Kikosi cha Nane cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (TANBAT 08) kinachoshiriki katika operesheni za kulinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) kimetunukiwa Nishani za Ulinzi wa Amani za Umoja wa Mataifa (UN) kutokana na mchango wake mkubwa katika kurejesha na kudumisha utulivu...
Taifa Stars Kufunga Kundi B CHAN 2024 Leo
Leo, Agosti 16, 2025, Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars inashuka dimbani kumenyana na Central Africa (Jamhuri ya Kati) katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi ya CHAN 2024, Kundi B.
Stars tayari imejihakikishia tiketi ya kusonga hatua...
Wakuu,
Chama tawala cha Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR), United Hearts Movement (MCU), kimemteua Rais wa sasa Faustin-Archange Touadera kuwa mgombea wake wa urais Jumamosi.
Uamuzi huo umefikiwa katika kongamano la kawaida la chama hicho lililofanyika katika mji mkuu wa CAR, Bangui.
Wafuasi wa...
Pongezi nyingi kwao.
Hii ni taarifa kupitia Milard Ayo ambapo Jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania JWTZ wamepata tenda ya kujenga madaraji nchini Afrika ya Kati.
==============
Umoja wa Mataifa kupitia Ujumbe wa Kulinda Amani Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA), umelipatia Jeshi la...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania limechangia huduma tiba na afya kwenye hospitali ya Jiji la Berberati iliyoko nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati tarehe 14 Aprili mwaka 2025.
Akizungumza mara baada ya uchangiaji wa huduma hizo kwa niaba ya Kamanda Kikosi cha Nane cha Ulinzi wa Amani nchini...
Central African Republic Sports Minister presented this new motorbike to coach Sébastien Ngato for guiding them through to the 2024 CHAN tournament.
This is the most expensive bike in the country and it’s a nice way to reward the coach for his efforts.
Luteni Jeneral Nyone amesema "Toka Kikosi kilipoanza jukumu katika robo ya mwisho ya mwaka 2023 Kimetekeleza majukumu yake ya Ulinzi wa Amani kwa weledi na kuweka mazingira salama na tulivu kwa Wananchi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati kuendelea na shughuli za kiuchumi na kijamii na pia kuwezesha...
Dunia hailali. Kila siku watu wanaumiza vichwa vyao wafanyaje kukamata fursa ili kuwa na maendeleo makubwa kiuchumi.
Kenya anapambana akamate soko la mizigo la Uganda, Sudani Kusini , Ethiopia na baade Afrika ya Kati kupitia Sudani Kusini. (Kupitia mpango wao wa The Northen Corridor)
Wiki hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.