Pierre Derivery (4 November 1925 โ 24 November 2013) was a French sprint canoer who competed from the early 1950s to the early 1960s. Competing in two Summer Olympics, he earned his best finish of tenth in the K-1 10000 m event at Helsinki in 1952.
๐ช๐๐ญ๐๐ฅ๐ ๐ ๐๐จ๐จ ๐๐จ๐๐จ๐ก๐๐จ๐ ๐๐จ๐๐ช๐๐ ๐๐ ๐จ๐ช๐๐๐๐ญ๐๐๐ ๐ง๐๐ก๐ญ๐๐ก๐๐ ๐ก๐๐๐๐ก๐ ๐จ๐๐ก๐๐๐ฅ๐๐ญ๐.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameondoka nchini leo, Oktoba 6, 2026, kuelekea Uingereza kwa ziara ya kikazi ya siku tano, ambapo atafungua Jukwaa la Uwekezaji la Tanzania nchini Uingereza.
Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu...
๐๐๐ง. ๐ ๐ช๐๐๐จ๐๐จ ๐๐๐๐ฉ๐ฌ๐ข๐ช๐๐๐๐ก๐ ๐ ๐๐จ๐ฅ๐จ๐๐๐ก๐ญ๐ ๐ก๐ ๐ ๐๐๐ก๐๐๐ฆ๐ ๐๐๐๐ ๐๐ฆ๐๐๐จ๐ฅ๐ ๐ฌ๐ ๐ช๐๐๐๐ฌ๐ ๐ฌ๐ ๐๐จ๐ก๐๐
Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba alivyowabana Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda George Mbilinyi na Mhandisi baada ya kubaini kututia kwa jengo la Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Bunda.
โช๏ธApigia chapuo utekelezaji wa DIRA 2050
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema bado kuna fursa nyingi za ushirikiano wa kiuchumi baina ya Taifa la Qatar na Tanzania ambazo zikitumiwa vizuri zitawanufaisha raia wa nchi zote mbili.
โBado tuna fursa nyingi ambazo tunaweza tukanufaika nazo...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 30, 2026 amesafiri kwa treni ya Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma.
Waziri Mkuu ameambatana na Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 30, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Madereva wa mabasi na malori Nchini.
Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Ostabay Jijini Dar es salaam.
Pamoja na mambo mengine...
biashara
hasara
kifua
mabilioni
mbili
siku
siku mbili
๐จ๐ฑ๐๐ธ๐๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ช๐ต๐ฎ๐๐๐ฎ๐ฝ๐ฝ
๐ฑ๐ฒ๐ฟ๐ถ๐๐ฒ๐ฟ๐
๐ต๐ผ๐๐ฝ๐ถ๐๐ฎ๐น ๐๐ฎ ๐ ๐ฎ๐ฟ๐ผ๐ฏ๐ผ๐๐ถ
Ni kusukuma mabadiliko kutoka kuuza rasilimali ghafi hadi kuzalisha bidhaa zenye thamani kubwa.
โ Viwanda vya uchakataji vijengwe nchini
โ Madini yachenjuliwe na kusafishwa hapa hapa
๐ง๐๐ก๐ญ๐๐ก๐๐ ๐ฌ๐๐ฃ๐๐ง๐ ๐๐จ๐ฅ๐ฆ๐ ๐ก๐ฌ๐๐ก๐๐๐ก๐ ๐ญ๐ ๐๐๐๐ฅ๐ ๐ฐ,๐ฑ๐ฌ๐ฌ ๐ก๐๐๐๐ก๐ ๐ค๐๐ง๐๐ฅ
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania imepata fursa nyingine za ajira zaidi ya 4,500 kwa ajili ya Watanzania walio tayari kufanya kazi nchini humo kwenye kada mbalimbali.
โTunatarajia kupata nafasi nyingine 4,500 kwa...
๐ฆ๐๐ ๐ฅ๐๐ฆ๐๐ฆ: ๐๐๐ฃ๐๐ข๐ ๐๐ฆ๐๐ ๐ฌ๐ ๐ง๐๐ก๐ญ๐๐ก๐๐ ๐ฌ๐๐ก๐โ๐๐ฅ๐ ๐๐๐ ๐๐ง๐๐๐๐ ๐๐๐ง๐๐๐ ๐๐๐ ๐ฃ๐๐ก๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐ฌ๐ ๐ฌ๐ ๐ ๐๐ ๐ ๐ก๐ ๐ ๐ง๐ข๐ง๐ข
Ndani ya Jiji la New York, Marekani, imefanyika Sherehe Maalum ya Kampeni ya SHE RISES - Advocacy for a New Era: Women Leading Maternal and Child Health for All, iliyoandaliwa na Mhe. Balozi Togolani...
