viwanda vyote vilivyofilisiwa na...
Wagombea wengi huahidi mambo makubwa wakati wa kampeni kama vile kujenga barabara, ajira kwa vijana, au elimu bure hata kama hawana uwezo wa kutimiza, Uutakuta mbunge anahaadi ujenzi wa barabara ya lami lakini kumbuka mbunge hawezi kujenga kwa hela zake mpaka akaombe hela bungeni na bunge...
“Alitudanganya!” Mama yake Kennedy Onyango, kijana aliyepigwa risasi na polisi wakati wa maandamano ya Gen Z huko Rongai, amemtuhumu Rais William Ruto kwa kutoa ahadi za uongo kuhusu haki ya mwanawe.
=================
He lied to us!" Mother of Kennedy Onyango, teen killed by police in Rongai Gen...
Kuna taarifa kwamba kwa mara nyingine tena ajali mbaya imetokea jana mteremko wa Mbalizi, Mbeya, na inasemekana watu 28 wamekufa kwa ajali iliyosababishwa na kugongwa na kukandamzwa na gari kubwa ya mizigo.
NImejiuliza sana. Watu wa Mbeya wanajulikana kwa kuwa makini katika kutofanyiwa utani...
Mimi ni mkazi wa Buswelu, manispaa ya Ilemela mkoa wa Mwanza. Imenibidi nihame nyumba yangu nikapange sababu ya ukosefu wa maji.
Ndani ya wiki maji yanaweza kutoka mara moja tu, ikitokea yametoka mara mbili hyo ni bahati, kuna muda maji yanatoka asubuhi muda wa kwenda kazini na ukirudi unakuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.