marcusgarvey
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 891
- 235
Uwanja umefurika ile mbaya
Uwanja umefurika ile mbaya
tupo barafu kumwangalia msanii lowasa nasikia anaongoe dk tatu tu anaondoka zake
Maccm na crew nzima ya mazombie wakisikia jina Lowassa wanatamani wajilipue wafilie mbali. Lowassa ni habari ingine.Ubilionea wa wizi?umelipwa bei gani kumtetea mwizi huyo?