Wakuu,
Waziri Mkuu Kivuli wa Chama cha ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita, amevishambulia vyombo vya ulinzi na usalama nchini kwa kudai kuwa vimeshindwa kuonesha nia thabiti ya kukabiliana na matukio ya utekaji, mauaji, na watu kupotea.
Akizungumza na wanahabari leo Jumapili mkoani Dar es...