absalom kibanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    Prof. Mkumbo ateuwa wajumbe 7 wa bodi ya mamlaka ya uwekezaji na Maeneo maalum ya kiuchumi Tanzania (TISEZA)

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila A. Mkumbo(Mb.), kwa mamlaka aliyonayo kwa mujibu wa Kifungu cha 8(2)(b) cha Sheria ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi ya mwaka 2025 ameteua wajumbe saba (7) wa Bodi ya Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi...
  2. N'yadikwa

    Mahojiano ya Absalom Kibanda na Mwalimu wa Rostam yanatoa upande usiofahamika

    Nipo YouTube naangalia mahojiano ya Absalom Kibanda na Mwalimu wa Rostam Aziz nadhani wabongo wengi hujenga hoja au kumkosoa mtu kwa kufuata upepo bila kutafuta facts. Mahojiano haya yana facts za kutosha tu. Ila nilichobaini watanzania wengi hasa wakata ufuta ni wabaguzi sana na wana chuki...
  3. W

    Balile na wenzake watunukiwa zawadi ya Milioni 10 kila mmoja kwa kuandika habari zisizoligawa Taifa

    Hiki kinachofanyika ni kama kuwafanya waandishi waandike habari ambazo watawala wanataka kuzisikia na zile wasizoitaka isichapishwe. Hii inahatarisha mustakabali wa waandishi nchini. === Wizara ya habari imetoa zawadi maalumu kwa Deodatus Balile, Absalom Kibanda, Mbaraka Islam na Haula Shamte...
  4. Mindyou

    PreGE2025 Absalom Kibanda: CHADEMA hakikupaswa kususia kanuni za INEC

    Wakuu, Mwanahabari mkongwe nchini, Absalom Kibanda amesema angekuwa kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), asingefanya makosa kwenye mchakato wa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu zilizotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi kwa vyama vya siasa. Amesema kwa kusaini tu, chama...
  5. Cute Wife

    PreGE2025 Absalom Kibanda ahoji CHADEMA kutaka Habari Leo wachukuliwe hatua badala ya Makalla, asema ni kuingilia Uhuru wa Habari

    Yaani hii imenishangaza kwakweli, inakuaje aachwe aliyetamka halafu lawama liende kwenye gazeti? Yaani ni kama vile hawajamuona Makalla kabisaa kwa kwenda kulishukia gazeti. Au wanakubali alichokisema Makalla, maana hata kusema wanazua taharuki bado hawajakana alichosema Makalla Pia soma Pre...
  6. R

    Ni nini msimamo wa Absalom Kibanda, Ansbert Ngurumo, Neville Meena na Jesse Kwayu kuhusu DP world?

    Habari jf ,naona upepo umebadilika sana na hii ndio siasa sasa . Kwa walio karibu na Absalom Kibanda, Ansbert Ngurumo, Neville Meena na Jesse Kwayu wawa ulize ni nini misimamo wao kuhusu Bandari zetu na DP World ? Ikumbukwe hawa ni waandishi wa kitabu cha ' I am the state .'
  7. Roving Journalist

    Absalom Kibanda: Serikali yenyewe ndio inatengeneza mazingira ya uwepo wa ‘Fake news’

    Mwanahabari mkongwe Absalom Kibanda ametoa maoni yake kuhusu umuhimu wa Serikali kufanya kazi kwa ukaribu na Vyombo vya Habari ambapo kwa asilimia kubwa amelaumu mazingira ya tata baina ya pande hizo mbili. Akitoa maoni katika Kongamano lililohusisha Wadau wa Habari, Serikali na Waandishi...
  8. JanguKamaJangu

    Absalom Kibanda awakosoa vikali CHADEMA, asema "Ukishakula nyama ya mtu huachi", Lema amjibu

    Mwanahabari mkongwe na Mchambuzi wa siasa Absalom Kibanda amekosoa maamuzi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwafukuza uanachama Halima Mdee na wenzake 18. “Ni kweli Mdee na wenzake 18 walikosea. Msingi wa makosa yao ni kupinga ubabe wa kihistoria wa viongozi wenzao na kudai kwao...
  9. Anonymous

    Mtanzania kwafukuta, Absalom Kibanda kupewa likizo ya lazima kupisha uchaguzi Mkuu

    Wakuu, Mhariri Mtendaji wa gazeti la Mtanzania, Absalom Kibanda, ametakiwa kuenda likizo kwa lazima kwa ajili ya kupisha uchaguzi Mkuu unaotegemewa kufanya Oktoba 25, 2015. Imebainika kuwa sababu kubwa itakayotolewa na ndugu Kibanda ni kuwa anaenda kwenye matibabu nje ya nchi. Aidha Mhariri...
  10. M

