๐—ž๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ ๐—ป๐˜†๐—ฒ๐˜‚๐˜€๐—ถ

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teknolojia ni Yetu sote

    Sasa itakuwa ngumu mtu kufanya activation ya Windows offline

    Kama ulikua unapenda kufanya activation ya Windows Kwa njia ya Offline ๐Ÿซต, sasa itakua haiwezekani tena. Lazima kila mtu awe na akaunti ya Microsoft (Microsoft account now is mandatory), Ambapo Kampuni ya Microsoft imeua mfumo wa watu kutumia njia ya local (bila kuwa na akaunti ya...
  2. H

    Mwigulu Nchemba azungumza na wananchi walioathiriwa na mvua Kilosa

    - Autaja mradi wa ujenzi wa mabwawa ya kuhifadhi maji ya Mvua eneo la Kidete. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 02, 2026 amezungumza na wakazi wa Tindiga wilaya ya kilosa mkoani Morogoro ambao wameathirika na mvua zinazoendelea kunyesha nchini. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amewaeleza...
  3. Ojuolegbha

    Waziri mkuu Mwigulu akagua uharibifu kituo cha mafuta cha Total

    ๐—ช๐—”๐—ญ๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐— ๐—ž๐—จ๐—จ ๐—”๐—ž๐—”๐—š๐—จ๐—” ๐—จ๐—›๐—”๐—ฅ๐—œ๐—•๐—œ๐—™๐—จ ๐—ž๐—œ๐—ง๐—จ๐—ข ๐—–๐—›๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—จ๐—ง๐—” ๐—–๐—›๐—” ๐—ง๐—ข๐—ง๐—”๐—Ÿ WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 30, 2025, amekagua Kituo cha Mafuta cha Total kilichopo Maji ya Chai, ambacho kiliharibiwa kutokana na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025, mkoani Arusha. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu yupo mkoani...
  4. Ojuolegbha

    PostGE2025 Waziri Mkuu afanya ziara ya kushtukiza hospitali ya Mkoa Dodoma

    - ๐—”๐˜๐—ผ๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ๐—ด๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ช๐—ถ๐˜‡๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—ณ๐˜†๐—ฎ, ๐— ๐—ฆ๐—— ๐—ป๐—ฎ ๐—ต๐—ผ๐˜€๐—ฝ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐˜‡๐—ผ๐˜๐—ฒ ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ถ - ๐—ช๐—ฎ๐—ด๐—ผ๐—ป๐—ท๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ถ๐—ฝ๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ต๐˜‚๐—ฑ๐˜‚๐—บ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฎ๐—ณ๐˜†๐—ฎ WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Novemba 15, 2025 amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma na kuziagiza hospitali zote nchini...
  5. Ojuolegbha

    Dkt. Asha-Rse Migiro: Mwanamke wa kwanza kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi

    ๐— ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐— ๐—ž๐—˜ ๐—ช๐—” ๐—ž๐—ช๐—”๐—ก๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ช๐—” ๐—ž๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—จ ๐— ๐—ž๐—จ๐—จ ๐—ช๐—” ๐—–๐—›๐—”๐— ๐—” ๐—–๐—›๐—” ๐— ๐—”๐—ฃ๐—œ๐—ก๐——๐—จ๐—ญ๐—œ Uteuzi wa Dkt. Asha-Rose Mtengeti Migiro kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni historia mpya na ishara thabiti ya ushindi wa chama chetu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Kwa mara ya kwanza, chama kikubwa na kongwe...
  6. The redemeer

    ๐”๐ค๐ข๐ญ๐š๐ค๐š ๐Š๐ฎ๐ฃ๐ฎ๐š ๐“๐ก๐š๐ฆ๐š๐ง๐ข ๐˜๐š๐ค๐จ ๐‡๐š๐ฅ๐ข๐ฌ๐ข โ€” ๐“๐š๐Ÿ๐ฎ๐ญ๐š ๐๐ž๐ฌ๐š ๐Š๐ฐ๐š๐ง๐ณ๐š!

    Wakati hauna kitu, utajua nani anakuheshimu kwa dhati na nani anakutazama kama taka. Kuna dharau huzipati kwa sababu umefanya makosa โ€” unazipata kwa sababu hauna uwezo. Watu hawasemi, lakini wanakuona tu kama mzigo. Wanakusalimia kwa hisani, si kwa heshima. Lakini mambo yanabadilika ukipata...
  7. Teknolojia ni Yetu sote

    Burkina Faso watoto wa miaka Saba wamejenga Roboti huko Ouagadougou

    Katika Eneo moja linaitwa Ouagadougou Nchini Burkina Faso, Mapinduzi ya Teknolojia yanazidi kushika kasi baada ya Watoto walio na umri wa miaka 7 kupewa ujuzi wa kutengeneza Roboti. Watoto wao waliweza kujifunza mambo mbalimbali kuanzia coding, robotics, electronic, mechanical kupitia shule...
  8. Teknolojia ni Yetu sote

    Rwanda inakua nchi ya kwanza toka Afrika kutengeneza simu zenye kuleta ushindani na Samsung na Apple, je Wataweza??

    ๐Ÿ’ญ Sijui mwaka 2019 ulikua wapi ?? Lakini mwaka huo ndo ilikua historia barani afrika baada ya nchi ya Rwanda kuwa nchi ya kwanza afrika kufungua kiwanda cha kutengeneza simu. ๐Ÿ’ญ Kiwanda hicho ambacho kinapatikana kigali kinatengeneza simu ambazo zinaitwa "๐Œ๐š๐ซ๐š ๐ฉ๐ก๐จ๐ง๐ž", kuanzia Designs mpaka...
  9. Teknolojia ni Yetu sote

    Umeshawahi kujiuliza siri ya kadi nyeusi?

    ๐—จ๐—บ๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐—ต๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ถ๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฆ๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ž๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ ๐—ป๐˜†๐—ฒ๐˜‚๐˜€๐—ถ ๐—œ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—š๐—ฎ๐—ป๐—ถ ? Okay Kuna Tukio la Kushangaza linamuhusu Msanii maarufu kutoka Afrika Anaitwa Davido ikimuonyesha akiwa anamiliki kadi ya benki ambayo Ina rango nyeusi !! Je Kuna Siri Gani ? Inaitwa black credit Card ๐Ÿ’ณ, ni kadi ambayo inatolewa kwa...
Back
Top Bottom