agather atuhaire

Agather Atuhaire (born c.1988) is a Ugandan lawyer, human rights defender and freelance journalist. She exposed corruption and maladministration which has gained her recognition by the EU ambassador and the US Secretary of State.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    Agather Atuhaire na Boniface Mwangi Waishtaki Tanzania kwa Unyanyasaji wa Haki za Binadamu, Mahakama ya Afrika Mashariki

    Arusha, Tanzania – 18 Julai 2025: Katika hatua ya kihistoria ya kutetea utawala wa sheria, haki, na haki za binadamu katika Afrika Mashariki, watetezi wawili mashuhuri wa haki za binadamu – Bi. Agather Atuhaire kutoka Uganda na Bw. Boniface Mwangi kutoka Kenya – wakiwa wameandamana na mashirika...
  2. SankaraBoukaka

    PreGE2025 Yawezekana Boniface Mwangi na Agather Atuhaire wakawa waongo, ila Mbunge aliyesema "Walitakiwa warudishwe wakiwa kwenye gesi" kachukuliwa hatua gani?

    Mjadala mkubwa kwa sasa ni habari zinazowahusu Boniface Mwangi kutoka Kenya na Agather Atuhaire kutoka Uganda walipokuwa Tanzania. Wakati serikali ilikanusha madai ya ukiukwaji wa haki zao, baadhi ya raia na mashirika ya kiraia walitilia shaka mazingira ya tukio hilo. Lakini hata kama...
  3. Metronidazole 400mg

    Walichofanyiwa wanaharakati Boniface Mwangi na Agather ni ukatili mkubwa sana uliobeba machungu na hisia za unyonge

    Nimeangalia mkanda wa video wa Boniface Mwangi kutoka Kenya na mwanadada Agather Atuhaire kutoka Uganda. Wanaharakati hawa walikuwa wakielezea maswaibu mazito waliyoyapitia waliposhikiliwa na maafisa wa serikali ya Tanzania. Nikiri kwamba sikumaliza kuuangalia — ulikuwa umebeba machungu...
  4. Waufukweni

    Tanzania yakanusha kuwanyanyasa Kingono Wanaharakati Boniface Mwangi na Agather Atuhaire

    Serikali ya Tanzania imekanusha madai yaliyotolewa na wanaharakati wa Kenya na Uganda, Boniface Mwangi na Agather Atuhaire kuhusu kufanyiwa unyanyasaji wa kingono baada ya kushikiliwa nchini. Akizungumza kwenye mahojiano na DW Kiswahili, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema madai...
  5. Parabolic

    PreGE2025 Muliro: Walichosema Mwangi na Atuhaire ni maoni yao

    Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam Jumanne Muliro amejibu madai ya wanaharakati wawili kutoka Uganda, Agather Atuhaire (Uganda na Boniface Mwangi (Kenya) kuwa waliteswa walipokuwa Tanzania, akisema hayo ni maoni yao na kama wana malalamiko waende kushitaki kwenye mamlaka husika...
  6. W

    PreGE2025 Chama cha wanasheria Afrika Mashariki kimelaani vikali kukamatwa kiholela, kuteswa na kufukuzwa kwa Boniface Mwangi na Agather Atuhaire

    24 Mei, 2025. Arusha, Tanzania Taarifa kutoka Jumuiya ya Wanasheria Afrika Mashariki kuhusu Kukamatwa, Kuteswa na Kuachiliwa kwa Bw. Boniface Mwangi na Bi. Agather Atuhaire, na Wito wa Kuwajibika Jumuiya ya Wanasheria Afrika Mashariki (EALS) inalaani vikali kukamatwa kiholela, kuzuiliwa bila...
  7. N

    MAREKANI YADAI kuchunguza ripoti za mateso za mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi na Agather Atuhaire wa Uganda nchini Tanzania; inataka uchunguzi

    https://nation.africa/kenya/news/africa/us-demands-answers-from-tanzania-on-boniface-mwangi-agather-atuhaire-torture-claims--5055008?fbclid=IwY2xjawKedsVleHRuA2FlbQIxMQABHukqJTQqQdD9M6_P7IAPsxMA2SmVPDulEpTFYPt8dKYcN4gL5jg93slqRle4_aem_Z13cOlvjRQOfJnicy5KMJg
  8. Cute Wife

    PreGE2025 Agather Atuhaire asimulia alivyoteswa na kufanyiwa ukatili na polisi wa Tanzania, hili ni doa kubwa kwetu

    Wakuu, Aisee ni inasikitisha na kutia hasira kwa vitendo hivi vinavyosimuliwa, kwa mara ya kwanza tumesikia mambo machafu yanayoelezea ukatili wa kutisha zaidi ya kipigo kilichozoeleka. Inaonekana wote waliowahi kukamatwa na polisi nchini wamefanyiwa ukatili mkubwa wa kijinsia na hata kingono...
  9. Dalton elijah

    PreGE2025 Mwanaharakati wa haki za Binadamu Agather Atuhaire, apatikana baada ya kutupwa mpaka wa Tanzania-Uganda, Mtukula

    Masaka, Uganda Kituo cha Utafiti cha Agora kimethibitisha kuwa mkurugenzi wao, Agather Atuhaire, ambaye tangu Jumatatu anashikiliwa na maafisa wa Tanzania, amepatikana asubuhi ya leo akiwa hai katika mpaka wa Uganda na Tanzania. katika taarifa hiyo wameelezea kuwa "Tunafarijika kuufahamisha...
  10. Dalton elijah

    Mwanaharakati wa haki za Binadamu Agather Atuhaire, apatikana baada ya kutupwa mpaka wa Tanzania-Uganda, Mtukula

    Masaka, Uganda Kituo cha Utafiti cha Agora kimethibitisha kuwa mkurugenzi wao, Agather Atuhaire, ambaye tangu Jumatatu anashikiliwa na maafisa wa Tanzania, amepatikana asubuhi ya leo akiwa hai katika mpaka wa Uganda na Tanzania. katika taarifa hiyo wameelezea kuwa "Tunafarijika kuufahamisha...
  11. Waufukweni

    PreGE2025 Ubalozi wa Uganda nchini Tanzania umeomba kujua sababu za kukamatwa na kushikiliwa kwa raia wake, Agather Atuhaire

    Ubalozi wa Juu wa Uganda nchini Tanzania umeomba taarifa rasmi kuhusu kukamatwa na kushikiliwa kwa raia wake, Bi. Agather Atuhaire, katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ubalozi huo, Bi. Atuhaire alikuja nchini Tanzania kwa shughuli mbalimbali ambazo...
Back
Top Bottom