act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. ACT Wazalendo tunataka CAG afanye Ukaguzi maalum wa Fedha za Muungano

    ACTwazalendo tunataka CAG afanye Ukaguzi maalum wa Fedha za Muungano, Mapato, Matumizi na Fedha zinazobakia, ili kubainisha mgao sahihi na fedha ambazo Zanzibar inastahiki kupata. Naibu Waziri Kivuli wa Fedha Shangwe Ayo #Maumivuyanaendelea #Bajetiyawalanchi
  2. ACT Wazalendo: Bajeti ya Serikali 2024/25 ni ya Matajiri na Kulipa Madeni

    NI LEO Uchambuzi Bajeti Kuu ya Serikali utakaofanywa na ACT Wazalendo utarushwa moja kwa moja na Online Tv mbalimbali. Kuzifahamu tazama katika bango. Hakikisha Hupitwi! ====== https://www.youtube.com/live/b83BKum1V0w?si=HuB4gP2CaV4cX3hT "Sote tunafahamu kwamba Juni 13 mwaka huu (2024)...
  3. ACT Wazalendo

    Sisi pia ni binadamu, msikatishe ndoto zetu
  4. Kuna nini Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa? Tangu kisajiliwe ACT Wazalendo, hakuna chama kimesajiliwa tena!

    Tanzania inatimiza miaka 32 tangu kurejeshwa rasmi kwa siasa za vyama vya vingi nchini. Julai, 1992 Tanzania iliweka wazi kurejesha mfumo wa siasa za vyama vingi, ambapo mwaka 1995 ulifanyika Uchaguzi Mkuu wa kwanza ulioshirikisha vyama vingi vya siasa. Mfumo wa vyama vingi, umesaidia kuwaleta...
  5. Ni kwamba JF ina watu wengi kutoka vyama pinzani au ni watu kwa ujumla kuichoka CCM?

    Wakuu Heshima mbele. Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, huwa nafatilia mijadala mingi sana ya siasa. Lakini kuna kitu nimekigundua itakapotokea mtu ameandika kitu kuhusu kuisfia serikali ya CCM basi watakuja watu wengi sana kupinga kwa nguvu Wengine hupinga kwa hoja, wengine hujibu...
  6. PreGE2025 Mchinjita: ACT Wazalendo haitumikii CCM tulimpa nafasi Rais Samia lakini hajatekeleza

    Chama cha ACT Wazalendo kimesema hakijawahi kutumika na CCM kama ambavyo inasemwa na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani hapa nchini badala yake chama hicho kimekuwa mstari wa mbele kusimamia ajenda inazoziamini pale inapoona kuna mambo hayako sawa Makamu Mwenyekiti wa ACT...
  7. L

    ACT Wazalendo wammiminia sifa Rais Samia, wasema ni Rais muungwana na hakuna anayetekwa kwa sasa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ameendelea kupata uungwaji mkono kutoka kwa watu mbalimbali wenye akili Timamu na wanaojitambua, pamoja na vyama mbalimbali vya kisiasa bila kujalisha itikadi zao za...
  8. M

    PreGE2025 Ugumu wa maisha Tanzania wawaathiri wapinzani tu wanaccm maisha yao ni mazuri

    Hakika sasa ndio nimejua kwanini Wajinga wengi wapo CCM. Hali ya Ugumu wa Maisha ya wananchi waathirika wakubwa ni Wanachama wa Chadema na ndio maana viongozi wao wanataka Mabadiliko makubwa ya KATIBA MPYA na TUME huru ya Uchaguzi yafanyike. Mabadiliko haya yatabadili mambo mengi ya Kiuchumi...
  9. ACT-Wazalendo viongozi wa majimbo kususa kisa uratibu

    Chama cha ACT-WAZALENDO kilianza vizuri katika ujenzi wa chama hasa ngazi juu lakini leo chama cha ACT WAZALENDO kimeshusha madaraka kwa viongozi wa majimbo 264. Majimbo haya 264 ambayo walichagua viongozi 15 ambao wanaunda kamati ya uongozi wa jimbo ambapo baadhi ya nafasi hizo ni: (I)...
  10. Yasinsta Cornel: Ubadhirifu na Ucheleweshaji wa Miradi ya maji; Tatizo kwa upatikanaji wa maji nchini

    Waziri Kivuli wa Maji wa ACT Wazalendo Ndg. Yasinta Cornel Awiti amesema kuendelea kwa vitendo vya uzembe na ubadhirifu katika miradi ya maji ni chanzo cha tatizo la upatikanaji duni wa huduma ya maji nchini. Hivyo, ametaka uwajibishwaji wa watu wote wanaohusika na vitendo vya uzembe na...
  11. PreGE2025 Ni heri siku moja CCM ikakabidhi nchi kwa ACT kuliko kuwapa CHADEMA?

