abdallah ulega

Abdallah Hamis Ulega (born September 28, 1979) is a Tanzanian politician and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Mkuranga in 2015. Ulega was the Deputy Minister for Livestock and Fisheries and was promoted in February 2023 as the Minister.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega: Siku 100 za Rais Samia Serikali imekamilisha Miradi 40

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imeweka historia mpya katika eneo la King'ori, jijini Arusha na maeneo mengine nchini kwa kuweka tumaini jipya kwa wananchi kupitia ujenzi wa miundombinu ya barabara na madaraja ndani ya siku 100 za Rais Dkt. Samia...
  2. PAYE

    PostGE2025 Mkoa utakao lalamikiwa foleni, meneja wa TANROADS hufai

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa maelekezo kwa Mameneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) nchi nzima kuhakikisha hakuna foleni zisizo na sababu zitakazokwamisha na kuzorotesha shughuli za kiuchumi na kijamii kwa wananchi. Ulega ametoa agizo hilo jijini Dar es Salaam jana wakati...
  3. S

    Tuongee ukweli, Abdallah Ulega hastahili kuwa Waziri wa Ujenzi

    Samia ni Rais mstaarabu, ana uwezo ila uswahili unamgharimu. Mawaziri km Abdallah Ulega, Makame Mbarawa kinachowabeba ni uislam na uzanzibari, Makame ni aibu kumwita waziri tena wa Uchukuzi. Ulega hakuna kitu pale, tena siku hizi ameanza arrogance, hii serikali inayokuja sijui itakuwaje. Ulega...
  4. Abdull Kazi

    GE2025 Hivi ndivyo Ulega anavyojiandaa kuishika Pwani Kisiasa

    Baba yake ni mjumbe Mkutano mkuu Wilaya, Dada yake Ulega ni katibu Malezi kata kupitia Jumuia ya wazazi na Mtoto wa dada yake ni Katibu wa UVCCM. Mke wake anautaka Ubunge wa viti maalum Pwani akitokea Mkuranga na tayari ameshachukua fomu. Yeye Mwenyewe Ulega anautakaa Ubunge wa Mkuranga na...
  5. W

    Waziri Ulega asitisha bunge na kwenda kutizama uharibifu wa miundombinu Morogoro

    Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kutumia kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 30 kwa ajili ya ukarabati wa barabara muhimu za maeneo mbalimbali nchini zilizoharibiwa na mvua. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametoa taarifa hiyo akiwa mkoani Morogoro alikoenda kwa dharura baada ya...
  6. R

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega fuatilia kinachofanyika barabara ya Tanga -Pangani. Mkandarasi zaidi ya siku 3 ameondoka site

    Kama alivyosema MBUNGE Ummy Mwalimu kuwa mkandarasi amepewa 15 billion, kazi ianze. kweli amefika NA KUANZA KIPANDE CHA cha tanga to Kibaoni, amemwaga vifusi kadhaa akashindiria kidogo na kuondoka. Naamini amezuga kuwa yuko site kumbe kesha lala mbele! FUATILIA
  7. K

    Serikali imewasimamisha kazi wasimamizi wa Mizani kutoka Tunduma, mkoani Songwe hadi Vigwaza

    Waziri wa Ujenzi, Mh. Abdallah Ulega, amesema serikali imewasimamisha kazi wasimamizi wa Mizani kutoka Tunduma, mkoani Songwe hadi Vigwaza, mkoani Pwani, ambao walikuwa kwenye zamu kwa kosa la kadhia iliyojitokeza hivi karibuni ikihusisha gari ya mizigo pamoja na mama mmoja aliyejitambulisha kwa...
  8. Pfizer

    PreGE2025 Waziri Ulega aonya wakandarasi wazembe, aagiza hatua kali kuchukuliwa kwa wanaosababisha ucheleweshwaji wa miradi ya Mwendokasi

    Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, ameonesha kutoridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia Ubungo Daraja la Kijazi (Sam Nujoma) - Mwenge - Maktaba ya Taifa (Posta) yenye urefu wa kilometa...
  9. Mindyou

    PreGE2025 Waziri Ulega kaanza makeke ya kujihakikisha nafasi 2025, sasa hivi ni kushinda site kama trekta!

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema katika utendaji wake asitarajiwe kuonekana zaidi ofisini bali atajikita kwenye ziara kukagua miradi mbalimbali ikiwemo barabara, ili kuona uhalisia wa utekelezaji wake. Amesema Serikali imetoa fedha nyingi kwa ajili ya uboreshaji na ujenzi wa miundombinu...
  10. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Waziri Abdallah Ulega na DC Khadija Nasir Wakabidhi Madawati 3,000 kwa Shule za Msingi na Sekondari Mkuranga

    Naona bwana mkubwa Ulega anaendelea kujitengenezea mazingira ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Yani yupo tayari kusomesha wanafunzi. Haya tunasubiri tuone itakuwa mwendelezo au ndiyo lambisha utamu wa asali tu kwa muda. Muda utaongea vizuri! =================== Mbunge wa Mkuranga mkoani...
  11. Waufukweni

    PreGE2025 Waziri Ulega akagua matengenezo ya barabara ya Samora usiku

    Wakuu Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega, akikagua maendeleo ya matengenezo ya barabara za Samora iliyopo Posta, katikati ya jiji la Dar es Salaam usiku huu. Kupata taarifa, matukio na mijadala katika mikoa mingine Bara na Zanzibar ingia hapa: Kuelekea 2025 - Special Thread: Mijadala na...
Back
Top Bottom