Jinsi gani ya kupata PAYPAL Bank account Verification code?

Msaada, naweza zipata vip kwa mapema, wa zoefu tusaidiana hapa. Thanks.

subiri....baada....ya....xiku....nne...baada....yakufungua....a/c....yako....ya....paypal....nenda...bank...yako....na...uombe.....bank...statement......utaziona...hizo...code...
Note
sometime....inaonekana...mwishoni...mwa...mwezi...kwenye...bank...statement...kwaiyo...kuwa...mpole...
 
Thanks @ JOAQUEM, Vip kwa upande wa perfect money, naweza vip kufanye deposit ni kiwa Tz?
 
kwa nini unahitaji perfect money??
kama si muuza madawa au mtu wa magendo unayehitaji kusafirisha feza nyingi bila serikali kukujua nakushauri hizi njia nyengine kaa mbali nazo, anytime website inakuwa down. na unapoteza kila chako kilichopo kwenye hiyo hazina
 
Msaada, naweza zipata vip kwa mapema, wa zoefu tusaidiana hapa. Thanks.
Ngoja nikupe uzoefu wangu .
Baada ya kuactivate kadi yangu ya CRDB ifanye online purchase nilijiunga na paypal(ilikuwa ijumaa) . Nikasubiri hadi jumatatu nikawapigia simu crdb customer care nikawaelezea kuwa nilijiunga na paypal hivyo naomba wanisaidie ile code ( niliwaambia kuwa mi nimeshindwa kuiona ile code kwenye bank statement) . Basi nikamtajie yule dada wa customer care acount namba na tarehe niliyofanya hii transaction .haikuchukua hata dakika akanitajia code yangu (ILA HII ILIKUWA NI CRDB SIJUI KWA HIZO BANK ZINGINE)
 
kwa nini unahitaji perfect money??
kama si muuza madawa au mtu wa magendo unayehitaji kusafirisha feza nyingi bila serikali kukujua nakushauri hizi njia nyengine kaa mbali nazo, anytime website inakuwa down. na unapoteza kila chako kilichopo kwenye hiyo hazina

Kama ile "Liberty reserve" sijui baada ya mwenye nacho kufungwa na kampuni kufungwa wenye salio walifidiwa vipi?
 
Thanks @ JOAQUEM, Vip kwa upande wa perfect money, naweza vip kufanye deposit ni kiwa Tz?

Naweza kukuuzia credit za perfect money kwa conversion fulani inatumika yaani unanitumia 2,000/= kwa kila 1$ ya Perfect money na minmum ni 50$ and under special request...
 
Maelezo ya danmarc yamenyooka sawia sana kwa upande wa CRDB, i went through same procedures.
 
Last edited by a moderator:
to my suprize. kumbe mambo ya paypal kuomba confirmation code ni kwa afirika tu ? au nchi masikini tu? nimehama nchi, ikanibidi ni terminate paypal TZ. nimefungua paypal account kwa nchi ya ughaibuni. sijaulizwa confirmation code wala nini.
kila nchi paypal ina sera tofauti kumbeeeee
 
unaweza kuwa unatumia hiyo paypal bila shida, swali ni je account yako iko VERIFIED?
Maana njia ya hizo code ndo only way ya ku verify kama card ya bank ni yako au la....
 
kwani kwa code unaverify paypal account au umiliki halali wa kadi ?
ndio hawana kabisa policy hiyo. uki attach card kazi imeisha
 
basi nchi zimetofautiana policy kweli
kuhusu hiyo code ni kwamba ina verify paypal account ambayo iko linked na card husika
 
Mkuu, ili niwe na hii paypal ni lazimaniwe na akaunt ya dola au shilingi,,na je kiusalama wa hakiba yangu je nifungue akaunt tofauti kwa ajili ya paypal au nitumie hii ninayoweka akiba yangu,niko na crdb.

Kingine mkuu vitu vidogo kama ipad halali TRA wanatakiwa wachaji asilimia ngap
 
Mkuu kilghe wala haina haja ya kufungua akaunti ya dola , hiihii ya TSH inatosha maana hawa paypal huwa wanafanya conversion ya tsh zako kwenda usd pindi ufanyapo purchases
Kuhusu swala la usalama kwel n vizur kuwa na akaunti special kwa ajili ya manunuzi online lakini kama umejiunga na paypal tayari uko secured vya kutosha maana kaz ya paypal ni kuficha detail za kadi yako ya bank ili zisijulikane na wengine kwa hyo kwa upande wangu ssion kama kuna umuhim wa kuwa na akaunti ingins kama ulishajiunga na paypal
 
Sina uzoefu sana maana vitu vyote nilivyonunua TRA hawajawahi nikata chochote isitoshe vitu vya kusomea kama ipad na laptop huwa havina makato yeyote lakini pia namuomba seller au mark mzigo as a gift
 
Mkuu kilghe wala haina haja ya kufungua akaunti ya dola , hiihii ya TSH inatosha maana hawa paypal huwa wanafanya conversion ya tsh zako kwenda usd pindi ufanyapo purchases
Kuhusu swala la usalama kwel n vizur kuwa na akaunti special kwa ajili ya manunuzi online lakini kama umejiunga na paypal tayari uko secured vya kutosha maana kaz ya paypal ni kuficha detail za kadi yako ya bank ili zisijulikane na wengine kwa hyo kwa upande wangu ssion kama kuna umuhim wa kuwa na akaunti ingins kama ulishajiunga na paypal
Mkuu aksante kwa tarifa sahihi.,.nilivoona hujajibu mapema nilipitia crbd wakanipa same info kama zako.Mwaka jana nilinunua gari kama dola 5000,nilitumia hii T/T ila kwa rate za bank na badae niliangalia za mtaani nilipoteza kama laki 3 hivi,sasa hii paypal inalipa kama unatuma hela au wanatoa direct kwenye akaunt yako hivo wanatumia rate za benk?
 
Back
Top Bottom