๐—ฆ๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐—ฒ๐—ท๐—ฎ

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Tanzania kuendelea kushirikiana na nchi za Nodiki katika sekta ya afya

    Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umeratibu ushiriki wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uzinduzi wa Mkutano wa Afya kati ya nchi za Nodiki na Afrika uliofanyika tarehe 22 Januari, 2026, jijini Stockholm, Sweden, ili kujadiliana masuala ya afya ya uzazi na mtoto na mapambano...
  2. Bwege2030

    ๐—e, sera za uchumi za Tanzania zimeleta mageuzi ya kiuchumi?

    ๐—๐—˜, ๐—ฆ๐—˜๐—ฅ๐—” ๐—ญ๐—” ๐—จ๐—–๐—›๐—จ๐— ๐—œ ๐—ญ๐—” ๐—ง๐—”๐—ก๐—ญ๐—”๐—ก๐—œ๐—” ๐—ญ๐—œ๐— ๐—˜๐—Ÿ๐—˜๐—ง๐—” ๐— ๐—”๐—š๐—˜๐—จ๐—ญ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—œ๐—จ๐—–๐—›๐—จ๐— ๐—œ? Tangu kupata uhuru, sera za uchumi za Tanzania zimepitia mabadiliko makubwaโ€”kutoka mfumo wa ujamaa wa ๐—จ๐—ท๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ, hadi uliberali wa soko chini ya ๐—ฃ๐—ฟ๐—ผ๐—ด๐—ฟ๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐˜‡๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ๐—ธ๐—ฒ๐—ฏ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ž๐—ถ๐—บ๐˜‚๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐—ผ, na baadaye mipango iliyoratibiwa kama ๐——๐—ถ๐—ฟ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ผ...
  3. Ojuolegbha

    PostGE2025 Waziri Mkuu afanya ziara ya kushtukiza hospitali ya Mkoa Dodoma

    - ๐—”๐˜๐—ผ๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ๐—ด๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ช๐—ถ๐˜‡๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—ณ๐˜†๐—ฎ, ๐— ๐—ฆ๐—— ๐—ป๐—ฎ ๐—ต๐—ผ๐˜€๐—ฝ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐˜‡๐—ผ๐˜๐—ฒ ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ถ - ๐—ช๐—ฎ๐—ด๐—ผ๐—ป๐—ท๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ถ๐—ฝ๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ต๐˜‚๐—ฑ๐˜‚๐—บ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฎ๐—ณ๐˜†๐—ฎ WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Novemba 15, 2025 amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma na kuziagiza hospitali zote nchini...
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    ๐—š๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—น๐—ผ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—บ๐—ฒ ๐—น๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜‚๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ๐—ฎ ๐—น๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ท๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐—ถ๐—ผ

    ๐Ÿ’ญ Naam sio filamu za kuigiza Tena ni maisha Halisi, kwa miaka mingi Teknolojia ya Magari ya kupaa iliweza kugunduliwa toka mwaka 2015 kupitia kwa jamaa mmoja anaitwa Tim Draper. ๐Ÿ’ญ Kampuni ya Alef toka Sam Mateo imeingia ubia na kampuni ya Hollister na half Bay Moon airport toka bonde la silicon...
  5. Ojuolegbha

    Uzinduzi wa wiki ya huduma za ustawi wa Jamii

    ๐—จ๐—ญ๐—œ๐—ก๐——๐—จ๐—ญ๐—œ ๐—ช๐—” ๐—ช๐—œ๐—ž๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—›๐—จ๐——๐—จ๐— ๐—” ๐—ญ๐—” ๐—จ๐—ฆ๐—ง๐—”๐—ช๐—œ ๐—ช๐—” ๐—๐—”๐— ๐—œ๐—œ KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Mazoezi huchochea homoni ya furaha, Tembea, kimbia, au fanya mazoezi mara kwa mara. ๐Ÿ“… 25 - 30 Agosti, 2025 ๐Ÿ“ Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam Kwa mawasiliano...
  6. Teknolojia ni Yetu sote

    ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐˜€๐˜‚๐—ป๐—ด ๐˜€๐—ต๐—ถ๐—ฑ๐—ฎ ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—บ๐—ฏ๐—ผ๐—ป๐—ฎ ๐—ฝ๐—ฒ๐˜๐—ฒ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐—ฟ๐—ฎ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐˜‚๐—ธ๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐—ป๐—ฎ!!

    Kuna ripoti ya watu mbalimbali kulalamika juu ya ubovu wa pete zilizopo kwenye kamera ya Samsung Galaxy S25 Ultra ambapo zinaanguka zenyewe hazina uimara nini shida.!! Imepita miezi kadhaa toka Samsung waweze kutambulisha Simu mpya aina ya Samsung Galaxy lakini baadhi ya Watumiaji mbalimbali...
  7. Teknolojia ni Yetu sote

    Rwanda inakua nchi ya kwanza toka Afrika kutengeneza simu zenye kuleta ushindani na Samsung na Apple, je Wataweza??

    ๐Ÿ’ญ Sijui mwaka 2019 ulikua wapi ?? Lakini mwaka huo ndo ilikua historia barani afrika baada ya nchi ya Rwanda kuwa nchi ya kwanza afrika kufungua kiwanda cha kutengeneza simu. ๐Ÿ’ญ Kiwanda hicho ambacho kinapatikana kigali kinatengeneza simu ambazo zinaitwa "๐Œ๐š๐ซ๐š ๐ฉ๐ก๐จ๐ง๐ž", kuanzia Designs mpaka...
  8. Teknolojia ni Yetu sote

    ๐—ž๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐—บ๐—ฝ๐˜‚๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜ƒ๐˜‚๐—ท๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ฆ๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐—ฒ๐—ท๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ผ

    ๐—ž๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐—บ๐—ฝ๐˜‚๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜ƒ๐˜‚๐—ท๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ฆ๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐—ฒ๐—ท๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ผ Nazani kwenye simu yako kwa siku unaweza kupokea ujumbe mbalimbali za matangazo haswa matangazo ya kubashiri au kubahatisha (bahati nasibu) zikiwa zinakushawishi kucheza mchezo fulani ili ufanikiwe ni ujumbe ambao unakuja kwa...
Back
Top Bottom