act - wazalendo

The Alliance for Change and Transparency (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots'), sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo: Tutafanya uasi kuhakikisha Demokrasia ya kweli inapatikana

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Ndugu Dorothy Semu, amesema kuwa Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, haina nina ya dhati ya kutimiza ahadi za maridhiano, kwa kuwa vyombo vya dola bado vinatumia mabavu kukandamiza hoja za msingi za vyama vya Upinzani, Kukamata wanasiasa wa Upinzani...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Othman Masoud Othman: Tumejitahidi kuleta maridhiano Zanzibar lakini wenzetu wameingia mitini

    Mwenyekiti wa Taifa Chama cha ACT Wazalendo. Othman Masoud Othman amesema wamefanya jitihada kubwa kuleta hali ya maridhiano Zanzibar kabla ya kuingia kwenye uchaguzi mkuu mwezi Oktoba mwaka huu kuepusha maafa yasiokua ya lazima lakini wenzao hawakua tayari na hali hiyo. Othman ambae pia...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pigo kwa ACT - Wazalendo, Katibu Wilaya ya Tunduru, Diwani wa Mchoteka watimkia CCM wakati wa mkutano wa Nchimbi

    Diwani wa Mchoteka kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Seif Dauda pamoja na Katibu wa Wilaya ya Tunduru, Said Mponda na baadhi ya wanachama wa chama hicho, wamejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) Jumatano, Aprili 2, 2025. Tukio hilo limetokea katika mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM, Dk...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zitto Kabwe awaasa watanzania kuwa tayari kufa kidogo kwaajili ya Mfumo Mpya wa Uchaguzi, asema si lazima manufaa tuyapate sisi

    Allah Akbar !!... Ule wakati Sasa unakaribia Ni Mwanasiasa Nguri , Mwenye Misimamo Mkali na aliyeamua kua sehem ya historia ya Mabadiliko , Zitto Kabwe, akinukuu Maandiko Matakatifu Toka katika Quran Takatifu , amewasihi Watanzania wote nchini kua katika kuyatafuta mabadiliko ya kweli na...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dorothy Semu wa ACT Wazalendo: Tunaitaka serikali imuite Balozi wa Angola nchini Tanzania ili ajieleze

    “Kutokana na kadhia hii ambayo mmeisikia kwanza baada ya matukio haya yote kuanzia tarehe 13 mpaka leo tarehe 16 tunafanya press hii hatujasikia chochote kutoka kwa Serikali ya Tanzania kutoka kwa serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzanka kutoka kwa Wizara ya Mambo ya Nje kwamba ni nini hasa...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT - Wazalendo: CCM haipo tayari kwa mabadiliko, ni lazima sasa tuyadai kwa njia ya mapambano

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeonyesha dalili zote kuwa hakipo tayari kwa mabadiliko ya kimfumo ya uchaguzi hivyo kwa sasa wanahitaji kudai mabadiliko kwa njia ya mapambano. Akizungumza Februari 23 kwenye Kikao cha Halmashauri Kuu ya chama...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT - Wazalendo waunda kamati ya kuandaa ilani ya uchaguzi mkuu 2025

    DOROTHY Semu Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, ametea Kamati ya Kuunda ilani ya chama hicho ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Kiongozi huyo ameyatangaza majina hayo leo tarehe 6 Februali 2025. Kamati hiyo itaongozwa na Mwenyekiti, Emmanuel Lazarus Mvula na Katibu wa Kamati ni Idrisa...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ubungo: Kiongozi wa ACT Wazalendo aonya wananchi kupumbazwa na mambo ya Simba na Yanga

    Mwenyekiti mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Juma Duni Haji maarufu kama Babu Duni amewataka wananchi wa Mtaa wa mtaa wa Tupendane, kata ya Manzese katika jimbo la Ubungo kuondokana na uoga ambao unakwamisha jitihada za kuleta maendeleo katika mtaa wao. Babu Duni ametoa wito huo Novemba 20...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mgombea wa ACT katika Jimbo la Kwimba asema “Kuna vitisho vingi. Hapa ukiuliza fedha. Unawekwa ndani”

    Mgombea Uenyekiti wa Kijiji cha Ilula, Kata ya Ilula, Jimbo la Kwimba, Silvester Cherehani amesikitishwa kuona watu wa kijiji hicho wakipata misukosuko kwa sababu ya kuuliza mapato na matumizi ya kijiji. Amesema "Kuna vitisho vingi. Hapa ukiuliza fedha. Unawekwa ndani. Naomba ndugu zangu...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo: Wagombea wetu wote warejeshwe, tuendeshe mambo kwa misingi ya haki

    Tumepokea taarifa ya Waziri wa Nchi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kuongeza muda wa rufani za wagombea na kuelekeza wagombea wetu walioondolewa kwa sababu ya ngazi ya udhamini warejeshwe. Ikumbukwe kuwa mnamo tarehe 09 Novemba, 2024 Kiongozi wa Chama chetu alitoa rai kwa Rais wa Jamhuri ya...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo: Tumesikitishwa na Hujuma, ubabaishaji na udanganyifu wa Uandikishaji Wapigakura uliolenga kuipendelea CCM

