๐๐ธ๐. ๐ ๐๐ถ๐ด๐๐น๐ ๐ก๐ฐ๐ต๐ฒ๐บ๐ฏ๐ฎ: ๐๐ถ๐ผ๐ป๐ด๐ผ๐๐ถ ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ถ, ๐๐ฎ๐๐ถ ๐ป๐ฎ ๐ ๐๐ฎ๐น๐ฒ๐ป๐ฑ๐ผ ๐ฎ๐๐ถ๐๐ฒ๐ฐ๐ต๐ผ๐ธ๐ฎ
Katika kipindi cha siku chache tu, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba ameendelea kudhihirisha mfano wa uongozi wa vitendo, uchapakazi na kujituma kwa kiwango cha juu katika kuwahudumia Watanzania...
๐๐ธ๐. ๐ ๐๐ถ๐ด๐๐น๐ ๐ก๐ฐ๐ต๐ฒ๐บ๐ฏ๐ฎ: ๐๐ถ๐ผ๐ป๐ด๐ผ๐๐ถ ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ถ, ๐๐ฎ๐๐ถ ๐ป๐ฎ ๐ ๐๐ฎ๐น๐ฒ๐ป๐ฑ๐ผ ๐ฎ๐๐ถ๐๐ฒ๐ฐ๐ต๐ผ๐ธ๐ฎ
Mussa Saidi-Dar es Salaam
Katika kipindi cha siku chache tu, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba ameendelea kudhihirisha mfano wa uongozi wa vitendo, uchapakazi na kujituma kwa kiwango cha juu...
Asema lengo ni kujenga Taifa lenye hofu ya Mungu, upendo, haki na uwajibikaji
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 18, 2026 ameshiriki Ibada ya Jumapili katika Kanisa Kuu Anglikana la Roho Mtakatifu Dodoma na amesisitiza kwamba Serikali itaendelea kushirikiana na viongozi wa dini...
๐จ๐ญ๐๐ก๐๐จ๐ญ๐ ๐ช๐ ๐ช๐๐๐ ๐ฌ๐ ๐๐จ๐๐จ๐ ๐ ๐ญ๐ ๐จ๐ฆ๐ง๐๐ช๐ ๐ช๐ ๐๐๐ ๐๐
KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili
Mazoezi huchochea homoni ya furaha, Tembea, kimbia, au fanya mazoezi mara kwa mara.
๐ 25 - 30 Agosti, 2025
๐ Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam
Kwa mawasiliano...
Tunafurahi kutumia huduma ya Mitandao ya Simu kama vile Tigo(Yas), Airtel, halotel na vodacom imekua iiturahisishia kwenye mambo mbalimbali kwenye huu ulimwengu wa intaneti.
Lakini changamoto kubwa sana kwenye hii Mitandao ni message za ujumbe wa promotion zinazo leta kero kwenye simu zetu ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.