Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 30, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Madereva wa mabasi na malori Nchini.
Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Ostabay Jijini Dar es salaam.
Pamoja na mambo mengine...
biashara
hasara
kifua
mabilioni
mbili
siku
siku mbili
๐จ๐ฑ๐๐ธ๐๐๐ถ๐๐ฎ๐ช๐ต๐ฎ๐๐๐ฎ๐ฝ๐ฝ
๐ฑ๐ฒ๐ฟ๐ถ๐๐ฒ๐ฟ๐
๐ต๐ผ๐๐ฝ๐ถ๐๐ฎ๐น ๐๐ฎ ๐ ๐ฎ๐ฟ๐ผ๐ฏ๐ผ๐๐ถ
๐ง๐๐ก๐ญ๐๐ก๐๐ ๐ฌ๐๐๐ก๐๐๐๐๐ ๐๐จ๐๐ ๐๐ฅ๐๐ฆ๐๐ ๐จ๐ฅ๐๐๐๐๐ ๐ก๐ ๐ ๐๐ฅ๐๐๐๐ก๐
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo, amesema Tanzania itaendelea kuimarisha urafiki na Marekani kwa kuweka mazingira rafiki kwa raia, wafanyabiashara na wawekezaji kutoka nchini humo...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka wanamipango, wachumi, na watendaji wote wa serikali kuongoza mageuzi ya kiuchumi kupitia utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 na Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2026/27โ2030/31).
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Alhamisi, Septemba...
๐๐, ๐ฆ๐๐ฅ๐ ๐ญ๐ ๐จ๐๐๐จ๐ ๐ ๐ญ๐ ๐ง๐๐ก๐ญ๐๐ก๐๐ ๐ญ๐๐ ๐๐๐๐ง๐ ๐ ๐๐๐๐จ๐ญ๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐จ๐๐๐จ๐ ๐?
Tangu kupata uhuru, sera za uchumi za Tanzania zimepitia mabadiliko makubwaโkutoka mfumo wa ujamaa wa ๐จ๐ท๐ฎ๐บ๐ฎ๐ฎ, hadi uliberali wa soko chini ya ๐ฃ๐ฟ๐ผ๐ด๐ฟ๐ฎ๐บ๐ ๐๐ฎ ๐ ๐ฎ๐ฟ๐ฒ๐ธ๐ฒ๐ฏ๐ถ๐๐ต๐ผ ๐๐ฎ ๐๐ถ๐บ๐๐๐ป๐ฑ๐ผ, na baadaye mipango iliyoratibiwa kama ๐๐ถ๐ฟ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ ๐ฎ๐ฒ๐ป๐ฑ๐ฒ๐น๐ฒ๐ผ...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe ameiwakilisha Tanzania katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) na Nchi Wanachama wa Mkataba wa Amani, Usalama na Ushirikiano kwa DRC na Eneo...
Kumekua na taarifa nyingi za watu kudukuliwa Akaunti zao za Whatsapp Toka Tanzania wengi wakilalamika mpaka kufikia hatua ya watu kuweza kuibiwa pesa zao, kuvujishiwa chati zao nk kupitia Whatsapp.
Sio Tanzania TU mpaka juzi tumeona nchi ya Iran iki tangaza kupitia kituo chao kikubwa cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.