Abubakar Kunenge (full name often Hon. Alhaji Abubakar Kunenge or Mhe. Abubakar Kunenge) is the current Regional Commissioner (Mkuu wa Mkoa) of Pwani Region (Coast Region) in Tanzania, appointed by President Samia Suluhu Hassan.
He is a government administrator (not an elected MP or party youth leader like some prior figures you've asked about) responsible for overseeing development, law enforcement, public services, and implementation of national policies in Pwani, which borders Dar es Salaam and includes key areas like Kibaha, Bagamoyo, and Mafia.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amesema "Rais Samia aliagiza simu zitengenezwe Tanzania na sasa hivi simu janja zinazalishwa hapa Pwani na sasa zipo sokoni."
Akizungumza leo Julai 31, 2025, katika hafla ya uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala, Kibaha mkoani Pwani, Kunenge ameeleza kuwa...
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge ameshiriki katika dua maalum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo ilifanyika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
MKUU wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge ameongoza wakazi wa mkoa huo kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa.
Kunenge amekuwa kati ya wananchi waliopiga kura katika kituo cha mkoani A ambao walifika na kupanga foleni kabla ya muda wa kuanza kupiga kura saa mbili asubuhi.
Nipashe...
Mpembenwe (Kibiti MP): Kudos to Hon. Alhaji Abubakar Kunenge for Presidential Trust!
Dear Comrade and brother.
Despite my earlier phone call congratulation, I am humbly writing to wholeheartedly leave a lasting impression of the same on your desk! I sincerely congratulate a trust Her...
Maofisa Uhamiaji mkoa wa Pwani wamewakamata raia wawili wa Afrika Magharibi wakiwa na karatasi za kuchapisha pesa bandia, kemikali na kasiki (safe) la kutunzia fedha.
Watu hao wamekutwa pia na hati za kusafiria 34 za nchi za Nigeria na Ghana.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani ambaye pia ni mwenyekiti wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.