Chama cha ACT Wazalendo kimesema hakiwezi kunyamaza kimya endapo CHADEMA itakandamizwa, kikisisitiza mshikamano wake na chama hicho kikuu cha upinzani nchini.
Akizungumza katika kikao cha ndani cha chama hicho kilichofanyika wilayani Kilwa, mkoani Lindi, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado...