abdallah zombe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teko Modise

    Ilikuwaje mpaka ACP Abdallah Zombe akanusurika kufungwa?

    Ushahidi uko wazi kabisa juu ya order alizotoa kwenye mauaji yale ya wafanyabiashara ikawaje yeye hakukutwa na hatia? Inanikumbusha picha moja ya kihindi inaitwa "Andha Kanoon" maana yake "Sheria Kipofu" Wakuu ilikuwaje mpk Zombe akanusurika kufungwa? Karibuni
  2. Kurzweil

    Aliyekuwa Mrakibu wa Polisi, Kinondoni akata rufaa dhidi ya hukumu yake ya kunyongwa hadi kufa

    Aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Kinondoni, Mrakibu wa Polisi (SP), Christopher Bageni, aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kuwaua wafanyabiashara wa madini kutoka Mahenge mkoani Morogoro, amepinga adhabu hiyo katika Mahakama Rufaa jijini Dar es Salaam. SP Bageni amewasilisha maombi ya...
  3. E

    Wajemeni Abdalla Zombe yuko wapi?

    Yule kamanda wa Polisi aliyeshitakiwa katika kesi ya kuwauwa wachimba madini ya rubi wa Morogoro akiitwa Abdalla Zombe yuko wapi baada ya kushinda kesi ? Aliisha lipwa mamillioni yake? Nakumbuka aliwahi sema CHADEMA ikichukua madaraka atajinyonga, pia aliwahi kudai eti wakati yeye ni Polisi RCO...
  4. Erythrocyte

    Yaliyomkuta Abdallah Zombe yawe fundisho kwa Polisi wa Tanzania

    Huyu aliwahi kuwa ofisa wa Polisi wa ngazi ya juu , kwanza alikuwa MKUU WA UPELELEZI WA KANDA MAALUM na Baadaye akapanda hadi kuwa RPC , ni askari aliyekisaidia " chama chake " kama hawa wengine wanavyokisaidia. Lakini hakika Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! Zombe alikuja kunasa kwenye tundu...
  5. K

    Zombe aachiwa huru, Mshirika wake ahukumiwa kunyongwa hadi kufa

    Mahakama ya Rufaa imemhukumu aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Kinondoni, Christopher Bageni kunyongwa hadi kufa katika kesi ya vifo vya wafanyabiashara wa madini iliyokuwa ikimkabili yeye pamoja na aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Dar es Salaam (RCO) Kamishna Msaidizi wa Polisi Abdallah...
  6. Donatila

    DPP amuondolea shtaka Abdallah Zombe

    Mwendesha mashataka wa Serikali(DPP) amemuondolea kosa la mauaji aliyekuwa mkuu wa upelelezi MKoa wa Dar, Abdala Zombe. Amebakiwa na shtaka la kuficha wahalifu. ====================== Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amemuondolea kosa la mauaji aliyekuwa mkuu wa upelelezi wa Mkoa wa Dar es...
  7. Nyamgluu

    Kesi ya Abdallah Zombe: Mashitaka, hatia, hukumu na yanayojiri

    Naomba ufafanuzi wa hii skendo kwa wale waijuao. Je hii ni dalili ya nguvu mpya dhidi ya ujambazi au over confidence ya ma afande imezua soo!?? ------------------------------------------------------- Afande Zombe aunganishwa kwenye tela Hatimaye aliyekuwa Kaimu Kamanda wa Dar, Abdallah...
  8. The Farmer

    Abdallah Zombe implicates former DPP Shaidi

    Former Director of Public Prosecution Geoffrey Shaidi violated the law governing prisons by allowing an accused person in remand prison to send him letters implicating another remandee in the case through an unofficial channel, the High Court heard yesterday. The charges were made by former...
Back
Top Bottom