    Absalom Kibanda, usitumie kutekwa, kuteswa kwa mavuno toka kwa wanasiasa

    Wanajamvi, Salaam. Leo nakuja kwenu jamvini baada ya kukerwa na tabia ya Mwenyekekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania Absalom Kibanda kutumia kuteswa na kutekwa kwake kama biashara. Amekuwa anaongea kwa ndimi mbili. Mara ya kwanza alizungumzia kutekwa kwake kwa namna ambayo ingefanya jamii...
  11. figganigga

    Absalom Kibanda: Mgombea Urais mmoja hakutaka nifike huu mwaka wa Uchaguzi

    Mhariri Mkuu wa Kampuni ya New Habari, ambao ni wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania, Bingwa na Dimba, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) ndugu, Absalom Kibanda, amemtupia kombora mgombea Urais wa CCM. Kumbuka Kampuni ya New Habari, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya...
  12. Weston Songoro

    Kwanini Saed Kubenea na Absalom Kibanda wanaweweseka baada ya taarifa ya kutimuliwa Lowassa CCM?

    Bandugu, natumai kuwa hamjambo na mko vema baada ya kuadhimisha Sherehe ya Mapinduzi ya Zanzibar ambayo kwa hakika ilifana sana. Wakati wa mapumziko ya weekend na Sherehe ya Mapinduzi ya Zanzibar, zilisikika taarifa kuwa Kamati Kuu ya CCM ambayo inaketi leo Zanzibar katika kikao chake cha...
  13. E

    Absalom Kibanda ameachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

    Chanzo: East Africa Television (EATV) Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru Mhariri Mtendaji wa kampuni ya New Habari, Absalom Kibanda, Meneja Uendelezaji Biashara wa Kampuni ya Mwananchi Communication Limited Theophil Makunga na mwandishi Samson Mwigamba. Akisoma hukumu yao ya kesi...
  14. M

    Absalom Kibanda na Theophil Makunga waibwaga serikali kesi ya uchochezi

    Hakimu Waliarwande Lema wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, hivi punde amewaachiwa huru, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda na Mjumbe wa Bodi ya Jukwaa hilo, Theophil Makunda katika kesi ya jinai ya uchochezi iliyokuwa inawakabil. Katika kesi hiyo pia Salmson Mwigamba alikuwa...
  15. O

    Waraka wa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Ndg. Absalom Kibanda kwa Rais Jakaya Kikwete

    MHESHIMIWA Rais wangu, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. Nakusalimu kwa salamu ya utii inayotambua na kuheshimu kwa dhati mamlaka makubwa na ya juu uliyonayo kama mkuu wa taifa letu ambalo mazingira yake ya leo yanapaswa yawe wenye mwelekeo wa kushangilia kama si kujivunia uhuru ambao tuliupata...
  16. Taswira

    Absalom Kibanda, hivi Zitto Kabwe anasatahili dhihaka na matusi ya kina Lissu na Mnyika?

    "NAMTAFAKARI ZITTO KABWE: Hivi huyu kijana anastahili matusi, kejeli na dhihaka za namna hii kutoka kwa akina Tundu Lissu na viongozi wengine wa Chadema! Ni stahili yake kuitwa msaliti? Ama kweli siasa ni mchezo mchafu na usio na shukrani". Ni maneno ya Mwandishi na Mhariri wa habari...
  17. Malaria Sugu

    Asah Mwambene: Absalom Kibanda hana vigezo vya kuwa mhariri

    Jana katika mahojiano yake na Sauti ya Amrican VOA, Mkukurugenzi wa Idara ya habari amesema kwamba anashangaa kuona baadhi ya watu wanalalamika kuhusu kufungiwa kwa gazeti la mtz. Amesema kwamba hata muhariri wa Mtanzania hana vigezo vya kuwa muhariri wa gazeti. MY TAKE: Kumbe Muhariri wa mtz...
  18. frema120

    Absalom Kibanda: Sasa sitaogopa kitu na sina cha kupoteza, nitafichua kila kitu

    Ni katika kipindi cha jenerali ulimwengu on monday ananza kwa kushukuru watanzania wote waliomuombea then anatoa pole kwa watz juu ya misiba ya wanajeshi... ...... PIA, SOMA: Absalom Kibanda (Mwenyekiti wa Jukwa la Wahariri) avamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa
  19. O

    Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Absalom Kibanda Kurejea kutoka kwenye matibabu Afrika Kusini

    Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri Tanzania na Mhariri Mtendaji wa New Habari, Ndugu yetu Absalom Kibanda anarejea kesho saa saba mchana na ndege ya SAA kutoka kwenye matibabu ya muda mrefu nchini Afrika Kusini baada ya kutekwa na watu wasiojulikana nje ya nyumba yake akirudi nyumbani siku 88...
  20. Kipokola

    Si ufisadi, ni urais 2015 (2) na Absalom Kibanda

    Jumatano, Mei 22, 2013 09:53 Na Absalom Kibanda MWAKA 2009, Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd, Absalom Kibanda, aliandika makala katika safu yake ya Tuendeko iliyokuwa ikiutizama mwenendo wa...
Back
Top Bottom