    Nafuatilia mengi lkn haya hunipa wasiwasi upande wa CDM:- * Kupinga kila jambo linalofanywa na Serikali. i.e barabara, maji, umeme, tasaf, elimu bure, nk * Masuala ya muungano - hapa wanaibua utanganyika na uzanzibari. Yaani kututenganisha * Udini na uvyama - yaani akitokea mchungaji, padree...
  12. Kuelekea miaka 10 ya ACT Wazalendo, je kuna mpasuko Bara na Zanzibar?

    Jana ACT Wazalendo imezindua nembo Mpya ya Chama katika kusherekea miaka 10. Lakini Mwenyekiti wake Othman Masoud Othman alimaarudu OMO hakuwepo ukumbini, Jussa ambae ni Makamu Mwenyekiti upande za Zanzibar (mhafidhina) hakuwepo ukumbini. Je, ACT Wazalendo Bara na Visiwani Kila mtu kaamua...
  13. Kongamano la Maadhimisho ya Miaka 10 ACT Wazalendo, Picadil Hall Zanzibar, Aprili 21, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=5RHG_E5uNIE
  14. Act Wazalendo inafanya uchambuzi wa ripoti ya CAG

    Act Wazalendo inafanya uchambuzi wa ripoti ya CAG https://youtube.com/live/NUZV2KCIntw?si=tEvs29-aBxTF6TT9
  15. Zanzibar, CCM vs ACT-Wazalendo kuelekea 2025

    Sera na mipango ya rais Mwinyi inavyoimaliza ACT- Wazalendo kuelekea 2025 Deogratias Mutungi Utawala bora, Uchumi imara, Demokrasia safi, nidhamu na maadili ya viongozi, Ufanisi na mweleko wa mafanikio ya serikali yoyote ile ulimwenguni upimwa kwa sera na mipango yake kimamlaka na ndani ya...
  16. Maadhimisho ya Miaka 10 ya ACT Wazalendo, waelezea kupigania Maslahi ya wote na Zanzibar yenye Mamlaka kamili

    Miaka 10 ya kupigania Maslahi ya wote na Zanzibar yenye Mamlaka kamili. Ndugu waandishi wa habari, ACT Wazalendo inatimiza 10 tokea kuanzishwa kwake. Kilele cha Miaka 10 ya ACT Wazalendo itakuwa tarehe 5/5/2024, katika Viwanja vya Mwami Ruyagwa, Kata ya Gungu katika Manispaa ya Kigoma Ujiji...
  17. R

    Dr. Emanuel Nchimbi put your words into action

    “Embracing Nyerere's Legacy for Tanzanian Progress” In an emotive and forward-thinking speech delivered at the Mwalimu Nyerere Memorial Academy on April 8th, 2024, Dr. Emanuel Nchimbi, the Secretary-General of Chama cha Mapinduzi (CCM), outlined a compelling roadmap for Tanzanian leaders to...
  18. ACT Wazalendo yamtaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kufika Rufiji haraka

    Waziri Mkuu Kivuli Ndugu Isihaka Mchijita amesisitiza na kuitaka Serikali kufanya tathmnini ya haraka juu ya hasara ya waathirika wa mafuriko Rufiji na Kibiti na kumtaka Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Kassim Majaliwa kwenda kujionea athari za mafuriko hayo ili kutoa msukumo...
  19. Kamishna wa Polisi Zanzibar: ACT Wazalendo wanapotosha kuhusu usalama wa Zanzibar, wana malengo binafsi ya kisiasa

    Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamad Khamis Hamad amelani kitendo cha upotoshaji wa hali ya uhalifu na usalama visiwani Zanzibar. Akizungumza na waandishi wa habari huko Makao Makuu ya Polisi Zanzibar amesema usambazaji wa taarifa za upotoshaji kupitia mitandao sio tu kukosa uwajibikaji bali pia...
  20. Zanzibar: Kifo cha utata cha Katibu wa ACT-Wazalendo Jimbo la Chaani chaibua minong'ono

    ACT-Wazalendo wataka uchunguzi ufanyike. Chama Cha ACT Wazalendo, Tunalitaka Jeshi la Polisi Kuhakikisha, Linawakamata na Kuwafikisha Katika Vyombo Vya Sheria, Wote Waliohusika na Kifo Cha Katibu wa ACT Wazalendo, Jimbo la Chaani, Ndugu ALI BAKARI ALI Chama cha ACT Wazalendo, tumepokea kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…