accessories

In fashion, an accessory is an item used to contribute, in a secondary manner, to an individual's outfit. Accessories are often chosen to complete an outfit and complement the wearer's look. They have the capacity to further express an individual's identity and personality. Accessories come in different shapes, sizes, hues, etc. The term came into use in the 20th century.

View More On Wikipedia.org
  1. itscowboy98

    Ushauri kuhusu Aftermarket Accessories (Dashboard & Android TV) kwa BMW 3 series za miaka ya nyuma.

    Habari za mda Wana jukwaa, Naomba tupeane madini /maoni, hasa kwa wajuzi na Wamiliki wa BMW 3 series sedan (hasa za kuanzia 2011 kurudi nyuma). Kumekuwa na trend ya kufunga aftermarket Accessories kama...
  2. jT0078

    Natengeneza Computer na kuuza Accessories

    Kama una Laptop/Desktop mbovu na unahitaji fundi nichek. Pia nauza Accesdories za computer kama.. Battery za Laptop/Mac Keyboard za Laptop/Mac Chargers za Laptop/Mac Vioo vya Laptop/Mac Ssd/Hdd & Ram memory Housing za Laptop Softwares mbalimbali Tupo ilala - Dsm 0767953873
  3. DEALFORREAL

    Sony Alpha a6500 camera plus lenses and accessories plus zhiyun crane 3 lab gimbal

    Nauza digital camera aina ya Sony Alpha a6500 camera plus lenses and accessories plus zhiyun crane 3 lab gimbal .Hii camera imetumika sio mpya ina alama za michuniko kwenye body angalia picha kwa ufafanuzi zaidi lakini haina tatizo lolote inafanya kazi. Bei 3 million .3,000,000 TZS. ipo Zanzibar...
  4. jT0078

    Tunatengeneza laptop/desktop na kuuza accessories

    Lete computer yako tukutengenezee kwa gharama ndogo. Pia tunauza Accessories za Computer aina zote. Ilala - Dsm 0767953873
  5. Se Busca

    Nunua accessories kwa bei ya jumla na reja reja

    Karibu upate vifaa vya umeme vya kisasa na vyenye ubora wa hali ya juu kwa ajili ya biashara yako! Tunauza jumla na reja reja flash, cover, chaji na USB kwa bei nafuu kabisa, zenye kuhakikisha unanufaika kwa faida kubwa. Tunajua wateja wako wanapenda bidhaa zinazodumu, zenye ubora na...
  6. tajiri wa fikra

    Mr Electronics: Jipatie vifaa vya kielectronic kama Computer ,Sound Sustems, phone accessories pamoja na vingine vingi kwa bei ya Store

    Tunauza: 💻 Kompyuta (Desktop & Laptop – mpya & used) 🖥️ Vifaa vya kompyuta (keyboard, mouse, monitor, printer n.k) 🎧 Sound systems (speakers, home theaters, Bluetooth systems) 🔌 Accessories mbalimbali (USB cables, screen protectors, covers,adapter,Air pods,headphones n.k) ⚡ Vifaa vya umeme vya...
  7. SuperEnthusiasis

    Msaada: Nataka kufungua ofisi ya kuuza vifaa vya simu yaani phone accessories

    Poleni na majukumu wakuu. Macho yangu na akili sasa yanatazama hapa, nilikuja kuomba ushauri humu kuhusu biashara stationery na nilipata muongozo mzuri na sasa naendelea nayo vizuri ingawa bado sijawa na vifaa vyote muhimu. Leo hii naleta kwenu suala hili muweze kunisaidia, ninataka kufungua...
  8. SuperEnthusiasis

    Biashara ya phone accessories, mtaji wangu ni milioni mbili tu

    Poleni na majukumu wakuu. Macho yangu na akili sasa yanatazama hapa, nilikuja kuomba ushauri humu kuhusu biashara stationery na nilipata muongozo mzuri na sasa naendelea nayo vizuri ingawa bado sijawa na vifaa vyote muhimu. Leo hii naleta kwenu suala hili muweze kunisaidia, ninataka kufungua...
  9. Mad Max

    Kumbe nguo na accessories OG za Chanel, Hermes, Gucci, LV nk ni gharama hivi? Kuna uwezekano ata hawa mastaa wetu wanavaa fake!

