my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Upi umri unaofaa kuanza mapenzi kuna tatizo gani mtu anaeza kupata kama aujafika umri huo? Mfano mtu anatakiwa aanze akiwa na miaka 18 lakini akaanza na miaka 14 kuna tatizo gani anaweza kupata?