๐—ž๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ ๐—ป๐˜†๐—ฒ๐˜‚๐˜€๐—ถ

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Government launches emergency Food relief for Karamoja

    The Government of Uganda has rolled out an emergency food relief intervention to support households in the Karamoja sub-region, where a prolonged dry spell has severely disrupted agricultural production and heightened food insecurity. The relief package, comprising 9,419,610 kilogrammes of...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kutoka kushindwa Uchaguzi, hadi Siasa za Huruma: Hoja kuhusu Mkakati wa CHADEMA

    Je, unafanya nini ikiwa unaongoza chama cha upinzani ambacho, kwa ukweli kabisa, hakina uwezo wa kushinda uchaguzi kwa sababu hakijawahi kuwasilisha mawazo au sera za maana kwa wapiga kura tangu kilipoingizwa kisiasa kwa ushawishi wa serikali ya kigeni, na sasa kinaelekea kupata tena kushindwa...
  3. JamiiForums Tanzania Sasa itakuwa ngumu mtu kufanya activation ya Windows offline

    Kama ulikua unapenda kufanya activation ya Windows Kwa njia ya Offline ๐Ÿซต, sasa itakua haiwezekani tena. Lazima kila mtu awe na akaunti ya Microsoft (Microsoft account now is mandatory), Ambapo Kampuni ya Microsoft imeua mfumo wa watu kutumia njia ya local (bila kuwa na akaunti ya...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba azungumza na wananchi walioathiriwa na mvua Kilosa

    - Autaja mradi wa ujenzi wa mabwawa ya kuhifadhi maji ya Mvua eneo la Kidete. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 02, 2026 amezungumza na wakazi wa Tindiga wilaya ya kilosa mkoani Morogoro ambao wameathirika na mvua zinazoendelea kunyesha nchini. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amewaeleza...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Mwigulu akagua uharibifu kituo cha mafuta cha Total

    ๐—ช๐—”๐—ญ๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐— ๐—ž๐—จ๐—จ ๐—”๐—ž๐—”๐—š๐—จ๐—” ๐—จ๐—›๐—”๐—ฅ๐—œ๐—•๐—œ๐—™๐—จ ๐—ž๐—œ๐—ง๐—จ๐—ข ๐—–๐—›๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—จ๐—ง๐—” ๐—–๐—›๐—” ๐—ง๐—ข๐—ง๐—”๐—Ÿ WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 30, 2025, amekagua Kituo cha Mafuta cha Total kilichopo Maji ya Chai, ambacho kiliharibiwa kutokana na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025, mkoani Arusha. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu yupo mkoani...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu afanya ziara ya kushtukiza hospitali ya Mkoa Dodoma

    - ๐—”๐˜๐—ผ๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ๐—ด๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ช๐—ถ๐˜‡๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—ณ๐˜†๐—ฎ, ๐— ๐—ฆ๐—— ๐—ป๐—ฎ ๐—ต๐—ผ๐˜€๐—ฝ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐˜‡๐—ผ๐˜๐—ฒ ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ถ - ๐—ช๐—ฎ๐—ด๐—ผ๐—ป๐—ท๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ถ๐—ฝ๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ต๐˜‚๐—ฑ๐˜‚๐—บ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฎ๐—ณ๐˜†๐—ฎ WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Novemba 15, 2025 amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma na kuziagiza hospitali zote nchini...
  7. JamiiForums Tanzania Dkt. Asha-Rse Migiro: Mwanamke wa kwanza kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi

    ๐— ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐— ๐—ž๐—˜ ๐—ช๐—” ๐—ž๐—ช๐—”๐—ก๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ช๐—” ๐—ž๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—จ ๐— ๐—ž๐—จ๐—จ ๐—ช๐—” ๐—–๐—›๐—”๐— ๐—” ๐—–๐—›๐—” ๐— ๐—”๐—ฃ๐—œ๐—ก๐——๐—จ๐—ญ๐—œ Uteuzi wa Dkt. Asha-Rose Mtengeti Migiro kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni historia mpya na ishara thabiti ya ushindi wa chama chetu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Kwa mara ya kwanza, chama kikubwa na kongwe...
  8. JamiiForums Tanzania ๐”๐ค๐ข๐ญ๐š๐ค๐š ๐Š๐ฎ๐ฃ๐ฎ๐š ๐“๐ก๐š๐ฆ๐š๐ง๐ข ๐˜๐š๐ค๐จ ๐‡๐š๐ฅ๐ข๐ฌ๐ข โ€” ๐“๐š๐Ÿ๐ฎ๐ญ๐š ๐๐ž๐ฌ๐š ๐Š๐ฐ๐š๐ง๐ณ๐š!

    Wakati hauna kitu, utajua nani anakuheshimu kwa dhati na nani anakutazama kama taka. Kuna dharau huzipati kwa sababu umefanya makosa โ€” unazipata kwa sababu hauna uwezo. Watu hawasemi, lakini wanakuona tu kama mzigo. Wanakusalimia kwa hisani, si kwa heshima. Lakini mambo yanabadilika ukipata...
  9. JamiiForums Tanzania Burkina Faso watoto wa miaka Saba wamejenga Roboti huko Ouagadougou

    Katika Eneo moja linaitwa Ouagadougou Nchini Burkina Faso, Mapinduzi ya Teknolojia yanazidi kushika kasi baada ya Watoto walio na umri wa miaka 7 kupewa ujuzi wa kutengeneza Roboti. Watoto wao waliweza kujifunza mambo mbalimbali kuanzia coding, robotics, electronic, mechanical kupitia shule...
  10. JamiiForums Tanzania Rwanda inakua nchi ya kwanza toka Afrika kutengeneza simu zenye kuleta ushindani na Samsung na Apple, je Wataweza??

    ๐Ÿ’ญ Sijui mwaka 2019 ulikua wapi ?? Lakini mwaka huo ndo ilikua historia barani afrika baada ya nchi ya Rwanda kuwa nchi ya kwanza afrika kufungua kiwanda cha kutengeneza simu. ๐Ÿ’ญ Kiwanda hicho ambacho kinapatikana kigali kinatengeneza simu ambazo zinaitwa "๐Œ๐š๐ซ๐š ๐ฉ๐ก๐จ๐ง๐ž", kuanzia Designs mpaka...
  11. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kujiuliza siri ya kadi nyeusi?

    ๐—จ๐—บ๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐—ต๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ถ๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฆ๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ž๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ ๐—ป๐˜†๐—ฒ๐˜‚๐˜€๐—ถ ๐—œ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—š๐—ฎ๐—ป๐—ถ ? Okay Kuna Tukio la Kushangaza linamuhusu Msanii maarufu kutoka Afrika Anaitwa Davido ikimuonyesha akiwa anamiliki kadi ya benki ambayo Ina rango nyeusi !! Je Kuna Siri Gani ? Inaitwa black credit Card ๐Ÿ’ณ, ni kadi ambayo inatolewa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