Una uwakika gani??Mh Spika & Kamati ya maadili haina taarifa za N.mkono na kama huwa ana Update kila mwaka hizo fomu za mali ya watumishi wa Umma hajazi???
Weka hoja sio kutusi unafeli wapi kwani mwenzio umeona alichokiandika hapo we mbishie kwa maandishi kuwa haiwezekani kujaza fomu na kuzituma Tz na kupigwa mihuli ya mawakili na kufika panakostahili.
Inasikitisha sana pale Askofu na Mh Mbowe wanapoingiza siasa ktk msiba na inajulikana kila sehemu Askofu ana kadi ya Chadema pia na tukubali tukatae wachaga hawatoi hela sehemu wanayojua hawapati faida....siku zote msema kweli ndo mbaya ila Paul Makonda alisema kitu sahihi.
Unasikia ni pusha labda jamaa wa forex 🤣🤣🤣🤣Fanya kazi Ndg upate size yako [emoji108][emoji108][emoji108]watu wana hustle haswa ninyi mkiona gari 2/3 pusha daaaa Watz tuko chini sana coz ya kutopendeana mazuri bado tuna kwanini YEYE NOT MIMI
Sema mkuu unataka kumjua hao wote unaowasema marafiki zake wanaishi S.A si kweli hana Rafiki tofauti na family yake iliyoko hapa Da’slaam
Na ni bora kuuliza ili umjue hata history yake ya maisha mpaka kufikia hapa alipo sasa...Watz inabidi tuache kuwa na selfish TUPAMBANE KUTAFUTA MAJUNGU HAYAJENGI
Sio kweli ✍️✍️✍️Simu yoyote ya Apple yenye future ya Fingerprint endapo ukibadilisha kioo inabidi urudishee ile ile sio kuwekaa tofauti So endapo ukishindwa kuirudisha ndo unakuwa mwisho wa ku Unlock kwa fingerprint
NB:Tatizo la watu wanaotubadilishia vioo wengi hawafahamu kama wakimiss place...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.