lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,208
Yeyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Watu wangu wa ukweli, watu wangu wa nguvu HAPPY NEW YEAR kabla ya yote. Sasa nimeona Leo nianze mwaka kwa kutoa pointers 2 au 3 kwa yale Mazombi yangu ya ukwee a.k.a kaka zangu DECENT na ma GENTLEMAN walio kifungoni kwenye FRIENDSHIP ZONE mda mrefu. BE HOLD MAANA KILIO CHENU KIMESIKIKA NA UKOMBOZI UMEWADIA KWA MTINDO WA BANDIKO LA WARUMI.
Binafsi nina Zombi langu since 2005. Nilikua binti mdogo wa O level back then. Zombi yeye alikuwa Chuo. Long story Zombi kacheza makida makida anazozijua yeye 9 years later holaaaa, watu wamekuja wamekula mzigo, wamesepa yeye yupo tu anahaha kupata mzigo kama kobe mzee. Hana plan, hana strategy hana back up plan, hajielewi. 9 F. Years!!!!!!!!!!!!!!!!!!? Damn! Ningekuwa na huruma ningempa game ya PENSION au ACT OF VALOR. lol!
Uzombi una cost sanaaaaa! Kwanza huoi kwa wakati, unaacha wanaokupenda unafukuza upepo, ukioa unaoa kwa kujiburuta, hutulii ndoani. Afu ukikaa ukajitafakari YOU ARE SUCH A GOOD MAN, WITH BEST INTENTIONS AT HEART, UNAMTHAMINI MTU,AFU ISITOSHE UMEWAHI KUMTOKEA WEWE, UNAZUNGUSHWA ZUNGUSHWA WEE WANAKUJA WACHAFUZI WANAVURUGA WANASEPA WEWE BADO HUPEWI MZIGO JAPO USED. Mtindo huo huo. Inanyongonyeza kimtindo. Sanaaaaaaaaaa! Ndo maana mama huruma nimewaletea solution leo. I BELIEVE ALL PEOPLE ARE EQUAL AND IF FATE IKIKUGRANT OPPORTUNITY YA KUKUTANA NA MTU ATAKE KUKUNA MOYO ITS NOT FAIR UMKOSE WAMPATE WENGINE. I BELIVE THE DEFINITION OF FAIR NI WEWE KULALA NA YEYETOE NAFSI YAKO IMTAKAE. Mambo ya kudharaulika, kuonekana huna hadhi, kuonekana hufai, etc ITS NOT FAIR. SO IF FATE IS NOT FAIR HOW ABOUT YOU CREATE YOUR OWN LUCK.?
CHANZO CHA UZOMBI NA TIBA YAKE.
1. Kuingia kwa Gia ya Urafiki. We unaenda kuazima jamvi unatia story anakuja mwenzio anaomba jamvi specifically anapewa una mind! Una mind nini sasa? Be specific toka day 1 niayako ijulikane kuwa unachotaka pamoja na mengine ila PAPUCHI ndo center. Iwe kwa game ya kirafiki au ndoa ila papuchi papuchi papuchi ndo lengo haswaaa. Weka msimamo uhusiano wowote usio usicha papuchi hauwezekani asilani.
2. Kutaka mambo yachukue mkondo yenyewe. Hii ni NO! NO! NO! NOOOOOOOOOOO! It will take forever hio papuchi uipate accidentaly. WHY NOT CREATE THE ACCIDENT IF NECESSARY!😛oa. Be spontaneous! CREATE YOUR OWN LUCK! Fate was kind to you imewakutanisha the rest is all you dude. Usibakie kutuma sms tu, MAMBO! UNAENDELEAJE! MAISHA VIPI! ZA KAZI! SAME BORING SHIT FOR 3month. Unaiita taking things slow, unausoma mchezo, mzoeane sio kukurupuka! COME ON! If you ask me unajipotezea mda na maksi maana ile advantage ya 1st impression inyeya hivoo. Kaza babaaaa! Mambo siku 2, ya 3 nisindikize dinner, ya 4 twende Bagamoyo na friends. THINGS HAPPEN SO FAST UNAJIKUTA USHAKULA MZIGO. Put things in motion kadri uwezavyo. Ma player hapa ndo nawaamini.
3. Ongea kikubwa, ongea kiutu uzima. Kama papuchi unaitaka onesha vitendooo. MANENO MATUPU HAYAVUNJI MFUPA! Msichana anaweza kuwa not so much into you ila ukamkoleza kikubwa. Naposema kikubwa naongelea mambo ya kiutu uzima. Unamtoa mwanamke out, humpi hela ya sabuni, wembe, mafuta, ukilipa bili ndo kujikausha kau! Doooooh! Sasa hio papuchi ataileta vipi haijafanyiwa ukarabati? We invest wekundu walau 2 kwa uwezo wako. Na usimpe kwa kutishia ile unamuangalia usoni ili akate, akikataa mara moja ushawarudisha kwenye wallet! Lol! Unawaminya ukimpa mkono wa kwaheri unamwambia messeji yako kaisome mbele. Lazima upate ki sms baby nimefika. Chezea. Mara ya 3 ukisema njoo home naja.
4. Epuka kusimuliwa story za mabwana zake wa nyuma! Ukikubaliiiiiiiiiii umekwishaaaaaaa. Ushakuwaa shosti tayari. Ukipewa historia ya papuchi jua chances za kuila zimeshuka. Hivi hushtukihuyu mtu anataka kuninyima nini kukupa rejesta ya wageni wa hio papuchi. We ya ngoswe muachie ngoswe. Akianza tu mstopisheeeeeee. STOP! zUGA ZUGA BADILISHA MADA. Ndo salama yako.
5. Usikubali mwanamke akuzoee hata siku moja. Kale kawoga woga cha kutokuwa predictable hakikisha hakaishi. Heshima mbele kama tai, heshima nduguye woga. Usikubali mwanamke akujue kivilee hata kama mkeo. Ambiguous lazima iwepo kwenye mambo yako baadhi. Always remind her either you give me the whole package or nothing. Usioneshe kuitaka sanaaa hio papuchi.Kuw mtu mwenye standards zako na confidence zako.
6. Tingisha kiberiti kwa kumrusha roho. Mringishie wadada wazuri wa ukweli from time to time kumkumbusha tu UKINIDELETE HAWAKAWII KUNI DOWNLOAD. Basi tu kumtia jamba jamba. Ukifungulia moyo kuwa wewe hukuna anaekutaka imekula kwako.
7. HONESTY IS GOOD BUT CRUEL AT TIMES. So its okay to DRESS THE TRUTH. I didnt say lie just DRESS THE TRUTH. Honestly ukisema mi sina kazi au sina hela au waya mkali inakushushia point vibaya mnoo hata namba unaweza usipewe so badaa ya kusema ukweli kuwa wewe ni jobless utasema nafatilia michongo yangu ya kuhamia Uk kimaisha or whatever. Mwanamke ukimwambia hujajipanga atakubali muwe friends ila chiu hakupi ngooooooooooooooo! Ila ukidress facts she will figure things out on her own mbele kwa mbele hapo ushachukua point kwenye mambo mengine.
HAPPY NEW YEAR PEOPLE!