Motorola imeamua kuingia kwenye vita dhidi ya Samsung mwaka huu 2026๐ฅ๐ฅ.
Kampuni ya Motorola imeamua uzinduzi wa Simu mpya aina ya Motorola Signature 27 itaweza kufanyika Marekani ๐บ๐ธ ikiwa na lengo la kuingia kwenye ligi ya flagship zinazoshindana na simu za Galaxy. ๐๐ฅ
Kwa ufupi tu kuhusu...
Asema uwekezaji ni lazima ili Afya Moja ifanikiwe katika ngazi ya jamii
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema takribani theluthi mbili ya wanawake walioajiriwa katika nchi zilizo Kusini mwa Jangwa la Sahara, Tanzania ikiwemo, hufanya kazi kwenye mifumo ya chakula na kilimo.
โFAO inakadiria...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaka nchi za Afrika na washirika wa kimataifa ziweke kipaumbele kwenye ajenda ya kutokomeza ugonjwa wa sotoka kwa mbuzi na kondoo (Peste des Petits Ruminants-PPR) kwa kuimarisha misaada ya kifedha na kiufundi.
โMpango wa kutokomeza PPR si uwekezaji katika...
nchi za afrika
sotoka
waziri mkuu
๐ฆ๐ถ๐ฟ๐ถ ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ฒ๐ท๐ฎ
๐ฌ๐ญ๐จ๐ซ๐ฒ ๐จ๐ ๐๐ก๐๐ง๐ ๐
๐ฑ๐ฒ๐ฟ๐ถ๐๐ฒ๐ฟ๐
Mambo muhimu unayotakiwa kujua kabla ya kusoma;
๐ด Vita vya Maji Maji 1905-07, Wakristo walifurahia kushindwa kwa wangoni wa Songea kwa sababu wale walikuwa Waislamu. Ukisoma shairi hili, utaona walikuwa upande gani wakati wa vita.
๐ด Wakristo, wakati vita vya Abushiri 1888โ1889 dhidi ya...
Kama sehemu ya juhudi zake za kuunga mkono vipaji vya ubunifu na kuimarisha nafasi ya vyombo vya habari na sanaa katika kurekodi na kuwasilisha hadithi za maendeleo na mabadiliko chanya barani Afrika, Shirika la Pan-Afrika la Vyombo vya Habari na Uandishi wa Habari (AfroMedia) linawaalika...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka wanamipango, wachumi, na watendaji wote wa serikali kuongoza mageuzi ya kiuchumi kupitia utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 na Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2026/27โ2030/31).
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Alhamisi, Septemba...
Benki za Tanzania, CRDB Plc na NMB Plc, zimeingia kwenye orodha ya Forbes ya Benki Zinazofanya Vizuri Zaidi Duniani mwaka 2026, zikishika nafasi miongoni mwa benki 500 zilizotathminiwa kutoka nchi 89.
Benki hizo zimewekwa kwenye Kundi la 6, linalojumuisha benki zenye mali zenye thamani ya kati...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili mkoani Arusha leo Jumatano, Septemba 16, 2026, ambapo amepokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Arusha na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, pamoja na viongozi wengine wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali.
Dkt. Mwigulu yupo mkoani Arusha kwa...
๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ, ๐๐น๐ด๐ฒ๐ฟ๐ถ๐ฎ ๐ธ๐๐ธ๐๐๐ฎ ๐๐๐ต๐ถ๐ฟ๐ถ๐ธ๐ถ๐ฎ๐ป๐ผ ๐ธ๐ฎ๐๐ถ๐ธ๐ฎ ๐๐ฒ๐ธ๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐๐ถ๐๐ฎ๐ป๐ฑ๐ฎ ๐๐๐ฎ ๐ฑ๐ฎ๐๐ฎ
Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Viwanda vya Dawa wa Algeria, Dkt. Wassim Kouidri, katika ofisi za wizara hiyo jijini Algiers.
Mazungumzo hayo yalihusu...