    Leo Novemba 2, 2024 Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu ameongoza Kikao cha Kamati ya Uongozi iliyokutana leo katika Ukumbi wa Juma Duni Haji ulioko katika Jengo la Maalim Seif Makao Makuu ya chama hicho Magomeni Dar es Salaam. Kikao hicho kilichojaa vigogo wa ACT Wazalendo kimekutana...
  12. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Ado Shaibu: ACT Wazalendo, CHADEMA na vyama vingine makini vya upinzani tuungane kuing'oa CCM madarakani

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu ametoa rai kwa CHADEMA na vyama vingine makini vya upinzani nchini kuungana kupigania mazingira ya kidemokrasia ikiwemo Katiba mpya, Tume Huru ya Uchaguzi, mageuzi ya Jeshi la Polisi na uhuru wa vyama vya siasa kufanya shughuli zake, ambapo amesema kuwa...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Othman Masoud: Watu wengi wamehama Zanzibar kwasababu ya Dhiki, Mateso na Dhulma Wanazofanyiwa

    Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema watu wengi wamehama Zanzibar kwa sababu ya Dhiki, Mateso na Dhulma wanazofanyiwa na baadhi ya Watawala. Soma: ==> Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo Othman Masoud kesho...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tukumbushane baadhi ya Matukio ambayo hufanywa na Wanasiasa Majimboni kuelekea Uchaguzi ili kuombea kura

    Kuna msemo wa Waswahili wanakwambia bora Ukosee njia lakini usikosee Kuoa ila binafsi naona hakuna kosa kubwa katika hii dunia kama kukosea katika kuchagua kiongozi bora ambaye atakuja kutatua changamoto katika Jamii. Katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu na uchaguzi wa serikali za mitaa...
  15. Mjomba side

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kujificha nyuma ya hoja ya kutokuhudhuria kwa Katibu Mkuu wa CCM: Upinzani wamekosa Sera madhubuti

    CHADEMA,ACT-WAZALENDO,CUF,NCCR-MAGEUZI ni vyama vya siasa vilivyo kosa sera halisi kwa watanzania ndio maana wameshindwa kunadi sera zao kwa watanzania kupitia vyombo vya habari kwa kujificha kwenye HOJA ya kutokuhudhuria kwa katibu mkuu wa ccm kwenye mdahalo* _Tumeona nchi Kama Marekani...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mwana CHADEMA anayeitamani Tanganyika kama Othman Masoud wa ACT wazalendo anavyoitamani Zanzibar yenye Mamlaka kamili?

    Hadi sasa kumbukumbu zinaonesha ni Mchungaji Mtikila peke yake ndio aliipigania Tanganyika kutoka moyoni Natamani sana Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar mh Othman Masoud angekuwa ni Mtanganyika yule Mwamba hana Bei mgongoni Na kiukweli watakaoamua Tanganyika irejee ama la ni Wazanzibar...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni aonya wanaodhihaki viongozi mtandaoni

    Ila CCM imejaa viongozi wengi wajinga, badala mtilie mkazo kwenye uadilifu, kukemea uchawa na wizi, rushwa na ufisadi, mnakuja kujitia aibu kwa ujinga kama huu! kwani nani hajui kukosolewa kwenu ni matusi? Kukosolewa kwenu ni uchochezi? Kukosolewa kwenu ni kuleta machafuko? Yaani kama hamtoshei...
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kampeni mwaka huu wa 2024 zitakuwa ngumu sana

    Kampeni ya mwaka huu itakuwa ngumu kwa sababu vyama pinzani vitakuwa na uelekeo wa kuungana mfano ACT itaungana na Chadema, CUF itajitegemea tuna vyama vingi tunatarajia watakuwa na mfumo wa chama kimoja ACT Wazalendo watakuwa na nguvu sana kutimiza dhumuni Lao kuirudisha CCM chini. Ni swala...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Zitto ni Msemaji wa Ikulu?

    Nimeshangazwa sana na Zitto kutoa tamko la kuwa Rais atagharamia matibabu ya Sativa, swali ni je Zitto amekuwa lini msemaji wa Ikulu? Pia ametuandikia kuwa mazingira yanaenda kuwa sawa, taarifa zote alizotoa kuonesha kuwa yeye anamsemea Rais. Hii ni mara ya pili Zitto anajaribu kujionesha kuwa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zitto Kabwe kugombea Urais wa Tanzania 2025, Jimbo la Ubunge Kigoma mjini anawaachia Vijana wa ACT Wazalendo

    KC Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amekubali ombi la Mh. Ismail Jussa wa Zanzibar aliyemtaka agombee Urais wa JMT 2025 badala ya kurejea bungeni kama ilivyopangwa. Zitto Kabwe amekubaliana na ombi hilo na kusema Sasa yuko tayari kuwa Rais wa JMT mnamo Uchaguzi mkuu wa 2025 na kwamba Ubunge...
Back
Top Bottom