    Hivi vitu vya fasheni uwa navichukulia poa, kumbe mi bado sana. Pochi ndogo sana hizi tena pair moja, ila bei CIF + TRA ya gari. Mimi kununua mkanda Million 2.6 dah bado sana. Je, sunglasses kwa 2 Millions? Kuna uwezekano ata hawa majina makubwa wanatumia fake, tena quality ya chini...
  10. jT0078

    Tunauza Accessories za Computer na kufanya Repair

    Tunauza Accessories za Computer aina zote kama... Battery za Laptop & Macbook Keyboard za Laptop & Macbook Screen za Laptop & Macbook Charger za Laptop & Macbook Housing za
  11. jT0078

    Tunatengeneza Computer aina zote na kuuza spare

    Lete computer yako mbovu tuitengeneze kwa gharama nafuu. Pia tunauza spare na accessories za computer aina zote Tupo Ilala DSM. 0767953873.
  12. A

    INAUZWA Agiza TV accessories na kisimbuzi utafikishiwa popote ulipo.

    Tunauza na kusambaza kisimbuzi Cha Azamtv, DSTV, Startimes na Zuku. Na accessories mbalimbali: #Remote control, #Antenna Cable #HDMI ( mita moja Hadi 20) #LNB #TVstand, n.k Pia tunatoa huduma ya ufundi wa TV, kufunga dish, kufunga TV units. Tupo Makumbusho na Kimara, Dar es salaam. +255756126081
  13. Y

    Ombi la Ushauri wa Kuongeza Mtaji kwa Biashara ya Vifaa vya Simu

    Wakuu, habari za kazi? Samahani kwa usumbufu. Nina biashara ndogo ya vifaa vya simu (phone accessories), lakini ninahitaji kuongeza mtaji ili niweze kuagiza mzigo mwenyewe kutoka China na kuuza kwa jumla. Naomba msaada kwa mwenye uzoefu katika hili tafadhali. Asante.
  14. K

    Mwenye uzoefu wa Biashara ya cake accessories

    Habari wadau!, Naomba mtu mwenye uzoefu katika biashara ya cake accessories (vifaa vya kutengenezea keki (isipokua oven), mapambo ya keki, mabox, ingridients za keki, n.k) anisaidie kunipa overview ya biashara hii pamoja na makadilio ya mtaji.
  15. Jackson996

    INAUZWA Kenzo accessories wholesale

    KARIBU KENZO ACCESSORIES Kenzo accessories ni wauzaji wa Accessories zote za simu, saa na Smartwatch tunauza jumla na rejreja ACCESSORIES TUNAZO UZA 📌Smartwatch 📌Saa za kawaida 📌EarPods 📌Earphones 📌Headphones 📌Protector 📌Charge 📌USB 📌Speaker 📌Power bank 📌Laptop stand 📌OTG...
  16. Mad Max

    Wapambanaji: Kama unataka kufungua duka dogo la kuuza accessories & huduma ndogo ndogo zinazohusu magari pitia hapa!

    Wakuu. Kutegemea na muda wako na location uliopo, unaweza kufungua duka dogo ukawa unauza accessories ndogo ndogo za gari na kutoa huduma ndogo ndogo pia. Ukitoa gharama za fremu, kwa mtaji wa chini ya Million 2 unaweza kuanza na hii biashara. Tunaweza kudiscuss vitu ambavyo unaweza kuanza...
  17. D

    Offer offer phone accessories

    Duka ni jipya lipo mbagala phone accessories kwa BEI ya kitonga jumla na rejareja EARPODS 3 kwa 7,000/= tu Viioo vya SIMU Charge aina zote Smart watch N.k 0748831964 Whatsapp
  18. Azoge Ze Blind Baga

    Je inafaa mtaji wa sh. ngapi kufungua biashara ya phone accessories?

    Wakuu nahitaji ushauri. Ni muda mrefu nina ndoto ya kufungua biashara ya vifaa vya simu. Ila changamoto nakosa mtaji na sijajua kiasi gani kinaweza kufaa kuanzisha hii biashara. So wajuzi wa mambo naomba mnipe ABC kuhusu mtaji unaofaa na maeneo yanayofaa zaidi kwa biashara hii. Nataka kuuza...
  19. Z

    Computer4Sale Laptop and computer accessories

    Kwa mwenye uhitaji wa vifaa vya laptop na vya computer kama vile adapters ,keyboard, mouse,battery za aina zote display ,display port,hard disk ,external case na vingine vingi naomba nicheki kwa namba hizi 0622793422 au fika kariakoo MTAA wa ndanda ulizia duka la doris laptop and computer...
Back
Top Bottom