Ni shilling ngapi kuuzulia? Tangaza dau watu waje. Kwa Lowassa tunalipwa kwenda kwenye mikutano.
Leo kada wa CCM atakuwepo viwanja vya barafu hapa Dodoma kusaka wadhamini.Tayari wanafunzi wa vyuo vikuuu wamenza kukusanywa kuelekea huko.
Lowasa anapendwa sana jamani,tunamshukuru Mungu kwa kutuletea Lowasa
Haya,za Mwanza nilizikoswa ngoja nimvizie Geita
Ubilionea wa wizi?umelipwa bei gani kumtetea mwizi huyo?Leo ni zamu ya watu wa dodoma kumwagiwa mapesa.
Haya,za Mwanza nilizikoswa ngoja nimvizie Geita
Leo kada wa CCM atakuwepo viwanja vya barafu hapa Dodoma kusaka wadhamini.Tayari wanafunzi wa vyuo vikuuu wamenza kukusanywa kuelekea huko.
wale wanaokoroma mwaka wamefanyia nini nchi yetu mwangalie msanii vizuri ndio raisi wako baada ya 25 October 2015tupo barafu kumwangalia msanii lowasa nasikia anaongoe dk tatu tu anaondoka zake